Je, ni Speed gani kubwa zaidi ushawahi kutembea na gari au pikipiki?

Ikate kamba hio mzee unachana 289kph tu kama unanawa hivi😂😂😂
 
Zenye turbo unaweza ku-tune ikavuka kabisa. Ila Audi kidogo zina limit iko juu.
Ila kitaalamu hapo kama ingine from kiwandani wame set hizo standard, na sie huku tuka violate hizo standard si yunachosha engine mapema ? Namkumbuka jamaa yangu wa scirocco.. ime lock engine 🤦🤦🤦
 
Bro we ni muongo, any way unapopasema hapo kupita Tinde napajua lakini hiyo gari Ina speed mwisho 180, hiyo 186 uliitoa wapi?
 
Tatizo gari nazo zina mzuka sana..wakati huo nakula rumba za ferre gola nanyoosha tu goti hata sijui kama gari inatembea sana unastuka tu kwenye dashboard inasoma over 100...
 
Ila kitaalamu hapo kama ingine from kiwandani wame set hizo standard, na sie huku tuka violate hizo standard si yunachosha engine mapema ? Namkumbuka jamaa yangu wa scirocco.. ime lock engine 🤦🤦🤦
Kuna vitu unabadili kwenye hio process. Kama sio chixi magari hutaweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…