Je, ni Speed gani kubwa zaidi ushawahi kutembea na gari au pikipiki?

Je, ni Speed gani kubwa zaidi ushawahi kutembea na gari au pikipiki?

Hahahaha ya kwangu mimi nina mpango wa kuiondoka speed limit Lexus GS 450 ina engine ya 2GR ni more powerful than 4GR huyu atakua na 5 Series zile zile za kawaida i.e 525i au 523i ni nadra sana kukuta mnunuzi wa 5 series anaenda zaidi ya hizo..kwaio GRS200 na 525i inakua imebalance mule mule...😀😀😀
Ikate kamba hio mzee unachana 289kph tu kama unanawa hivi😂😂😂
 
Zenye turbo unaweza ku-tune ikavuka kabisa. Ila Audi kidogo zina limit iko juu.
Ila kitaalamu hapo kama ingine from kiwandani wame set hizo standard, na sie huku tuka violate hizo standard si yunachosha engine mapema ? Namkumbuka jamaa yangu wa scirocco.. ime lock engine 🤦🤦🤦
 
Kwema wakuu, je ni speed gani kubwa zaidi ushawahi kutembea na gari au pikipiki na ilikuwa ni gari gani au pikipiki gani?

Nikianza mie nakumbuka mwaka 2017 nilikuwa na Cresta GX100 yenye engine ya 1jz turbo dashboard iliwahi kusoma 186 Kph (Dashboard ilikuwa ya digital) na ilikuwa ni sehemu inaitwa Samunge kuna down hivi kali kuitafuta Shinyanga. Nilikuwa na ndugu yangu alipiga kelele sana kuwa mwendo ni mkali ila nimuuliza tu "KWANI MIE NIPO NJE YA GARI?" [emoji23][emoji16]

Pia nakumbuka kuna jamaa yangu alinunua pikipiki Kawasaki Ninja Z2 ina speed 260 nikasema ebu ngoja niitest [emoji16], bwana wee, nikaingia Kilwa Road kuanzia pale Kurasini Mivinjeni kuelekea uhasibu T.I.A yani ile nimepiga gear ya kwanza hadi ya nne mafuta mengii naona chuma inasoma 190+. Weeee nilipunguza mwenyew bila kuambiwa.
[emoji23][emoji23]

Naombeni experience zenu wakuu kwenye masuala ya Speed.

RRONDO
Extrovert
Bavaria
JITU LA MIRABA MINNE

View attachment 2291079
Bro we ni muongo, any way unapopasema hapo kupita Tinde napajua lakini hiyo gari Ina speed mwisho 180, hiyo 186 uliitoa wapi?
 
Tatizo gari nazo zina mzuka sana..wakati huo nakula rumba za ferre gola nanyoosha tu goti hata sijui kama gari inatembea sana unastuka tu kwenye dashboard inasoma over 100...
 
Ila kitaalamu hapo kama ingine from kiwandani wame set hizo standard, na sie huku tuka violate hizo standard si yunachosha engine mapema ? Namkumbuka jamaa yangu wa scirocco.. ime lock engine 🤦🤦🤦
Kuna vitu unabadili kwenye hio process. Kama sio chixi magari hutaweza.
 
Back
Top Bottom