mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,603
- 4,190
Habari zenu Wakubwa!
Mimi ni kijana niliyefikia umri wa kutaka kuoa Sasa,nimempenda mdada ndani ya muda mfupi na anaonekana ana sifa zote kabisaa.
Kwa mliokwishaoa,Kwa uzoefu wenu ni kipindi Cha muda gani chatosha kujiridhisha ya kuwa mwanamke Fulani atosha kuwe mke na Kwenda kwao kujitambulisha?
Naombeni maoni,ili nisikosee kijana wenu.