Je ni Upi Muda Sahihi wa Kumchumbia Mwanamke unayetamani awe Mke

Je ni Upi Muda Sahihi wa Kumchumbia Mwanamke unayetamani awe Mke

Usiende haraka utakuja kujuta, hata naniliu alivyoanza alionekana ana sifa zote, ila sasa hivi anatubagaza na kutuhodomola🐼
 
Nalitambua hili!
Wanawake ni waigizaji hujakosea,ila nakuwa makini kwenye kuangalia akili ya mtu kwanza,je familia yao dada zake nk.
Na natamani nisimle Hadi nimuoe kabisa,Kwa ajili ya Agano la Ndoa
Sijui kwanini nimekuonea huruma aisee
 
Chunguza familia yake kwanza ndio utamjua zaidi huyo mwanamke,

Kama upo tayari na mmeridhiana,hakuna muda maalum,mapenzi hayana formula,
Chukua jiko fasta kabla ya maandamano.
 
Mkuu mengine yote ni mbwembwe tu kikubwa uwe umepevuka kiakili kitu ambacho naona kwako bado
Nimepevuka 33 niwe siwezi kufanya maamuzi?..
Nauliza humu Kwa Kuna GT na mna uzoefu wa ndoa ni,maana vijana wa Sasa si unajua hawatabiriki...
 
Mwanaume unapoanza makuzi na kuanza kupevuka tafuta mtu ukue nae na umjue tangu mapema kula tunda lake bado akiwa kijana na uje uoe unamjua vyema kabisa nje ndani ... Sasahawa tunao kutana nao kimjini jini tu tunapasula ile mbaya
 
Habari zenu Wakubwa!

Mimi ni kijana niliyefikia umri wa kutaka kuoa Sasa,nimempenda mdada ndani ya muda mfupi na anaonekana ana sifa zote kabisaa.

Kwa mliokwishaoa,Kwa uzoefu wenu ni kipindi Cha muda gani chatosha kujiridhisha ya kuwa mwanamke Fulani atosha kuwe mke na Kwenda kwao kujitambulisha?

Naombeni maoni,ili nisikosee kijana wenu.
Kuna mambo ya muhimu ya kufanya, wewe akili zako za kipumbavu zipo kwenye ujinga, acha kutumia makalio yako kwenye kufikiri.
 
Back
Top Bottom