Je ni Upi Muda Sahihi wa Kumchumbia Mwanamke unayetamani awe Mke

Kwa hiyo kuoa sio jambo la muhI
Kuoa haliwezi kuwa jambo muhimu kuweza kuongea kwenye hili platform, zaidi ni kujidhalilisha mwenyewe. Au kama unaona ni muhimu, kwanini usimuulize baba yako?
Jambo ambalo lingekuwa muhimu ni jinsi ya kuweza kujiendeleza kimaisha, zungumzia ideas, uliloongea si jambo la kulileta kwenye platform.
 
Wangapi wameleta vyao humu na wakapewa ushauri?
Kama wewe upo kwenye ndoa unaweza share hata mawazo ili hata sisi vijana tunaotaka kuingia chamani tuingie.
Mimi si wa Kwanza kuomba ushauri,naomba nisinukuliwe vibaya..!
 
Kwani hili jukwaa unajua limeundwa kwaajili gani au hujasoma Upo jukwaa gani una comments tu

Jukwaa la kutafuta au kuleta changamoto za kimaisha sijui uchumi sijui siasa lina majukwaa yako

Acha kumtoa mwanaume mwenzio kwenye reli ya kutafuta maoni mbalimbali
La sivyo usiwe unaingia kwenye hili jukwaa nenda kwenye hizo nyinginee utapata unachotaka

Kingine acha makasiriko
 
Nimekuelewa vizuri

Acha upumbavu wewe sasa, tumeshamaliza.
 
Ni kwelii na huu ndio ushauri wa GT, nashukuru sana..
kijana,usichague ushauri hapa wote tuliopo jf ni GT,kila ujumbe ulioandikwa/unaoandikwa humu huwa na maana yake hasa kwa msomaji GT so kusema huu ushauri ni wa GT huu sio wa GT basi wewe unatakiwa ujitafakari. hakuna neno linaloandikwa kwa bahati mbaya humu. Kuhusu mada yako ni kuwa, inatakiwa wewe kama kijana au wazazi wako uwashirikishe,kisha wewe au wazazi wako wafanye research ya kina kumhusu binti,unaweza kuuliza majirani wa huyo binti angalau watano kuhusu tabia za huyo binti,watatu kati ya hao majirani wakitoa jibu linalofanana ndipo litatoa jibu moja la kuoa au kughairisha. Kumbuka usiendeshwe na mihemko,huyo anaenda kuwa mke wako na mama mzazi wa watoto wako,hivyo ni muhimu ukatulia ktk suala hili nyeti la kuchagua mama bora wa wanao.
 
Wangapi wameleta vyao humu na wakapewa ushauri?
Kama wewe upo kwenye ndoa unaweza share hata mawazo ili hata sisi vijana tunaotaka kuingia chamani tuingie.
Mimi si wa Kwanza kuomba ushauri,naomba nisinukuliwe vibaya..!
kama si wa kwanza kuomba ushauri humu kuhusu mada yako hii,why ulete mada ile ile? Kwa nini usiendetu tu kwenye hizo nyuzi ukasoma mawazo ya watu jinsi walivyoshauri? Kwa nini unatuchosha kijana mpumbavu?
 
Back
Top Bottom