mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,603
- 4,190
Mapenzi hayashauriki mkuu, kama ilivyotokea naturally ukamtongoza basi jua itatokea naturally mtajikuta kwa wakwe.Habari zenu Wakubwa!
Mimi ni kijana niliyefikia umri wa kutaka kuoa Sasa,nimempenda mdada ndani ya muda mfupi na anaonekana ana sifa zote kabisaa.
Kwa mliokwishaoa,Kwa uzoefu wenu ni kipindi Cha muda gani chatosha kujiridhisha ya kuwa mwanamke Fulani atosha kuwe mke na Kwenda kwao kujitambulisha?
Naombeni maoni,ili nisikosee kijana wenu.
33Una miaka mingap
Kama uko tayari ni muda wote.Habari zenu Wakubwa!
Mimi ni kijana niliyefikia umri wa kutaka kuoa Sasa,nimempenda mdada ndani ya muda mfupi na anaonekana ana sifa zote kabisaa.
Kwa mliokwishaoa,Kwa uzoefu wenu ni kipindi Cha muda gani chatosha kujiridhisha ya kuwa mwanamke Fulani atosha kuwe mke na Kwenda kwao kujitambulisha?
Naombeni maoni,ili nisikosee kijana wenu.
Aahhh kumbeSiku 1 baada ya kukubali kuwa nawee.
Asante!Kama uko tayari ni muda wote.
YessAahhh kumbe
Ni kweli!Mapenzi hayashauriki mkuu, kama ilivyotokea naturally ukamtongoza basi jua itatokea naturally mtajikuta kwa wakwe.
NB: hata iweje usimsamehe mwanamke aliyekusaliti.
Wadada wengi Sasa lakini wanapenda kuolewa...Inategemea na utayari WA mdada,kama hayuko tayari atakuona tapeli!
Dah we jamaaBaada ya jua kuzama
Ni kwelii na huu ndio ushauri wa GT, nashukuru sana..Mwenzio kama yupo tayari, na ww umejiridhisha anakufaa..... hata ndani ya miezi 3 mnaweza kuoana !
Hayana formula, kuwa makini usiendeshwe na hisia, watu hubadilika
Kulikuwa na ulazima gani kuweka NB.Mapenzi hayashauriki mkuu, kama ilivyotokea naturally ukamtongoza basi jua itatokea naturally mtajikuta kwa wakwe.
NB: hata iweje usimsamehe mwanamke aliyekusaliti.
Kila la heri kama naye yuko tayari kuunganisha mitandao.Asa
Asante!
Mimi nipo tayari
Naam mkuuDah we jamaa