Je, ni upi mwitikio wa jamii ya kitanzania katika dawa mpya ya uzazi wa mpango kwa wanaume?

duuh tunakoelekea sasa🙌🏾🙌🏾,,wacha nizae chapu kabla vizazi havijaanza kua changamoto kwa pande zote 2 sasa

madhara yanayotukumba wanawake sababu ya huo uzazi wa mpango wameona haitosho,wanaleta kwa wanaume sasa🙌🏾.
 
😂😂Ume represent mtazamo wa vijana wengi sana.
 
Sasa hao wataalam unaowasema wapo wapi? Wanaishauri serikali au wao ndio wanashauriwa na serikali?
Wengi wao wamebakia kusifia hivyo uwezo na ufanisi wa kazi hamna.
 
😂😂Ume represent mtazamo wa vijana wengi sana.
😂yani nilipanga kuzaa kila baada ya miaka mitatu ila napunguza sasa,,,hayo madawa yanatutesa tu that's why wanawake wengine matumbo makubwa kama nini unaeza sema bia kumbe mpango uzaz,,, ingawa sijawahi tumia mimi toka nizaliwe.
 
Back
Top Bottom