antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Exactly, mwenye mpunga ndo ana maamuzi.."timu Marioo" ? Why wao? πAu ndo suala la oder kutoka juu (kwa mshangazi)π
Wanasema mlipaji ndo huamua wimbo wa kuchezwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Exactly, mwenye mpunga ndo ana maamuzi.."timu Marioo" ? Why wao? πAu ndo suala la oder kutoka juu (kwa mshangazi)π
ππ unaishi na mwanamke umeweka zako uzazi wa mpango,,baada ya wiki mbili mwanamke anakwambia anamimba yakoHii nzuri. Tunabambikiwa sana watoto. Lazma nichome wakianza kutoa.
ππππ Hii imenichekesha.ππ unaishi na mwanamke umeweka zako uzazi wa mpango,,baada ya wiki mbili mwanamke anakwambia anamimba yako
Nimekupata kiongozi, ila wapo na waunga mkono tu kawaida, kama EuroleagueExactly, mwenye mpunga ndo ana maamuzi..
Wanasema mlipaji ndo huamua wimbo wa kuchezwa
Na hapa ndo wasiwasi wa wanaume wengi ulipoπ.hili la lotion kuzuia uzazi
Hii safi sana.Hili ndo linanifanya niogope hii dawaπ
Shida ni pale mume wakp aende kwa mcheps afu apigwe massage yenye mpango amazing, mnatafuta watoto weeee mwshowe mnachoka kumbe mwafulani alipewa massage mpango....π§π§duuh tunakoelekea sasaππΎππΎ,,wacha nizae chapu kabla vizazi havijaanza kua changamoto kwa pande zote 2 sasa
madhara yanayotukumba wanawake sababu ya huo uzazi wa mpango wameona haitosho,wanaleta kwa wanaume sasaππΎ.
Maisha yako na mwisho wa siku haisimamiii....Tutawapaka usingiziniπππ
Its about time tusaidiane maluwe luwe ya uzazi wa mpango.
Mwanaume mjinga atakubali.Usawa wa kijinsia wawapi hawa kama sio kutaka kuharibu asili ya mwanaume watumie wenyewe kama ni raha wakuunga waunge ujue mambo mengine ni usengerema
Ndo hivyoMwanaume mjinga atakubali.
Hahahaha πππ nimecheka jaman,,na io massage alipewa kwa kukomolewa sababu hakumwambia kama ameoaShida ni pale mume wakp aende kwa mcheps afu apigwe massage yenye mpango amazing, mnatafuta watoto weeee mwshowe mnachoka kumbe mwafulani alipewa massage mpango....π§π§
Mara paap unajipaka began huku fyade ngoma haisimami tena ππππ muanze kutumia njia zingine
Hao watu weupe sio wakuwaamini kabisa.Kinacho shitua ni ya kupaka tena mabegani π aloo
π€£π€£π€£π€£ Kumbe jina lilibadilika kunaitwa βfyadeβπMara paap unajipaka began huku fyade ngoma haisimami tena π
Alafu athari ya hii njia magonjwa yatasambaa kwa kasi kubwa sana kwa sababu kinga hazitotumika.
Huko kwa wadudu wa dampo wanaita fyade ππ€£π€£π€£π€£ Kumbe jina lilibadilika kunaitwa βfyadeβπ
Hiyo njia itumike kwa wanandoa tyuu.!!
Mna majina mapya mengi aiseee.!! πHuko kwa wadudu wa dampo wanaita fyade π
Hiyo njia sithubutu, wanaume vitu vya kupaka paka havitufai, sio kawaida yetu.
Au ulitaka niseme chululuu πMna majina mapya mengi aiseee.!! π
Hiyo ni nzuri kwa wanandoa na wapenzi wanaoaminiana ambao hawako tayari kuitwa wazazi. Jaribu jirani ila sio kwa uzinzi π