Je, ni upi mwitikio wa jamii ya kitanzania katika dawa mpya ya uzazi wa mpango kwa wanaume?

duuh tunakoelekea sasa๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ,,wacha nizae chapu kabla vizazi havijaanza kua changamoto kwa pande zote 2 sasa

madhara yanayotukumba wanawake sababu ya huo uzazi wa mpango wameona haitosho,wanaleta kwa wanaume sasa๐Ÿ™Œ๐Ÿพ.
 
Mambo ya kusingiziana mimba ndio mwisho wake IJE TU kubabake kumbe tunaipaka mabegani mi nilijua tunapaka kwenye dushelele maana Mkongo umeshawahi seat nilijua tunauchanganya na dawa ya uzazi wa mpango
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Ume represent mtazamo wa vijana wengi sana.
 
Sasa hao wataalam unaowasema wapo wapi? Wanaishauri serikali au wao ndio wanashauriwa na serikali?
Wengi wao wamebakia kusifia hivyo uwezo na ufanisi wa kazi hamna.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Ume represent mtazamo wa vijana wengi sana.
๐Ÿ˜‚yani nilipanga kuzaa kila baada ya miaka mitatu ila napunguza sasa,,,hayo madawa yanatutesa tu that's why wanawake wengine matumbo makubwa kama nini unaeza sema bia kumbe mpango uzaz,,, ingawa sijawahi tumia mimi toka nizaliwe.
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Ukifanya mchezo mbaya roho kolikoli unawaza kunywa p2, bora watumie nao uzazi wa mpango tupumzike.!!
kumbe naweye unakunywa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ebu nisimulie zikoje basi wii

ila wakianza na wao tutapona haya mauvimbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ