Je, ni wakati wa kuwatambua Mbowe na Lissu kama maadui wa taifa?

Mkuu swali ni kwamba mbona kakaa kimya hakosoi haya yanayoendelea? Hatujasema aanzishe mgomo,maandamano wala movement yeyote bali kinachowashangaza watu ni kimya chake.
Hivi bro una akili timamu?
 
Asante
 
zitto ni tapeli wakutupwa!
 
Kwa hiyo unaamini kuwa kesi ya Mbowe iliisha kwa kuombewa???!!!! Kulikuwa na ushahidi gani pale hata wa kusema tu kuwa ana kesi ya kujibu? Mbaya zaidi mpuuzi mmoja aliyesababisha hayo anateuliwa kwenye nafasi moja nyeti sana!!!
Wewe unaongea mambo ya ushahidi wakati nakwambia huko jela kuna watu washafungwa kabisa kwa kesi za kubambikiwa na hakuna wa kwenda kuwaombea kwa rais kama ilivyofanyika kwa Mbowe.
 
Nionyeshe uzi wowote au bandiko lolote ulilopandisha humu JF ukiilalamikia serikali au hata kuishauri. Wewe si ulikuwa unakejeli watu humu na kutaka mbowe afungwe?
Kumbe umechanganya mafile, hebu lete huo uzi ambao nilikuwa nasema Mbowe afungwe.
 
Kipimo gani huwa unatumia wewe kujijua kuwa una akili timamu ili tuweze kutumia kipimo hiko kunipima na mimi hapa?
Kitendo cha wewe kutumia muda mwingi kumlaumu mbowe asiekuwa bungeni badala ya kuwalaumu waliopo bungeni ni kipimo tosha cha upumbavu wako

Wabunge wenu waliopo mjengoni wamesha-play part gani mpaka sasa? Kama bado, je wa kulaumiwa ni nani?
 
Kwani Bungeni mmechagua chama gani?Kila mtu akale alipo peleka ugali,si mmechagua CCM wenyewe Kwa kishindo,Watu napata ulemavu ,wengine wanafungwa gerezani ,lakini mnaotetewa hamtaki kubadilika...
 
Hawachi hujawahi kuniangusha
 
Kitendo cha wewe kutumia muda mwingi kumlaumu mbowe asiekuwa bungeni badala ya kuwalaumu waliopo bungeni ni kipimo tosha cha upumbavu wako

Wabunge wenu waliopo mjengoni wamesha-play part gani mpaka sasa? Kama bado, je wa kulaumiwa ni nani?
Kwanza wapi nimemlaumu Mbowe kuhusu tozo? Maana naona mmeng'ang'ania hilo sijui hamjui maana ya kaulumu.
Watu wanauliza ukimwa wa Mbowe kwamba hasikiki kukosoa kwa lolote katika serikali hii na si kwamba watu wanamlaumu Mbowe kuhusu tozo sasa yeye kama nani hadi alaumiwe kuhusu tozo?

Chengine wale waliyokuwepo kule bungeni ni wabunge wako pia uwe hukuwachagua au hukupiga kura kabisa kama mimi ila bado inabaki kuwa wale ndio wabunge wako uwe ccm au uwe chadema haijarishi.

Halafu kwani wewe ni nani kwa Mbowe?
 
Mimi kama mimi siamini kamakuna wapinzani tz kwani uchaguzi ukiisha wanasema hawamtambui Rais baada yamuda wanasema wanataka kuonana na Rais kwahiyo nashindwa kuelewa labda mnisaidie kwani mimi sijui siasa kwasasa tunasema subilia 25 tutasema subilia 30 kilasiku nihivo lakini for my opinion CCM haiwezi kutoka mpaka watuwote walio muona nyerere wawe hawapo Duniani lakini kama tupo hapa hatuwezi kuitoa CCM kama kunamtu anabisha tusubilie 25 tuone itakuaje
 
Kwani Bungeni mmechagua chama gani?Kila mtu akale alipo peleka ugali,si mmechagua CCM wenyewe Kwa kishindo,Watu napata ulemavu ,wengine wanafungwa gerezani ,lakini mnaotetewa hamtaki kubadilika...
Baada ya kwenda ikulu na kupewa mapesa na Mama ndio mnajua leo watu hawataki kubadilika?
 
Uzi wako ndio umeishia hapa au unaendelea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ