Je, ni wakati wa kuwatambua Mbowe na Lissu kama maadui wa taifa?

Unataka apinge kukusanya kodi?
Huna akili kabisa kuna nchi inaendelea bila kodi.
Fyatu kabisa wewe
Wajinga kama wewe huwa sijibizani nao anyway kwakuwa ndo mara ya mwisho ngoja nikujibu hivi.

Kwahiyo statement yangu umeisoma ukaelewa naongelea kodi tu sindio matamshi ya viongozi wanayoyatoa bila hofu ya uongozi kanakwamba Tanzania ipo kwa ajiri yao na sio wao kwa ajiri yetu hilo huoni sasa hivi tumefikia mpaka diwani anaenda nigeria kwa ziala ya kikazi hilo huoni kodi zinapanda bila mfumo maalumu sasahivi kodi kuwekwa wiki hii na kutolewa wiki ijayo ni kitu cha kawaida yaani nchi haitabiriki unafikiri ni mfanya biashara gani atawekeza kwenye nchi ambayo kiongozi yeyote ni sawa na Rais, nchi ambayo serikali inatabiri na kupromote bidhaa kupanda bei badala ya kutafuta suluhu, nchi ambayo transaction moja makato malambilimbili, nchi ambayo kilakitu ni pongezi hujui nyuma ya izo pongezi kuna nini kinaendelea hujui kama Rais kufanya kazi ndio wajibu wake na sio hiari, kwasasa waTanzania tunampambania Rais kuliko hata mungu.
 
Hujui unachokibishia unafikiri mbowe ni mwanamziki? mbowe ni mwanasiasa na kiongozi wa upinzani ilitakiwa yeye ndo awe wa kwanza kupinga haya yanayoendelea sasa kuliko hata kipindi cha nyuma na hiyo ndo nafasi alioichagua au unafikili siasa ni mpaka uchaguzi tu
Wewe huwezi? Kwa hio wewe ulikuja Duniani kusubilia wengine wakusemee? Kwani Mbowe si anavuta Oxygen ambayo na wewe unavuta?
 
Hapo nyuma walikuwa wanatudanganya kuwa wao ni wapambanaji na wapo kwa ajili ya maslahi ya taifa.
Pamoja na ugumu wa kufanya siasa zao za ujanja ujanja kwenye awamu ya tano lakini walikuwa wanapiga sana kelele na kuwaaminisha wafuasi wao wanapambania nchi.

Kelele zilikuwa nyingi baada ya kupoteza mali zao zenye makando kando na kuingia kwenye usaliti wa nchi kwenye sakata la madini.

Tumeona awamu ya sita imewaita ikulu na kuwapa wanachotaka. Lissu kapewa kila alichokuwa anadai.

Mbowe inasemekana pamoja na kufunguliwa gazeti lake ila kavuta mzigo wa maana.

Sasa hivi lugha yao imekuwa tofauti wanasema hawawezi kuongoza mapambano ya watu wasiojitambua.

Yani wafuasi wenu wamekuwa hawajitambui baada ya nyinyi kuingia makubaliano na Mama??

Mliitisha maandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi alafu viongozi hamkuonekana watu wakaja kuona Lissu anasindikizwa kupanda ndege na mabeberu huku Lema akitokomea kupitia njia za panya.

Kwa siasa hizi za uongo uongo na kujali matumbo yao. Je, ni wakati wa kuwatangaza watu hawa kama maadui wapya wa taifa letu??

NB: Zitto hatumuoni tena akija na analysis za kiuchumi wakati huu wa tozo kila eneo tofauti na huko nyuma.
Pambaneni huko huko kwenye liccm lenu.

Mbowe si mlimfunga na Tundu Lissu mkampiga risasi?
 
Nyie wapumbavu wa CCM si ndiyo mlikuwa mnapiga vigelegele wakati yule dhalim mporipori wenu anatumia mitutu ya bunduki kuhakikisha Bunge lote linakuwa la CCM? Sasa mnataka Mbowe na Lissu wakasemee wapi wakati hata mikutano ya hadhara ya vyama vya upinzani imepigwa marufuku kwa amri ya Rais? Ndiyo mjifunze mjue hasara ya kuwa na Bunge la kijani tupu. Hao wabunge wenu vilaza wameshapigwa pini kutopinga hoja yoyote inayoletwa Bungeni na Serikali. Na tozo ndiyo imeshatungiwa sheria na hao mazezeta wenu wameshaipitisha,sasa mnataka wapinzani washike bunduki? Mimi nasema tozo na kodi nyingine ziongezwe ili wapumbavu kama wewe mleta uzi huu akili ziwakae sawa.
Viongozi wenu wanapoharibu nchi mnashangilia mkifiri wanawakomoa wapinzani,sasa mtulie kimyaaa dawa iwaingie fresh.
 
Sijalaumu bali nawaambia mnaosema hatukufanya kitu Mbowe alipofungwa kana kwamba ndio mtanzania pekee kufungwa kionevu wakati yeye alipofungwa watu walipiga kelele hadi akaachiwa ila wapo watanzania wengine huko jela kabla ya Mbowe na hakuna wa kuwapigia kelele kama ilivyokuwa kwa Mbowe, sasa ajabu kaachiwa anakuja kukaa kimya.
Sasa wabunge wenu vilaza wa CCM wameshaipitisha tozo kuwa Sheria hebu tuekeze hapa ulitaka Mbowe afanye nini? Kama ukishindwa kutoa pendekezo nini cha kufanya funga hilo domo lako chafu milele. Kosa ifanye CCM na Serikali yake lawama kwa Mbowe na Chadema are you mad? Idadi ya wapumbavu inaongezeka kwa kasi sana huko CCM
 
Kwani hata Mbowe angekuwepo huko bungeni na hizo tozo zikapita ndio ina maana na yeye kapitisha hizo tozo au kwamba Mbowe ndio alikuwa anaweza kuzuia wabunge wa ccm wasipitimishe mambo yao?
Watu wanachokisema ni kutokuona Mbowe akikosoa tena serikali kitu ambacho hakiitaji yeye hadi awe mbunge.

Wewe kilaza jifunze hasara ya kuwa na wabunge wengi wa CCM. Dhalim alitumia mitutu ya bunduki kuhakikisha Bunge lote linakuwa la CCM hii ndiyo hasara yake. Uchaguzi ungekuwa wa huru na haki hata kama CCM ingeshinda urais isingekuwa na wabunge wengi kiasi cha kuburuzwa na Serikali. Mlishangilia sana upinzani kukosa wabunge sasa shangilieni na tozo zilizopitishwa na wabunge wa CCM.
 
Hapo nyuma walikuwa wanatudanganya kuwa wao ni wapambanaji na wapo kwa ajili ya maslahi ya taifa.
Pamoja na ugumu wa kufanya siasa zao za ujanja ujanja kwenye awamu ya tano lakini walikuwa wanapiga sana kelele na kuwaaminisha wafuasi wao wanapambania nchi.

Kelele zilikuwa nyingi baada ya kupoteza mali zao zenye makando kando na kuingia kwenye usaliti wa nchi kwenye sakata la madini.

Tumeona awamu ya sita imewaita ikulu na kuwapa wanachotaka. Lissu kapewa kila alichokuwa anadai.

Mbowe inasemekana pamoja na kufunguliwa gazeti lake ila kavuta mzigo wa maana.

Sasa hivi lugha yao imekuwa tofauti wanasema hawawezi kuongoza mapambano ya watu wasiojitambua.

Yani wafuasi wenu wamekuwa hawajitambui baada ya nyinyi kuingia makubaliano na Mama??

Mliitisha maandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi alafu viongozi hamkuonekana watu wakaja kuona Lissu anasindikizwa kupanda ndege na mabeberu huku Lema akitokomea kupitia njia za panya.

Kwa siasa hizi za uongo uongo na kujali matumbo yao. Je, ni wakati wa kuwatangaza watu hawa kama maadui wapya wa taifa letu??

NB: Zitto hatumuoni tena akija na analysis za kiuchumi wakati huu wa tozo kila eneo tofauti na huko nyuma.
Hao sio wenzetu tena tujipange upya %95 ya hawa ni watu wa deal za kisiasa kuanzia sasa hata utakapoona wanaongea hawamaanishi chochote.
 
Sasa wabunge wenu vilaza wa CCM wameshaipitisha tozo kuwa Sheria hebu tuekeze hapa ulitaka Mbowe afanye nini? Kama ukishindwa kutoa pendekezo nini cha kufanya funga hilo domo lako chafu milele. Kosa ifanye CCM na Serikali yake lawama kwa Mbowe na Chadema are you mad? Idadi ya wapumbavu inaongezeka kwa kasi sana huko CCM
Hujui hata kinachojadiliwa.
 
Wewe kilaza jifunze hasara ya kuwa na wabunge wengi wa CCM. Dhalim alitumia mitutu ya bunduki kuhakikisha Bunge lote linakuwa la CCM hii ndiyo hasara yake. Uchaguzi ungekuwa wa huru na haki hata kama CCM ingeshinda urais isingekuwa na wabunge wengi kiasi cha kuburuzwa na Serikali. Mlishangilia sana upinzani kukosa wabunge sasa shangilieni na tozo zilizopitishwa na wabunge wa CCM.
Miaka yote wabunge wa ccm ndio huwa wengi huko bungeni kuliko wa upinzani na maana yake wakitaka kupitisha jambo lao hulipitisha.
 
Unaona unavyojikanyaga sasa. Bila wizi wa kura CCM isingekuwa na wingi wa wabunge wa kuweza kuyumbishwa na watawala. Point ni hasara kuwa na wabunge wengi wanaopokea maagizo toka serikalini.
 
Hao sio wenzetu tena tujipange upya %95 ya hawa ni watu wa deal za kisiasa kuanzia sasa hata utakapoona wanaongea hawamaanishi chochote.
Lakini mbona 95% ya Bunge ni CCM,hao mnaowasema hawapo kwenye mfumo wa utawala wa nchi hii,jee wanastahili lawama kweli? Hao mnao waamini ndiyo wako madarakani sasa hizi kelele na mayowe yenu za nini?
 
Hapo nyuma walikuwa wanatudanganya kuwa wao ni wapambanaji na wapo kwa ajili ya maslahi ya taifa.
Pamoja na ugumu wa kufanya siasa zao za ujanja ujanja kwenye awamu ya tano lakini walikuwa wanapiga sana kelele na kuwaaminisha wafuasi wao wanapambania nchi.

Kelele zilikuwa nyingi baada ya kupoteza mali zao zenye makando kando na kuingia kwenye usaliti wa nchi kwenye sakata la madini.

Tumeona awamu ya sita imewaita ikulu na kuwapa wanachotaka. Lissu kapewa kila alichokuwa anadai.

Mbowe inasemekana pamoja na kufunguliwa gazeti lake ila kavuta mzigo wa maana.

Sasa hivi lugha yao imekuwa tofauti wanasema hawawezi kuongoza mapambano ya watu wasiojitambua.

Yani wafuasi wenu wamekuwa hawajitambui baada ya nyinyi kuingia makubaliano na Mama??

Mliitisha maandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi alafu viongozi hamkuonekana watu wakaja kuona Lissu anasindikizwa kupanda ndege na mabeberu huku Lema akitokomea kupitia njia za panya.

Kwa siasa hizi za uongo uongo na kujali matumbo yao. Je, ni wakati wa kuwatangaza watu hawa kama maadui wapya wa taifa letu??

NB: Zitto hatumuoni tena akija na analysis za kiuchumi wakati huu wa tozo kila eneo tofauti na huko nyuma.
Wapuuzi nyie watu wanaumia na kuteseka wao na familia zao nyie mmekaa tu nyuma ya keyboard hamuwaungi mkono hata kwa kuandamana barabarani na mabango. sasa na wao wamepumzika kila mtu apambane na hali yake.
 
Ukifika uchaguzi unatuwekea nyimbo za ccm mbele kwa mbele ukija kupata kiminyo toka kwa serikali yako uliyoichagua unaanza kuwalaumu Mbowe na lissu bro kila mtu ashinde mechi zake hd tutakapokuwa na kauli moja km wakenya
 
Lissu kapata ulemavu akitetea tumbo lake mtetezi wa nchi asingeweza kukaa upande wa acacia wakati tunapambania madini yetu.
Pole sana ndugu.
Kumbe bado unaendelea na mistali ya 'luturgia' ya IBADA kwa nabii njozi wa BURIGI. Nakuona kama vile una bidii kubwa ya kujitafutia laana bure.
 
Back
Top Bottom