Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Japokuwa sishabikii lolote kwenye hili. Binafsi naona ktk nyakat ngumu upinzani umepitia ni awamu iliyopitaHujui unachokibishia unafikiri mbowe ni mwanamziki? mbowe ni mwanasiasa na kiongozi wa upinzani ilitakiwa yeye ndo awe wa kwanza kupinga haya yanayoendelea sasa kuliko hata kipindi cha nyuma na hiyo ndo nafasi alioichagua au unafikili siasa ni mpaka uchaguzi tu
Kwa record tu waliwindwa, kupotezwa na kuwekwa gerezani.. still watu wale wale waliwaona wajinga?
Why wawapiganie now? After all they havve been through?
I mean hawa watu wana familia zao pia, hiv ni lazima wao tu?
Wananchi wenyewe hawawez au hawana udhubutu?