MrKanteChelsea
JF-Expert Member
- May 12, 2019
- 203
- 237
kama haupo utengeneze wewe una nafasi sio kupiga domo la lawamaKusema kweli nilikua nawamini Sana mbowe na lisu lakini Kwa haya yanayoendelea Kwa kweli hatuna wapinzani Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama haupo utengeneze wewe una nafasi sio kupiga domo la lawamaKusema kweli nilikua nawamini Sana mbowe na lisu lakini Kwa haya yanayoendelea Kwa kweli hatuna wapinzani Tanzania
Hivi bro una akili timamu?Mkuu swali ni kwamba mbona kakaa kimya hakosoi haya yanayoendelea? Hatujasema aanzishe mgomo,maandamano wala movement yeyote bali kinachowashangaza watu ni kimya chake.
AsanteNyie wapumbavu wa CCM si ndiyo mlikuwa mnapiga vigelegele wakati yule dhalim mporipori wenu anatumia mitutu ya bunduki kuhakikisha Bunge lote linakuwa la CCM? Sasa mnataka Mbowe na Lissu wakasemee wapi wakati hata mikutano ya hadhara ya vyama vya upinzani imepigwa marufuku kwa amri ya Rais? Ndiyo mjifunze mjue hasara ya kuwa na Bunge la kijani tupu. Hao wabunge wenu vilaza wameshapigwa pini kutopinga hoja yoyote inayoletwa Bungeni na Serikali. Na tozo ndiyo imeshatungiwa sheria na hao mazezeta wenu wameshaipitisha,sasa mnataka wapinzani washike bunduki? Mimi nasema tozo na kodi nyingine ziongezwe ili wapumbavu kama wewe mleta uzi huu akili ziwakae sawa.
Viongozi wenu wanapoharibu nchi mnashangilia mkifiri wanawakomoa wapinzani,sasa mtulie kimyaaa dawa iwaingie fresh.
zitto ni tapeli wakutupwa!Hapo nyuma walikuwa wanatudanganya kuwa wao ni wapambanaji na wapo kwa ajili ya maslahi ya taifa.
Pamoja na ugumu wa kufanya siasa zao za ujanja ujanja kwenye awamu ya tano lakini walikuwa wanapiga sana kelele na kuwaaminisha wafuasi wao wanapambania nchi.
Kelele zilikuwa nyingi baada ya kupoteza mali zao zenye makando kando na kuingia kwenye usaliti wa nchi kwenye sakata la madini.
Tumeona awamu ya sita imewaita ikulu na kuwapa wanachotaka. Lissu kapewa kila alichokuwa anadai.
Mbowe inasemekana pamoja na kufunguliwa gazeti lake ila kavuta mzigo wa maana.
Sasa hivi lugha yao imekuwa tofauti wanasema hawawezi kuongoza mapambano ya watu wasiojitambua.
Yani wafuasi wenu wamekuwa hawajitambui baada ya nyinyi kuingia makubaliano na Mama??
Mliitisha maandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi alafu viongozi hamkuonekana watu wakaja kuona Lissu anasindikizwa kupanda ndege na mabeberu huku Lema akitokomea kupitia njia za panya.
Kwa siasa hizi za uongo uongo na kujali matumbo yao. Je, ni wakati wa kuwatangaza watu hawa kama maadui wapya wa taifa letu??
NB: Zitto hatumuoni tena akija na analysis za kiuchumi wakati huu wa tozo kila eneo tofauti na huko nyuma.
Wewe unaongea mambo ya ushahidi wakati nakwambia huko jela kuna watu washafungwa kabisa kwa kesi za kubambikiwa na hakuna wa kwenda kuwaombea kwa rais kama ilivyofanyika kwa Mbowe.Kwa hiyo unaamini kuwa kesi ya Mbowe iliisha kwa kuombewa???!!!! Kulikuwa na ushahidi gani pale hata wa kusema tu kuwa ana kesi ya kujibu? Mbaya zaidi mpuuzi mmoja aliyesababisha hayo anateuliwa kwenye nafasi moja nyeti sana!!!
Kumbe umechanganya mafile, hebu lete huo uzi ambao nilikuwa nasema Mbowe afungwe.Nionyeshe uzi wowote au bandiko lolote ulilopandisha humu JF ukiilalamikia serikali au hata kuishauri. Wewe si ulikuwa unakejeli watu humu na kutaka mbowe afungwe?
Kipimo gani huwa unatumia wewe kujijua kuwa una akili timamu ili tuweze kutumia kipimo hiko kunipima na mimi hapa?Hivi bro una akili timamu?
Kitendo cha wewe kutumia muda mwingi kumlaumu mbowe asiekuwa bungeni badala ya kuwalaumu waliopo bungeni ni kipimo tosha cha upumbavu wakoKipimo gani huwa unatumia wewe kujijua kuwa una akili timamu ili tuweze kutumia kipimo hiko kunipima na mimi hapa?
Kwani Bungeni mmechagua chama gani?Kila mtu akale alipo peleka ugali,si mmechagua CCM wenyewe Kwa kishindo,Watu napata ulemavu ,wengine wanafungwa gerezani ,lakini mnaotetewa hamtaki kubadilika...Hapo nyuma walikuwa wanatudanganya kuwa wao ni wapambanaji na wapo kwa ajili ya maslahi ya taifa.
Pamoja na ugumu wa kufanya siasa zao za ujanja ujanja kwenye awamu ya tano lakini walikuwa wanapiga sana kelele na kuwaaminisha wafuasi wao wanapambania nchi.
Kelele zilikuwa nyingi baada ya kupoteza mali zao zenye makando kando na kuingia kwenye usaliti wa nchi kwenye sakata la madini.
Tumeona awamu ya sita imewaita ikulu na kuwapa wanachotaka. Lissu kapewa kila alichokuwa anadai.
Mbowe inasemekana pamoja na kufunguliwa gazeti lake ila kavuta mzigo wa maana.
Sasa hivi lugha yao imekuwa tofauti wanasema hawawezi kuongoza mapambano ya watu wasiojitambua.
Yani wafuasi wenu wamekuwa hawajitambui baada ya nyinyi kuingia makubaliano na Mama??
Mliitisha maandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi alafu viongozi hamkuonekana watu wakaja kuona Lissu anasindikizwa kupanda ndege na mabeberu huku Lema akitokomea kupitia njia za panya.
Kwa siasa hizi za uongo uongo na kujali matumbo yao. Je, ni wakati wa kuwatangaza watu hawa kama maadui wapya wa taifa letu??
NB: Zitto hatumuoni tena akija na analysis za kiuchumi wakati huu wa tozo kila eneo tofauti na huko nyuma.
Hawachi hujawahi kuniangushaKwako mtoa mada Lissu kawa mlemavu wewe umepoteza hata ukucha kwa sababu ya kutetea Nchi,Mbowe amesota mahabusu karibu mwaka wewe ushawahi kukaa hata usiku mmoja,binasfi naona kukaa kwao kimya ni vizuri maana walikuwa wanaumia peke yao kwa kutetea kundi la watu wengi.
Kwanza wapi nimemlaumu Mbowe kuhusu tozo? Maana naona mmeng'ang'ania hilo sijui hamjui maana ya kaulumu.Kitendo cha wewe kutumia muda mwingi kumlaumu mbowe asiekuwa bungeni badala ya kuwalaumu waliopo bungeni ni kipimo tosha cha upumbavu wako
Wabunge wenu waliopo mjengoni wamesha-play part gani mpaka sasa? Kama bado, je wa kulaumiwa ni nani?
Bavicha hawaamini wanachokiona uturn iliyopigwa na maadui wapya wa taifa ni ya hatari 😂😂
Baada ya kwenda ikulu na kupewa mapesa na Mama ndio mnajua leo watu hawataki kubadilika?Kwani Bungeni mmechagua chama gani?Kila mtu akale alipo peleka ugali,si mmechagua CCM wenyewe Kwa kishindo,Watu napata ulemavu ,wengine wanafungwa gerezani ,lakini mnaotetewa hamtaki kubadilika...
Unatetea mazuzu ukiwa haujapewa hela siku ukipewa mapesa unawatukanaMimi naona Mbowe na Lisu walichelewa kufanya maamuzi hata.
Huwezi tetea Mazuzu
Niliwahi andika hapa👉👉Barua ya wazi kwa Tundu Lissu kumuonya dhidi ya kutetea masikini na wapumbavu
Uzi wako ndio umeishia hapa au unaendelea?Hapo nyuma walikuwa wanatudanganya kuwa wao ni wapambanaji na wapo kwa ajili ya maslahi ya taifa.