Je, ni wana hiphop gani wameweza kutisha au kufanya vizuri hapa Afrika?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah! Huyo ana akili robo km zangu! Mimi napenda mpenzi rafiki maana nina maujinga mengi
 
Cute Wife kumbe we mzuri hivi😂

na katacle ka uchokozi😬
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah! Huyo ana akili robo km zangu! Mimi napenda mpenzi rafiki maana nina maujinga mengi
Ushawai nuniana na best ako, halafu mka rudiana kisa ujinga na wivu wa kijinga🤣😂😂😂
 
Ushawai nuniana na best ako, halafu mka rudiana kisa ujinga na wivu wa kijinga[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]

Mara nyingi mpk sometimes tunasuluhishwa na familia zetu, tunapigana mikausho mikali. Ugomvi ukiisha tunajicheka alafu tunasimuliana tulivyokuwa tunaumia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mara nyingi mpk sometimes tunasuluhishwa na familia zetu, tunapigana mikausho mikali. Ugomvi ukiisha tunajicheka alafu tunasimuliana tulivyokuwa tunaumia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mi nilishawai ambiwa ukipata RAFIKI ka Mimi, come and sleep with me🤣😂😂😂.
👉Nikavunga mwezi mzima, kumbe naliwa timing tu😂🤣🤣.
👉Siku niliyo muingelesha nilijuta, maana niliulizwa mbona hauongeii na fulani.

SI nikamtaja jina na kisa😂🤣, niliwakiwa hatari, Nika ambiwa kuwa niache shobo nikimuonaaa😂🤣🤣.
👉Kama nime miss, nitengeneze wa kufananisha na🤣😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…