Je, ni wana hiphop gani wameweza kutisha au kufanya vizuri hapa Afrika?

Nabii Al masih Isa ibn maryam, yaani Yesu Kristo wa Nazareth alisema hamtoishi kwa jiwe Bali kwa mkate, kufa njaa mwenyewe.

Me nataka kumla Cute Wife [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Dah! Yamekuwa hayo tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah! Bro kweli umenichoka nishakuwa njemba?!! Bas nipe dem wako nimkaze
Yaani ana roho mbaya chafu nyeusi hata shetani handsome boy kumbe ananitishia maneno maneno ili akuchukue, πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Gheto kufanya nini wewe imba hapa hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ghetto nitaimba na ku-perform live on stage huku nikiitumia mic vizuri Sana kwa ufundi na kipaji Cha ajabu mpaka uolewe na jasho kwa kushangilia. πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Yaani ana roho mbaya chafu nyeusi hata shetani handsome boy kumbe ananitishia maneno maneno ili akuchukue, [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] usimsikilize Lord sizitaki mbichi hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…