Je, ni wana hiphop gani wameweza kutisha au kufanya vizuri hapa Afrika?

Una ji contradict sana.
Una nitukana wakati, unajitukana..

Tuliacha ku buttle majina, tuna buttle njia.
Unamtukana dada angu, wakati ni dadako pia...
Na una dada pia, anapakatwa na anasaula..
Tunamjua kwa jina anaitwa paulaaa
Mi nimezaliwa kusema, mi nasema
So ukishindwa kutafsiri, relax
Labda utanielewa mwakani
Poor Brain
 
Una ji contradict sana.
Una nitukana wakati, unajitukana..

Tuliacha ku buttle majina, tuna buttle njia.
Unamtukana dada angu, wakati ni dadako pia...
Na una dada pia, anapakatwa na anasaula..
Tunamjua kwa jina anaitwa paulaaa

Woyooooo! Lete nyingine bro kali zaidi [emoji16][emoji16]
 
Kiuandishi killer ni mkali bro, huyo joh kapata support kutoka redio ya mawingu.
[emoji117]Ambayo Wana chuga wenzie ni washika usukani
Ukiona anabebwa ujue anabebeka wangapi wamebebwa na wameshindwa kujishikilia.. Joh ajahit mawingu pekee nimeanza kumjua Joh Makini wakati ambao sijui Clouds maana ilikuwa haishiki kwetu Namtumbo.
 
Ukiona anabebwa ujue anabebeka wangapi wamebebwa na wameshindwa kujishikilia.. Joh ajahit mawingu pekee nimeanza kumjua Joh Makini wakati ambao sijui Clouds maana ilikuwa haishiki kwetu Namtumbo.
Bro fid q na joh nani mkali, nikujue ukoje πŸ™„πŸ€”
 
Kuna siku alikuja home, akabadilisha nguo (live live)[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3526]

Mbona hiyo kawaida anakuona km me mwenzie tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mimi nilikuwa na best yangu watu walikua wanahisi natoka nae, kumbe wala!! Akinitongoza najua tunaendeleza utani, mpk alivyooa huyo dem nilimkuwadia mwenyewe!!
 
Joh Makini hamna kitu. Fid Q ni mwanahipop mwenye akili. Mistari ya Joh Makini myepesi sana. Inayolazimisha urari wa Vina na Mizani. Kiuhalisia hata Darasa ni mzuri kwa Joh Makini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…