Je, nini cha kufanya ukipata pesa kuanzia milion 1?(ninayo sasa)

Je, nini cha kufanya ukipata pesa kuanzia milion 1?(ninayo sasa)

Ndugu unaposema wewe ni mwalimu , tutaanza kutukanwa wote kwa ujinga wako ondoa edit hapo kwanza tukupe ushauri
mtukanwe na nani mkuu ama wamwogopa jamaa mmoja anaitwa mpumayungu

toa ushauri hata kwa kumwambia afatilie nyuzi za biashara ya library zimo humu
 
Laki 5 weka akiba bank, utt , 5 nyingine fungua hiyo ofisi mpya kama una computer inatosha kuanzia
 
Back
Top Bottom