Kama upo nyanda za juu kusininipo nyanda za juu kusini
Pita kitambaa cheupe sinza au tabataAsanteni naomba msaada wa mawazo, kwa sasa nina saloon, lakini pia ni mtumishi wa sekta binafsi nina komputa pia lengo nifanye library, nisaidien mawazo asanteni.
Shida ni mfuatiliaji kazini wanabana sanaKama upo nyanda za juu kusini
1. Nunua mashine ya kupukuchulia mahindi msimu wa mahindi unakaribia wakulima watakapovuna utakua unaenda wanafanya roba moja buku buku.
2. Nunua chain saw used shilingi milioni moja halafu utakua unaikodisha kwa wafanyabiashara wa mbao.
3. Msimu wa mpunga uko karibu nenda kanunue peleka mashineni koboa uza nayo pia ni fursa.
Jaribu kuwekeza huko utanishukuru baadae!!!
Sehemu gani ambayo ni nzuri zaidi kwa kuweka akiba embu tusaidie?Aweke akiba ifanye nini huko UTT huku ni kijana??
Basi huna haja ya kuanzisha biashara mpya tulia jikusanyesaloon ina miez 6 boss
I'm fuc*ing sick currently Madam but all is wellPasaka ulikuwa wapi?
Pole sana aiseeI'm fuc*ing sick currently Madam but all is well