Je, nini cha kufanya ukipata pesa kuanzia milion 1?(ninayo sasa)

chagua kitu kimoja unachoweza kukifanya kwa ubora, kisha👉
focus
focus
focus
 
Kwa bongo ukiwa na milioni hlf una ELIMU hutoboi, trust me. Hivo vitu viwili havikai pamoja.
 
Hela ya Kula hiyo weka kwenye account itulie kwanza Fanya mambo mengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…