Je, nini kipo nyuma ya BBC na hatma ya Ukristo na Wakristo duniani Ushoga kama mwelekeo wake Mpya?

Kuna some hidden agenda, let's wait and see....
 
BBC wahuni Sasa siku hizi
 
Ungelisusia na kanisa katoliki, maana papa anasema wabarikiwe.

Mkristo wa kweli mwenye imani ya Mwenyezi Mungu mmoja, lazima awe Muislam. Nje ya hapo ni feki tu.
 
Hiki chombo cha habari si kizuri kwa ukristo, kimekuwa kikusakama ukristo kikijua wakristo hawana munkari wa kuleta fujo kwenye ofisi zao popote duniani. Hebu wajaribu kuchalenji imani ya dini ile yenye jazba watashuhudia maandamano dunia nzima huku ofisi zao zikichomwa moto na waandamanaji wenye uchungu na dini yao kuchalenjiwa.
 
Tupigilie msumari hiki ni chombo cha kishetani kinachoendeshwa na mawakala wake duniani
 
BBC wanatoa habari za kweli hizi nguvu unazotumia ungetumia kupambana na Papa aliewaruhusu ushoga wanaume kwa wanaume muowane na muende kanisani mkabarikiwe
Kama Papa angekua amesingiziwa angekanusha hizo habari au kuwashtaki Bbc
mpuuzi wewe, unashadidia bila kujua mwenendo wa ajenda umelenga wapi na utaishia wapi, hata kwenye dini yako wanakuja hamtapona kwenye ushoga na tayari nchi kinara wa dini yenu zimebugizwa ndoana yenye chambo na zimeibugia
 
Usiwadanganye watu kisa umeshikwa Tako. Aljazeera unajua kama ni media ya Qatar ambayo ni uislamu. Utasemaje media kubwa ni mazayuni?
acha ujinga, unajua hiyo media ni kina nani wamewekeza, au kwa vile inawapendelea wapalestina/waislam na iko qatar ndio uamini ni chombo cha kiislam?
 
mpuuzi wewe, unashadidia bila kujua mwenendo wa ajenda umelenga wapi na utaishia wapi, hata kwenye dini yako wanakuja hamtapona kwenye ushoga na tayari nchi kinara wa dini yenu zimebugizwa ndoana yenye chambo na zimeibugia
Unajifanya unaijuia kanisa Catholic kuliko papa? Papa ndo mwenye kanisa lake karuhusu muowane wanaume kwa wanaume alafu mnailaumu Bbc wa kulaumiwa ni papa na ajenda zake za ushoga
 
hiyo habari ipo kwenye vyombo vya habari vya vatican?
 
BBC ni WA kweli they call a spade spade siyo kama tbc ya kupaka Paka rangi. Ulitaka waseme uongo ili kukufurahisha na T.B Joshua wenu aliyekuwa anatoa Mimba watu ovyo ovyo
Alikuwa akiwatoaje mimba? Yeye ni daktari? Au kwa nguvu ya roho Mtakatifu?
 
Huenda wana mabaya yao lakini nawasifu kwa kulifuatilia na kutusanua kuhusu ukweli wa albino kupotea wakikaribia kufa. Bila BBC kifuatilia na kuweka wazi hienda mpaka leo albino wangeendelea kuawa na sisi tungeendelea kuamini kwamba hua wanapotea
 
Ungelisusia na kanisa katoliki, maana papa anasema wabarikiwe.

Mkristo wa kweli mwenye imani ya Mwenyezi Mungu mmoja, lazima awe Muislam. Nje ya hapo ni feki tu.
unajitoa ufahamu, subiri uone na huo uislam utakavyochalenjiwa. Tena tayari wameshatu ndoana zao kwenye kinara wa uislam duniani. Usije ukashangaa uislam kuonjeshwa shubiri na kikombe cha sifongo. Uislam ulivyo sleek ndio utavurugwa kirahisi afadhali ya ukristo watapata ugumu kuuharibu
 
Unajifanya unaijuia kanisa Catholic kuliko papa? Papa ndo mwenye kanisa lake karuhusu muowane wanaume kwa wanaume alafu mnailaumu Bbc wa kulaumiwa ni papa na ajenda zake za ushoga
peleka ujinga wako kule, nani anamuamini papa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…