Ashoneshe nguo kwa fundi mudiOngeza idadi ya nguo ,ukiwa na nguo nyingi nguo Moja inachukua siku nyingi hadi kuirudia hivyo idadi ya kufuliwa na kupigwa na jua inapingua kama mfuko hauruhusu usijipinde sana kununua za duka .
Tafuta mtumba uchanganye na za duka
Watu mnavaa suruali Nyeupe kumbe.Nimewahi nunua Cadet Splash 2017 hadi leo ipo, kosa nilinunua nyeupe. Ila imedumu sana miaka 6 sasa
Tatizo lao ni bei yao ukienda Mtumbani wapata cadet 7 hadi 10
Kwamba angalau miez 4😁😁Mara chache nanunua caded pale sandaland,zinaitwa vicobs,zinadumu angalau miezi 4
Unazipiga hamsa hamsa kwann zisi fubae...Kuna kale karaha mtu upo huko katika shughuli zako umevaa nguo bado zipo fresh, Sio unapita sehemu nguo imepauka / rangi zimefifia yani hata mtu akikuangalia mara mbili unajua tu hapa kipengere ni nguo.
Nilinunua jeans 2 na cadet 2, kwa ufinyu wa bajeti yangu nilinunua jeans elf 25 kwa pair na cadet zilikuwa elf 28 kwa pair.
Nilitegemea walau zinivushe huu mwaka lakini hali imekuwa ndivyo sivyo, Kwa sasa naanza kuona hata soo kuzivaa.
nawaza hapa nikanunue cadet na jeans aina ipi ambazo zitaweza kunivusha salama huu mwaka na pia nizitunze vipi.
Jamani nguo zinanipasulia bajeti naombeni ushauri please.
Mkuu kwa nin unafanya ivyoNunua maduka ya Woolworths (Posta au Mlimani City au Mikocheni - Kwa Warioba) hutajutia. Mimi nina uniform dress code yaani navaa nguo za aina moja kila siku na sio nguo nyingi ila huwa zinadumu muda mrefu sana.
Angalau 4 months mzee,ndio kadet amabazo ninavaa kwa sasa ninazo 4, bei 35,hizi ni angalau kuliko zile za elfu 25 ambazo ni kama disposable.Kwamba angalau miez 4[emoji16][emoji16]
wafanya biashara wengi wanaingiza midosho af wanaipiga pesa ndefu yani unapigwa total lossKuna duka niliingia nikanunua jeans 120,000 plain. Ukinunua plain ya 45,000 hata wiki haichukui, natumia kwa ofisini pia.
Nimevaa niksema niipeleke dry cleaner isiharibike, ajabu iliporudi nashangaa imekuwa kubwa then inamwagika kama "Bahama" nilichoka kabisa.
Nanunua mtumba mkali, napelekea fundi mzuri anauchonga fresh!! 10,000 na kuichonga 2,000 hadi 5,000 kutegemea na ugumu wa mashono ya hiyo jeans.
Nikitupia midosho yenu ikasome
Nunua Cardet za Tommy Hilfiger , usifue kwa Sabuni ya Unga, Tumia Kipande, kama unatumia Machine tumia shampoo ya kuogea kama sabuni. SimpleKuna kale karaha mtu upo huko katika shughuli zako umevaa nguo bado zipo fresh, Sio unapita sehemu nguo imepauka / rangi zimefifia yani hata mtu akikuangalia mara mbili unajua tu hapa kipengere ni nguo.
Nilinunua jeans 2 na cadet 2, kwa ufinyu wa bajeti yangu nilinunua jeans elf 25 kwa pair na cadet zilikuwa elf 28 kwa pair.
Nilitegemea walau zinivushe huu mwaka lakini hali imekuwa ndivyo sivyo, Kwa sasa naanza kuona hata soo kuzivaa.
nawaza hapa nikanunue cadet na jeans aina ipi ambazo zitaweza kunivusha salama huu mwaka na pia nizitunze vipi.
Jamani nguo zinanipasulia bajeti naombeni ushauri please.
K/koo ni dampo la midoshoMidosho ni tatizo asee , kama kariakoo nimekata tamaa kabisa kununua nguo , midosho tupu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]jeans zetu hizo za 13k, 14k etc. Namimi ninayo moja saiv imekuwa bwanga hata suruali za kitambaa zinasubiri wakati kipindi naichukua kkoo ilikuwa modo safi kabisa.Mi kuna jeans nilinunua kila kukicha napeleka kwa fundi kubana
Sasa sijui nakonda kila siku [emoji1787]
Nguo nyingi za dukani ni kimeo sana, ikifuliwa mara tatu kazi imeisha. Sijui labda tununue cadet za 50k kwenda juu au vipi, hizi za 25k, 35k hamna kitu.Punguza kurudia mkuuu [emoji3][emoji3][emoji3]au kubali hivyo urudie baada ya miezi kadhaa ununue zingine