Je, Niwaambie Wazazi Kazi Ninayoifanya !?

AI
 
Mkuu au unapiga zile za baikokoπŸ˜‚ ila maisha, Anyway ungewaambia ukweli tu ili uishi kwa amani, kama wanatamani ungefanya kazi ya maana wangekutafutia, ila kama una kazi halali inayokupatia kipato, basi huo ni mwanzo mzuri, jitahidi muombe MUNGU utafikia malengo yako.
 
Ba
Baba yako niko hapa, hata huku napita na kuangalia yanayojiri...Endelea na maisha tu, hatuji tena kuangalia unakfanyia kazi! Zaidi tutakualika kwa kazi....
 
Kwanini walazimishe Kuja unapofanyia Kazi.
Sioni kama ni Kwa Nia njema.Adui wa maendeleo yako si lazima akawa mtu wa Mbali.
Kuna watu ukiteseka inawapa faraja Na ukianza fanikiwa inawakosesha Amani .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…