Je, Panya Road wamewashinda? Wamerudi kwa kasi ya kutisha sana

wewe ukikutana na watoto 12 wa rika la miaka 15 mpaka 19 unatoboa? ACHA KUJI MWAMBAFAI
Sio kujimwambafai.
Tayari mmeshajua kuna tatizo. Tatizo lenyewe ni kundi la watoto. Kwanini msitokee vijana nanyi mkaunda kikundi cha kukabiliana nao!?
Au mkuu wakija home wakamtaka shem utakaa pembeni ukiangalia mke akidhuriwa kisa wana mapanga?

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Unataka kuvunja haki za binadamu wewe hebu muwaache na muwakamate msije kuvunja haki za binadamu kama serikali ya awamu ya tano
Kwani wao wanalinda haki za binadamu?
Hizo haki za binadamu tuwaachie ulimwengu wa kwanza kwani walishavuka ishu za panya road

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Nyumba 20.Mmekaa mnasubiri wawaingilie wakate mapanga.
 
Walikuwepi kiboko msheli, wakaja komando yosso, wakaja panya road kisha changa usile. Sasa wamerudi komando yoso tena.

ila polisi watawanyoosha tu. Swala la muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…