TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Yaani ndivyo inatakiwa, hebu angalia Korea kwa kiduku, Russia au China!.Hahaha yule jamaa ikuwa akitoa tamko moja la kibabe simbilisi wote kimyaaaa....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani ndivyo inatakiwa, hebu angalia Korea kwa kiduku, Russia au China!.Hahaha yule jamaa ikuwa akitoa tamko moja la kibabe simbilisi wote kimyaaaa....
Sio kujimwambafai.wewe ukikutana na watoto 12 wa rika la miaka 15 mpaka 19 unatoboa? ACHA KUJI MWAMBAFAI
Kwani wao wanalinda haki za binadamu?Unataka kuvunja haki za binadamu wewe hebu muwaache na muwakamate msije kuvunja haki za binadamu kama serikali ya awamu ya tano
Mbwembwe za Kikaldayo zitakuja kukutoa Roho khenge wewe shauri zako!Hizi zali za kuvamiwa na Panya road na hamu na natamani zinitokee huo mkono ntakavyoutembeza itakuwa gumzo nchini kwa mda mrefu sana
Nyumba 20.Mmekaa mnasubiri wawaingilie wakate mapanga.Jamaa yangu anaishi Makubuli anasema hawa watu wamerudi kwa kasi kubwa,ari na guvu kubwa sana. Wanaweza pora nyumba mpaka 20 kwa usiku mmoja. Ni vijana wa umri wa miaka 12-30 wanakuwa wengi wakiwa na mapanga ,visu ,magongo na bisibisi. Kiukweli wameuteka mji wa Dar es Salaam. Nadhani kwa hiki kipindi ambacho polisi wapo mapumziko tutapata shida sana. Mpaka wakimaliza likizo Polisi hali itakuwa tete. Tuuombe Mungu sana.
Serikali yetu sikivu yenye kutujali na kutupenda je bado hamjapewa hizi habari? yaani kuna watu washavamiw ana kudhuriwa zaidi ya mara tatu na wakiepeleka taarifa polisi wanawaambia "wewe siyo mtu wa kwanza kushambuliwa na hao vibaka andika maelezo tutafuatilia" inaishia hapo. imekuwa ni jambo la kawaida na polisi haw aamabo tunawalipa mshahara wanaonekana kutoshtushwa kabisa na jambo hili. tunaomba serikali kwa kweli iingilie kati suala hili kwa ajili ya usalama wa wapiga kura wake na wachangia kodi.
Jamani sisi wananchi wote tukiuliwa nchini wakabaki panya road penye yao ninyi viongozi nani atawachangia kodi ambayo ndiyo inawasaidia kuzunguka nchini kwenye helkopta kuhamasisha anuani za makazi? au kwenda kuzinduliwa huko Ulaya na Marekani? Tumsaidie Rais wetu jamani mbona kama kila kitu mmemuachia yeye tu. yeye uzinduzi , yeye kusafiri kujielezea, yeye kila kitu ninyi mnafanya nini?
Wenyeji lazima wawepo. Wageni hawajui mazingira na miundombinu.Maranyingi hivi vikundi havitoki mtaa husika! Huwa wanaama wanaenda kufanya matukio na eneo ambalo haishi wala kupiga stori! Labda utapata mmoja tu wakutoa raman katika ao 20
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha cheka sana. Pitia hapo kwa mangi agizia chochote ntapitia baadaye renji yangu kulipia.Mbwembwe za Kikaldayo zitakuja kukutoa Roho khenge wewe shauri zako!
😂😂😂😂😂
hahahahah Sawa mkuu nakubali ngoja nimcheki mangi anipe Pepsi na kitimoto Eid Mubarak iendee murua!Hahaha cheka sana. Pitia hapo kwa mangi agizia chochote ntapitia baadaye renji yangu kulipia.