Itovanilo
JF-Expert Member
- Jul 30, 2018
- 2,314
- 5,150
Nalo neno hiliNa kazi tufanye saa ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nalo neno hiliNa kazi tufanye saa ngapi?
Mbona panya road wameweza?Hivyo niseme tu hakuna mjanja wa mkoa anaweza kushindana na watu wa Dar
KATA MIKONOI NA MIGUU HALAFU WASIMUUE WAMWACHE AENDE ZAKE WENZIE WAKIMUONA HAWATARUDIA HUO UJINGAKiwango cha juu ndio kiwango gani mkuu, ama wawanyang'anye mapangayao harakaharaka.😆😆
Ulinzi shirikishi kama wangapi?Mtaa unapaswa uwe na Ulinzi shirikishi,
Kama hauna,
Wanaume wa mtaa huo hasa wababa wa familia waitishe kikao cha dharura kuwakabili hao wahuni.
Itafaa akipatikana mmoja Kati ya kumi WA mfano ambaye mtamuadhibu Kwa kiwango cha juu kabisa ambacho itakuwa funzo Kwa wengine.
Wasiuwe kwanini?Dah!...vijana wadogo Sana hao wanaua ?...
very true huko kwa kuzuia mikutano wana weledi sanaSungusungu ndio dawa yao, hao polisi wa Siro wanajua kupiga na kuzuia mikutano ya wapinzani ,kuiba kura na rushwa tuu msipoteze muda wenu
Hence, proved.Mtaa unapaswa uwe na Ulinzi shirikishi,
Kama hauna,
Wanaume wa mtaa huo hasa wababa wa familia waitishe kikao cha dharura kuwakabili hao wahuni.
Itafaa akipatikana mmoja Kati ya kumi WA mfano ambaye mtamuadhibu Kwa kiwango cha juu kabisa ambacho itakuwa funzo Kwa wengine.
jamaa yangu anaishi Makubuli anasema hawa watu wamerudi kwa kasi kubwa,ari na guvu kubwa sana. wanaweza pora nyumba mpaka 20 kwa usiku mmoja. ni vijana wa umri wa miaka 12-30 wanakuwa wengi wakiwa na mapanga ,visu ,magongo na bisibisi. kiukweli wameuteka mji wa Dar es Salaam. Nadhani kwa hiki kipindi ambacho polisi wapo mapumziko tutapata shida sana...
Undeni vikundi vyenu vya ulinzi shirikishi mjilinde wenyewe acheni uoga.
Halafu hao ni vijana wenu mnaishi nao huko kwenu huenda hayo ni matokeo ya malezi mliyowapa, jiulizeni mlikosea wapi.
Panya rodi tunaishi nao mitaani, vibaka, wezi, majambazi na wavuta bangi wote tunaishi nao mitaani kwetu,
ni jamaa zetu, ndugu zetu, rafiki zetu, watoto wetu, wajomba zetu, wadogo zetu tunawafahamu tabia zao, tutoe taarifa tusiwalinde wahalifu halifu tukabaki kulilaumu Jeshi letu la Polisi.
Tuwafichue wahalifu.
Sazingine ndio maana nawaelewaga warabu na adhabuzao.KATA MIKONOI NA MIGUU HALAFU WASIMUUE WAMWACHE AENDE ZAKE WENZIE WAKIMUONA HAWATARUDIA HUO UJINGA