Fortyseven
JF-Expert Member
- Oct 30, 2020
- 1,129
- 2,142
Hao walipelekwa wodi za vichaa afu wakakae huko kama mwaka kisha warudishwe mtaani watatulia tuli hawatarudia tena na ingekuwa mm ndiye nna mamlaka unawapiga sindano ya sumu tuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana, hao ni kukata viganja vya mikonoHao ni kuchoma moto live hawatarudi tena
SasaUnapaswa kujua kuwa Dar es salaam ni sehemu ambapo Ina kila aina ya watu wanaotoka mikoani
Wababe wapo dar,
Wachezaji wa mpira wazuri wapo dar
Riadha,boxing,wanamuziki wazuri wapo Dar
Wavivu wengi,wapo Dar,watu laini laini wapo hapa
Hivyo niseme tu hakuna mjanja wa mkoa anaweza kushindana na watu wa Dar
TrueMiaka 60 ya uhuru bado suala la usalama wa raia ni kitendawili kweli? Si bora wagawe bunduki kwa kila kaya ili ijilinde.
Dar Kuna wanaume basi?Mtaa unapaswa uwe na Ulinzi shirikishi,
Kama hauna,
Wanaume wa mtaa huo hasa wababa wa familia waitishe kikao cha dharura kuwakabili hao wahuni.
Itafaa akipatikana mmoja Kati ya kumi WA mfano ambaye mtamuadhibu Kwa kiwango cha juu kabisa ambacho itakuwa funzo Kwa wengine.
Mtaa gani huo mlifanya hvoHao mnawachekea na kuwalea nyinyi wenyewe sababu wanaishi majumbani mwenu humo humo na mnawafahamu vizuri sana. Sisi mtaani kwetu walijaribu kuanza huo ujinga tulipita nyumba hadi nyumba kuwachomoa mchana kweupe majumbani mwao na kuwapiga kiberiti hadharani wengine wakakimbilia huko Chanika. Mpaka leo hii hawajawahi kuthubutu kukanyaga tena.
Unaonekana unaweza kuisaidia policeSerikali itoe silaha kwenye uongozi wa serikali za mitaa kwa ajili ya kutengeneza operation ya kuwadhibiti hawa.
Nasema hivyo kwasababu sungusungu wenye marungu na panga ni ngumu kudhibiti kundi la panya road maana kwa hesabu ya haraka wanakuwa hadi 40 afu mmoja kati yao anakuwa na gun
Zipo habari kwamba hawa watoto wanapewa silaha za moto na baadhi ya matajiri kwa hiyo kama unafikiria ku solve hii ishu kwa silaha ya panga utakuwa unajidanganya.
Serikali ikitoa hizo silaha naamini haitakuwa tena jambo la kuwasubiri wapite ndio muwashambulie, hiyo itakuwa ni special operation ya kuwafata kokote walipo na pindi unapomkamata mmoja bana pumbu na prise mpaka ataje kikosi kizima.
Unangea sababu upo ughaibuni tuHizi zali za kuvamiwa na Panya road na hamu na natamani zinitokee huo mkono ntakavyoutembeza itakuwa gumzo nchini kwa mda mrefu sana
Ushasahau kibiti sio?Watu wanakua waoga kusema hivi, "Utawala wa awamu ya tano ujambazi, wizi na vibaka walikoma, walianza kufanya kazi nyingine"
Yaani kwenye makaratasi, utawala wa awamu 5 ulipiga pesa, hali halisi inapingana na makaratasi, wananchi wamechagua kuamini data zao na sio za makaratasi; ushahidi mwingine huo hapo wa panya road
Video ulioiona ikisamba mitandaoni wale ni wakenya, tukio limetokea Kenya [emoji1139]Jamaa yangu anaishi Makubuli anasema hawa watu wamerudi kwa kasi kubwa,ari na guvu kubwa sana. Wanaweza pora nyumba mpaka 20 kwa usiku mmoja. Ni vijana wa umri wa miaka 12-30 wanakuwa wengi wakiwa na mapanga ,visu ,magongo na bisibisi. Kiukweli wameuteka mji wa Dar es Salaam. Nadhani kwa hiki kipindi ambacho polisi wapo mapumziko tutapata shida sana. Mpaka wakimaliza likizo Polisi hali itakuwa tete. Tuuombe Mungu sana.
Serikali yetu sikivu yenye kutujali na kutupenda je bado hamjapewa hizi habari? yaani kuna watu washavamiw ana kudhuriwa zaidi ya mara tatu na wakiepeleka taarifa polisi wanawaambia "wewe siyo mtu wa kwanza kushambuliwa na hao vibaka andika maelezo tutafuatilia" inaishia hapo. imekuwa ni jambo la kawaida na polisi haw aamabo tunawalipa mshahara wanaonekana kutoshtushwa kabisa na jambo hili. tunaomba serikali kwa kweli iingilie kati suala hili kwa ajili ya usalama wa wapiga kura wake na wachangia kodi.
Jamani sisi wananchi wote tukiuliwa nchini wakabaki panya road penye yao ninyi viongozi nani atawachangia kodi ambayo ndiyo inawasaidia kuzunguka nchini kwenye helkopta kuhamasisha anuani za makazi? au kwenda kuzinduliwa huko Ulaya na Marekani? Tumsaidie Rais wetu jamani mbona kama kila kitu mmemuachia yeye tu. yeye uzinduzi , yeye kusafiri kujielezea, yeye kila kitu ninyi mnafanya nini?
If I had a gun I wouldn't need themUnaonekana unaweza kuisaidia police
Halafu kuna mtu anakwambia Magufuli aliturudisha nyuma, huwa nabaki kujiuliza kwani tulikuwa mbele kiasi gani? Ukiacha hao panya road Hadi leo et bado kuna mitaa inatambulika kwa uhalifu kwamba ikifika muda fulani usipite.Miaka 60 ya uhuru bado suala la usalama wa raia ni kitendawili kweli? Si bora wagawe bunduki kwa kila kaya ili ijilinde.
Undeni vikundi vyenu vya ulinzi shirikishi mjilinde wenyewe acheni uoga.
Halafu hao ni vijana wenu mnaishi nao huko kwenu huenda hayo ni matokeo ya malezi mliyowapa, jiulizeni mlikosea wapi.
Sasa wenye jukumu la kulinda usalama wa raia na mali zao wao wanafanya nini?Panyaroad ni jukumu la Jamii husika kuwamaliza. Nunueni mishale na speaker za kupigia yowe wazingireni wapigeni mishare yenye sumu nusu wakilala chini hawatorudi tena
Hivi kumbe panya road wameibuka kipindi cha Magufuli?Jilindeni kwa mtindo wa kuchukua sheria mkononi, maana polisi wako kuilinda ccm ili ibaki madarakani kwa shuruti. Viongozi wa ccm waliowekwa madarakani kibabe na Magufuli, ndio wanaoshirikiana na hao vibaka ili wakati wa uchaguzi wawaagize kuwateka wapinzani. Hakikisheni kila kibaka mnachoma moto huenda polisi wakaamka vibaka wengi wakichomwa moto, kwani hao vibaka huwa wanawapa hela ili wawaache wapige show.
Kwani hadi sasa mnazuiwa kufanya mikutano?Umeambiwa polisi wakiripotiwa hao vibaka wanaishia kuandika jalada bila kuchukua hatua yoyote. Kimsingi polisi hawana uwezo wala nia ya kupambana na vibaka wenye silaha, wao kazi yao kubwa ni kupambana na wafuasi wa cdm wasio na silaha, ili wapate sifa kwa viongozi wa ccm wanaowalipa mshahara. Yaani vibaka wajae mtaani kila mtu anajua intelijensia ya polisi isifahamu hadi isiburi kuletewa taarifa tu? Ila cdm wakitaka kufanya mkutano wa amani wanawazuia kwa kisingizio cha intelijensia yao inaonyesha kutakuwa na vurugu!
Dawa ya hao ni malezi ya kijeshi Kambi za kilimo na ufugaji.Tuna Rasilimali Ardhi ya kutosha na JW wapewe jukumu la ziada kulea vijana, tukishindwa kulea tutalelewa na vikundi vya kikabe na magaidiKunakipindi walichomwa pia lakini bado wanarudia labda kuwachoma sio sawa wakamatwe wapelekwe kwenye vyombo vya sheria ili sheria ichukue mkondowake.[emoji41]