TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Undeni vikundi vyenu vya ulinzi shirikishi mjilinde wenyewe acheni uoga.
Hivi vikundi vyetu vya ulinzi mara nyingi huwa hawazidi watu 6-8, but hao vijana panya road huwa ni pairs kuanzia 12 mpaka 24.Mtaa unapaswa uwe na Ulinzi shirikishi,
Kama hauna, wanaume wa mtaa huo hasa wababa wa familia waitishe kikao cha dharura kuwakabili hao wahuni.
Yaani wakija ni kufunga mtaa, ole wako uchungulie dirishani 😆!.
PICHA: Ni mfano tu.