Je, Panya Road wamewashinda? Wamerudi kwa kasi ya kutisha sana

Je, Panya Road wamewashinda? Wamerudi kwa kasi ya kutisha sana

Undeni vikundi vyenu vya ulinzi shirikishi mjilinde wenyewe acheni uoga.
Mtaa unapaswa uwe na Ulinzi shirikishi,
Kama hauna, wanaume wa mtaa huo hasa wababa wa familia waitishe kikao cha dharura kuwakabili hao wahuni.
Hivi vikundi vyetu vya ulinzi mara nyingi huwa hawazidi watu 6-8, but hao vijana panya road huwa ni pairs kuanzia 12 mpaka 24.

Yaani wakija ni kufunga mtaa, ole wako uchungulie dirishani 😆!
.

download (4).jpg

PICHA: Ni mfano tu.
 
Ni vijana wa umri wa miaka 12-30 wanakuwa wengi wakiwa na mapanga ,visu ,magongo na bisibisi.
Kiukweli wameuteka mji wa Dar es Salaam.

SINA HAKIKA NA ULICHOA ANDIKA, NIKO HAPA JIJINI NA SIJATEKWA
INAWEZEKANA HAO PANYA WAPO SEHEMU YENYE WANAUME DHAIFU.

KAMA PANYA WANASOMA UJUMBE HUU BASI NA WAJE HUKU, MAKONGO JUU, GOBA, MBEZI, TEGETA, KAWE, MIKOCHENI, BUNJU, BOKO.
HUKU TUNAKAMATA, TUNAPIGA, TUNA FIR@!

USHAURI KWA MAENEO YALIO ATHIRIKA KAMA YAPO: NANYI UNDENI "
PAKA ROAD"
 
Wanaangaliaga na mitaa ya kuonea😂
 
Miaka 60 ya uhuru bado suala la usalama wa raia ni kitendawili kweli? Si bora wagawe bunduki kwa kila kaya ili ijilinde.
Mkuu Ukigawa bunduki kila kaya ina maana utagawa bunduki hadi kaya ya mapanya road hapo itakua ni fire fire,, Cha msingi mkikamata vibaka ua mwacheni mtaani kweupee ili wengine waone.
 
Mkuu Ukigawa bunduki kila kaya ina maana utagawa bunduki hadi kaya ya mapanya road hapo itakua ni fire fire,, Cha msingi mkikamata vibaka ua mwacheni mtaani kweupee ili wengine waone.
Bora iwe fire fire kuliko kuwa na vyombo vya ulinzi na usalama vinavyoshindwa na makundi ya watoto yenye visu na chupa.
 
Vitoto hivi visenge sana, vinatembea na viwembe vipya - ukigoma kutoa pochi, walllet, simu / saa / viatu kama umevaa ndula kali unalabwa viwembe vya kutosha. Ni hatari sana.
Hao ndo siku twawadaka hakuna huruma maana wakudake utajua hujui
 
Acheni ukatili. Panya road nao ni binadamu kama sisi wote. Kama wanavunja sheria wakamatwe washtakiwe kwa mujibu wa sheria.
 
Bora iwe fire fire kuliko kuwa na vyombo vya ulinzi na usalama vinavyoshindwa na makundi ya watoto yenye visu na chupa.
Mkuu daka mguu wa kuku Rwanda apo kama laki 4 hivi, risasi 10 unapata hakikisha hupotezi ata risasi moja apo unaangusha wote 10 alafu wawekee bastola sema ulipola kwao na kuwaua.
 
Nimeona milard ayo akpost kuonesha baadhi ya madogo wamekamatwa na wanawa press kuwafanya wawataje na wenzao, hiyo inaweza kuwa mwanzo wa ku eliminate the whole gang kama polisi wataweka mkazo

Kwasababu kupitia hao 9 nahakika wanaweza taja kila member ambaye yupo kwenye makundi ya panya road kila mitaa
Polisi watafuata Sheria,hao mbuzi na vibaka wengine huwa tunawatuliza kwa vifo
 
Ni vijana wa umri wa miaka 12-30 wanakuwa wengi wakiwa na mapanga ,visu ,magongo na bisibisi.
Kiukweli wameuteka mji wa Dar es Salaam.

SINA HAKIKA NA ULICHOA ANDIKA, NIKO HAPA JIJINI NA SIJATEKWA
INAWEZEKANA HAO PANYA WAPO SEHEMU YENYE WANAUME DHAIFU.

KAMA PANYA WANASOMA UJUMBE HUU BASI NA WAJE HUKU, MAKONGO JUU, GOBA, MBEZI, TEGETA, KAWE, MIKOCHENI, BUNJU, BOKO.
HUKU TUNAKAMATA, TUNAPIGA, TUNA FIR@!

USHAURI KWA MAENEO YALIO ATHIRIKA KAMA YAPO: NANYI UNDENI "
PAKA ROAD"
Jamaa yangu mbona huku kinondoni hawapo,dar gani waliyoiteka!?
 
Sungusungu ndio dawa yao, hao polisi wa Siro wanajua kupiga na kuzuia mikutano ya wapinzani ,kuiba kura na rushwa tuu msipoteze muda wenu
sungusungu wa nini wakati polisi wanalipwa mishahara kwa kodi zetu kwa kazi hiyo mkuu!
 
Tutumie sayansi, tuweke GPS mali zetu muhimu, wakiiba tutumie kuwapata wanunuzi na mwishowe tuumalize huo mtandao.mbona vinawezekana.kama polisi nao watadhamiria.
 
Kunakipindi walichomwa pia lakini bado wanarudia labda kuwachoma sio sawa wakamatwe wapelekwe kwenye vyombo vya sheria ili sheria ichukue mkondowake.😎

Muhimu kuwa na sera dhabiti kuwapa ajira vijana, mazingira mazuri ya kufanya biashara.

Sungusungu kutoka kila nyumba mtaani. Otherwise wanaweza kuwa vibaka wenyewe wamejipanga.
 
Hivi kumbe panya road wameibuka kipindi cha Magufuli?

Mkuu, Magufuli amekusababishia stress ile mbaya!

Na bado atakubutua sana hata baada ya kufa.

Toka akiwa hai nilikuwa nampa hizi hizi. Nyie mitume wake ndio mnateseka.
 
Back
Top Bottom