Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Unadhani kodi yako inafanya kazi ipi sasa na wakati police ni jeshi la kulinda watu na Mali zaoVumilieni Sasa au kodisheni kampuni binafsi za ulinzi.
Kipindi cha JPm mbona walipotea?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadhani kodi yako inafanya kazi ipi sasa na wakati police ni jeshi la kulinda watu na Mali zaoVumilieni Sasa au kodisheni kampuni binafsi za ulinzi.
Magufuli aliwaambia kabisa polisi kwamba usisubiri jambazi au kibaka akunyang'anye siraha, bali wewe polisi ndio uinyanganye ya kwake haraka sana.Halafu kuna mtu anakwambia Magufuli aliturudisha nyuma, huwa nabaki kujiuliza kwani tulikuwa mbele kiasi gani? Ukiacha hao panya road Hadi leo et bado kuna mitaa inatambulika kwa uhalifu kwamba ikifika muda fulani usipite.
Aisee!!Hizi zali za kuvamiwa na Panya road na hamu na natamani zinitokee huo mkono ntakavyoutembeza itakuwa gumzo nchini kwa mda mrefu sana
Pengine kuna watu wana masilahi na haya makundi ya panya road ndio huwatuma.Wakati wa Magufuri mambo haya ya panya road yalikwisha kabisa,wameona nini na kurudi kwa kasi?,IGP ni yule yule
Lilikuwa ni kundi la Commando Yoso, lilisumbuwa sana mburahati na Magomeni lakini ni wananchi ndio walilikomesha.Miaka ya nyuma kwetu mburahati kuna mtindo ulitumika wa kuwa na list ya watoto wote walioshindikana basi walikuwa wanapita kila nyumba na kuwachinja mikono hata kumaliza kabisa ila kipindi hiko mrema alikuwa wazili wa ulinzi.watu mpaka wakakimbia
Kamfufue basi magufuliKama kipindi cha Magufuli walitoweka ila baada ya kufariki na ukaja uongozi mwingine wamerudi, Sasa hapo unapata majibu gani
mikoa yote watu wa hivyo wapo, acha kujidanganya.Unapaswa kujua kuwa Dar es salaam ni sehemu ambapo Ina kila aina ya watu wanaotoka mikoani
Wababe wapo dar,
Wachezaji wa mpira wazuri wapo dar
Riadha,boxing,wanamuziki wazuri wapo Dar
Wavivu wengi,wapo Dar,watu laini laini wapo hapa
Hivyo niseme tu hakuna mjanja wa mkoa anaweza kushindana na watu wa Dar
Abiria chunga mzigo wako.Sasa wenye jukumu la kulinda usalama wa raia na mali zao wao wanafanya nini?
Duuh nmecheka SanaNyie endeleeni kulialia mtandaoni hadi mlawitiwe wote na wake zenu wakat hapo mtaani mnaweza kujipanga mkawadhibiti nyie mnawaza tu kufanya scrub na kuvaa suruali fupi na viatu bila soksi mtapakuliwa Hadi akili iwakae sawa, wanaume wa dar bana, mtaani mko wanaume 100 mnavamiwa na vijana 20 mnashindwa kujipanga ili kukabiliana nao Hadi watokomee?
Hao mbona huwa hawadhibitiwi kwa silaha,sisi tuliwapeleleza,tukawajua...tukaua mmoja baada ya mwingine hata Kama hajafanya uhalifu siku hiyo,wengine walikimbia....hii mwananyamala walitumia piaSerikali itoe silaha kwenye uongozi wa serikali za mitaa kwa ajili ya kutengeneza operation ya kuwadhibiti hawa.
Nasema hivyo kwasababu sungusungu wenye marungu na panga ni ngumu kudhibiti kundi la panya road maana kwa hesabu ya haraka wanakuwa hadi 40 afu mmoja kati yao anakuwa na gun
Zipo habari kwamba hawa watoto wanapewa silaha za moto na baadhi ya matajiri kwa hiyo kama unafikiria ku solve hii ishu kwa silaha ya panga utakuwa unajidanganya.
Serikali ikitoa hizo silaha naamini haitakuwa tena jambo la kuwasubiri wapite ndio muwashambulie, hiyo itakuwa ni special operation ya kuwafata kokote walipo na pindi unapomkamata mmoja bana pumbu na prise mpaka ataje kikosi kizima.
Polisi wako elfu 40 tu Tz nzima na Raia tuko Million 60 bado tu wanaume na ndevu zao wanasubiri polis ndo waje wawasaidie na wakat wanaendelea kudhurika.Duuh nmecheka Sana
Kwamba wanasubiri Kila raia awe na police was kumlonda
Hawaizidi Dar,Kuna kipindi fulani Kuna kikundi kilikuwa Tanga kilitisha sana lakini Dar ndiyo mwalimumikoa yote watu wa hivyo wapo, acha kujidanganya.
Unadhani polisi wapo wengi sana kiasi cha kutosha kulinda kila mtu?Unadhani kodi yako inafanya kazi ipi sasa na wakati police ni jeshi la kulinda watu na Mali zao
Kipindi cha JPm mbona walipotea?
Oya hivi unaongea haya kwa experience au kwa masimulizi?Polisi wako elfu 40 tu Tz nzima na Raia tuko Million 60 bado tu wanaume na ndevu zao wanasubiri polis ndo waje wawasaidie na wakat wanaendelea kudhurika.
Mtaani mko watu wazima 40+, vijana 50+ kikundi kinacho vamia mitaa ni vikundi vya watu 15-20 na wanatumia silaha za jadi, hivi kweli wanaume mtaani mnashindwa kujipanga kukabiliana nao kwa kununua hata mishale? Mkiwapiga mishale ya sumu hata vijana 9 na wenzao wakaona na kusikia alaf mkaendelea kuwapigia misako had huko wanapoishi hao vijana wataendelea tu kuwepo?
Wanaume wa Dar wanajiendekeza sana kweli naamini sasa mtoto wa kiume akilakila chips sana na kushindia vipande vya mihogo anaweza kugeuka kigori Kama hawa vijana wenzetu wa Dar
Nimeona milard ayo akpost kuonesha baadhi ya madogo wamekamatwa na wanawa press kuwafanya wawataje na wenzao, hiyo inaweza kuwa mwanzo wa ku eliminate the whole gang kama polisi wataweka mkazoHao mbona huwa hawadhibitiwi kwa silaha,sisi tuliwapeleleza,tukawajua...tukaua mmoja baada ya mwingine hata Kama hajafanya uhalifu siku hiyo,wengine walikimbia....hii mwananyamala walitumia pia