Leonardchama7
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 2,963
- 4,027
Wafuateni makwao maana ni vijana mnaoishi nao.
Mkimkamata ua acha ndugu wazike
Mkimkamata ua acha ndugu wazike
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama anaupiga mwingiiiii!Jamaa yangu anaishi Makubuli anasema hawa watu wamerudi kwa kasi kubwa,ari na guvu kubwa sana. Wanaweza pora nyumba mpaka 20 kwa usiku mmoja. Ni vijana wa umri wa miaka 12-30 wanakuwa wengi wakiwa na mapanga ,visu ,magongo na bisibisi. Kiukweli wameuteka mji wa Dar es Salaam. Nadhani kwa hiki kipindi ambacho polisi wapo mapumziko tutapata shida sana. Mpaka wakimaliza likizo Polisi hali itakuwa tete. Tuuombe Mungu sana.
Serikali yetu sikivu yenye kutujali na kutupenda je bado hamjapewa hizi habari? yaani kuna watu washavamiw ana kudhuriwa zaidi ya mara tatu na wakiepeleka taarifa polisi wanawaambia "wewe siyo mtu wa kwanza kushambuliwa na hao vibaka andika maelezo tutafuatilia" inaishia hapo. imekuwa ni jambo la kawaida na polisi haw aamabo tunawalipa mshahara wanaonekana kutoshtushwa kabisa na jambo hili. tunaomba serikali kwa kweli iingilie kati suala hili kwa ajili ya usalama wa wapiga kura wake na wachangia kodi.
Jamani sisi wananchi wote tukiuliwa nchini wakabaki panya road penye yao ninyi viongozi nani atawachangia kodi ambayo ndiyo inawasaidia kuzunguka nchini kwenye helkopta kuhamasisha anuani za makazi? au kwenda kuzinduliwa huko Ulaya na Marekani? Tumsaidie Rais wetu jamani mbona kama kila kitu mmemuachia yeye tu. yeye uzinduzi , yeye kusafiri kujielezea, yeye kila kitu ninyi mnafanya nini?
Hawa wakipatikana,ni kuondoa kiganja cha mkono mmoja. Inakuwa ni life identity kuwa huyu ni kibaka.Najua kuwachoma moto is extreme and too much lakini lazima itafutwe namna ili wakitaka kufanya tena wajiulize mara mbili, lakini wale mbwa nasikia hawaibi tuu na kupora wanaua watu pia, fire for fire
Acheni uoga njoo niwape drones zenye acid muwanyunyizeUnaongea tu kwakuwa mdomo Mali yako ,juzi nimewaona kwa mbali yaani hali inatisha lile kundi
acid huko mbali zenye upupu.Acheni uoga njoo niwape drones zenye acid muwanyunyize
Ulinzi wako unaanza na wewe kwanza na sio police,maana hadi wafike police washapotea hao watoto.Zile enzi za kutembea na visu na panga kiunoni kama wamasai ili kujilinda zimerudi sasa. Muhimu mtu usikose kutembea na lile bisi bisi refu maana ni bonge la silaha ukilizamisha tumboni kwa mmojawapo hiyo sauti atakayotoa lazima wenzake watimue mbio. Najua kati ya panya road 40+ sitakosa mmoja wa kumuachia kitu cha kwenda kuwaelezea wenzake wakati wanagawana mali za wizi labda tu wawahi kunimaliza kabla sijapata nafasi ya kujitetea.
Ila yote kwa yote jeshi la polisi likiamua ni muda mfupi tu hawa panya road wanapotea. Tatizo lao ni mpaka waambiwe na wakubwa wao waanze operesheni ndio utaona shughuli yao. Hii sio mara ya kwanza hawa panya road kutokea kwani kipinda cha nyuma waliishaibuka mara nyingi na jeshi hili hili la polisa liliwamaliza kabisa.
Muliro Jumanne Muliro kazi yake kubwa ni kuhudhuria mechi katika dimba la Mkapa hakosagi mechi yaaniJamaa yangu anaishi Makubuli anasema hawa watu wamerudi kwa kasi kubwa,ari na guvu kubwa sana. Wanaweza pora nyumba mpaka 20 kwa usiku mmoja. Ni vijana wa umri wa miaka 12-30 wanakuwa wengi wakiwa na mapanga ,visu ,magongo na bisibisi. Kiukweli wameuteka mji wa Dar es Salaam. Nadhani kwa hiki kipindi ambacho polisi wapo mapumziko tutapata shida sana. Mpaka wakimaliza likizo Polisi hali itakuwa tete. Tuuombe Mungu sana.
Serikali yetu sikivu yenye kutujali na kutupenda je bado hamjapewa hizi habari? yaani kuna watu washavamiw ana kudhuriwa zaidi ya mara tatu na wakiepeleka taarifa polisi wanawaambia "wewe siyo mtu wa kwanza kushambuliwa na hao vibaka andika maelezo tutafuatilia" inaishia hapo. imekuwa ni jambo la kawaida na polisi haw aamabo tunawalipa mshahara wanaonekana kutoshtushwa kabisa na jambo hili. tunaomba serikali kwa kweli iingilie kati suala hili kwa ajili ya usalama wa wapiga kura wake na wachangia kodi.
Jamani sisi wananchi wote tukiuliwa nchini wakabaki panya road penye yao ninyi viongozi nani atawachangia kodi ambayo ndiyo inawasaidia kuzunguka nchini kwenye helkopta kuhamasisha anuani za makazi? au kwenda kuzinduliwa huko Ulaya na Marekani? Tumsaidie Rais wetu jamani mbona kama kila kitu mmemuachia yeye tu. yeye uzinduzi , yeye kusafiri kujielezea, yeye kila kitu ninyi mnafanya nini?
Wakati wa Magufuri mambo haya ya panya road yalikwisha kabisa,wameona nini na kurudi kwa kasi?,IGP ni yule yuleJamaa yangu anaishi Makubuli anasema hawa watu wamerudi kwa kasi kubwa,ari na guvu kubwa sana. Wanaweza pora nyumba mpaka 20 kwa usiku mmoja. Ni vijana wa umri wa miaka 12-30 wanakuwa wengi wakiwa na mapanga ,visu ,magongo na bisibisi. Kiukweli wameuteka mji wa Dar es Salaam. Nadhani kwa hiki kipindi ambacho polisi wapo mapumziko tutapata shida sana. Mpaka wakimaliza likizo Polisi hali itakuwa tete. Tuuombe Mungu sana.
Serikali yetu sikivu yenye kutujali na kutupenda je bado hamjapewa hizi habari? yaani kuna watu washavamiw ana kudhuriwa zaidi ya mara tatu na wakiepeleka taarifa polisi wanawaambia "wewe siyo mtu wa kwanza kushambuliwa na hao vibaka andika maelezo tutafuatilia" inaishia hapo. imekuwa ni jambo la kawaida na polisi haw aamabo tunawalipa mshahara wanaonekana kutoshtushwa kabisa na jambo hili. tunaomba serikali kwa kweli iingilie kati suala hili kwa ajili ya usalama wa wapiga kura wake na wachangia kodi.
Jamani sisi wananchi wote tukiuliwa nchini wakabaki panya road penye yao ninyi viongozi nani atawachangia kodi ambayo ndiyo inawasaidia kuzunguka nchini kwenye helkopta kuhamasisha anuani za makazi? au kwenda kuzinduliwa huko Ulaya na Marekani? Tumsaidie Rais wetu jamani mbona kama kila kitu mmemuachia yeye tu. yeye uzinduzi , yeye kusafiri kujielezea, yeye kila kitu ninyi mnafanya nini?
Utadhani wewe unaishi mbinguni. Haya umesomekaUndeni vikundi vyenu vya ulinzi shirikishi mjilinde wenyewe acheni uoga.
Halafu hao ni vijana wenu mnaishi nao huko kwenu huenda hayo ni matokeo ya malezi mliyowapa, jiulizeni mlikosea wapi.
Keyboard warriorsHizi zali za kuvamiwa na Panya road na hamu na natamani zinitokee huo mkono ntakavyoutembeza itakuwa gumzo nchini kwa mda mrefu sana
hawa madogo hawaelewi hali ya hawa watu. wanafikiria ni watoto wadogo wa umri wa chekechekea. hili linakuwa kundi la watu zaidi ya 30 sometimes wamebeba kila silaha wanayoweza kuwa nayo. wako organized na hawasemi leo tunakuja kwenu. watu mnakuwa kazini mnakuja kushtukia matukio kama hayo mmerudi au kila mmoja kwa wakati wake.Unaongea tu kwakuwa mdomo Mali yako ,juzi nimewaona kwa mbali yaani hali inatisha lile kundi