Je, pesa uliyonayo itamudu gharama za maisha yako kwa miaka mingapi bila kufanya kazi?

Kwa mwezi expence sio Chini 1m-800,000/=.

Hayo matumizi ya 2m kwa mwaka ,nifundishe mkuu, Nianze kubajet.
 
Kwa mwezi expence sio Chini 1m-800,000/=.

Hayo matumizi ya 2m kwa mwaka ,nifundishe mkuu, Nianze kubajet.
mkuu tathimin namna unavoishi na hapo mim najibana, make npo pekee.

Pili iheshm pesa tu, punguza manunuz yacyo lazma, mim cyo mtu wa pamba kali navalia kawaida tu.

Starehe hasa mbususu sio za kuendkeza bora ukawa nae mmja mwaminifu ila akizdisha matumiz kukuzid tema.
 
Ndio maana hata tukiumwa huwa tunajikaza tunajiuguza ukiwa eneo la kazi maana ukisema ulale mambo yanaharibika zaidi.
Ni afadhali kidogo ukiwa na kazi umeshawahi kuvuta picha hauna kazi halafu una familia nyumbani wote wanategemea kichwa chako wanakusubiri utoke ndipo wale wavae na watoto waende shule...? Unaamka asubuhi unatoka lakini hujui unaelekea wapi.. haya maisha haya yakiamua kugeuka omba sana yasikukute
 
daah changamoto nazo huja kumpa mtu mbinu ya kujinasua, tupambanen tu mkuu
 
daah changamoto nazo huja kumpa mtu mbinu ya kujinasua, tupambanen tu mkuu
Uko sahihi kuna msemo unasema kusichokuua kinakuimarisha ila hua nikikaa nakumbuka mengi sana umehangaika mjini umefanikiwa kupata unga kidogo na dagaa Wa buku unampigia simu wife abandike maji ya ugali ukiangalia muda unasoma saa nne usiku watoto wanaamshwa Ili wale...
 
Tafuta hela fukara wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…