Je, Polisi washitakiwe kusababisha vifo kizembe vya random shootout? RIP Aqulina Akwilini, Baftaha, She is an Angel!

Baada ya kuona picha hio nimepata hasira..
Hivi binadamu wa kawaida unapataje ujasiri wa kumuua binti kama huyo.
Huu unyama nadhani hata wakoloni hawakufanya..
Shenz sana polisi wa tz.
Hukumu yenu mtaikuta mbinguni
Kabla ya mbinguni wanatakiwa kuipata hapa hapa kwa ujinga wao wanatumiwa kama kondom wanaachwa baada yakazi
 

Hakusaidii waandishi wa habari mnanguvu kubwa kuliko Risasi za Watawala lakini mmekuwa waoga kutumia kalamu na karatasi zenu. Mko tayari kusifu na kuabudu.

Unabahati ya kuwa mwandishi na mwanasheria
Jiulize ndani ya nafsi yako umechangia kwa kiasi gani binti huyu kukatishwa masomo yake na ndoto zake.

RIP Aqulina
 
So sad.. RIP.

Mwigulu Nchemba lisemee hili..

Hiyo ndio CCM inayolazimisha ipendwe kwa nguvu na wananchi..

Mkuu wangu Pascal Mayalla kama itakupendeza inabidi uandike suala zima la HAKI hasa kwenye hizi Chaguzi..

Jinsi NEC inavyoona rafu zote zinazofanywa na hawa wasimamizi wa Uchaguzi lakini nayo inakaa kimya tu..

Mfano huyu DED wa Kinondoni toka last week hataki kutoa barua za viapo kwa Mawakala wa Chadema mpaka jana kawekewa presha ya maandamano usiku ndio katoa hizo barua..

Uchaguzi ukiwa huru na wa haki hakuna ambae anaweza kukataa matokeo.
 
NO WAY ASKARI HAWANA MAKOSA NI LAZIMA WAHAKIKISHE AMANI NA UTULIVU VINAPATIKANA!
Tusijiingize katika anga zao jamani!
Rip Aqulina!
Hapana mkuu wana njia nyingi za kutuliza vurugu siyo lazima risasi za moto, ni upuuzi na ushenzi tu uliozoeleka TANZANIA mauaji kuwa sehemu ya maisha na watu kuona ni kawaida tu wakanyamaza nina uhakika ushenzi huu huwezi fanya kwa watu wanaojitambua kama kenya
 
Wa kulaumiwa ni Chadema....kwani viapo vinapatikana kwa kuleta fujo na maandamano haramu....Chadema ndiyo Chanzo cha kifo cha huyo binti na Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…