Je, Polisi washitakiwe kusababisha vifo kizembe vya random shootout? RIP Aqulina Akwilini, Baftaha, She is an Angel!

Watanzania habari za weekend hii ambayo najua ina umuhimu wake

Jana imetokea Tatizo ambalo ni dogo kulingana na utendaji kazi wa vyombo vya usalama,

Hakuna kazi isiyokuwa na changamoto,

Kabla hujalalama na kutoa povu jiulize

1.kwanini polisi wanaruhusiwa kubeba silaha za moto kutuliza ghasia?? kwanini wasinde na rungu tu?? ina maana wanabeba silaha za moto kujua kwamba mambo yakiwazidia lazima zitumike. Mna bahati exposure yenu ndogo mno katika masuala haya, l;akin baadhi yenu mmesha enda nchi zenye misuko suko ya namna hiyo, Yaani ukibeba calculator unaenda kwenye mtihani wa hesabu ni kwamba ukikuta kuna swali linalohitaji kuitumia lazima uitumie,

2.Swali muhimu sana nauliza jiweke katika position ya polisi uone kazi yao ilivyo ngumu sana, polisi wako 20, waharifu wapo 100 unategemea nini? saa nyingine waharifu wanabeba mawe,

Tutii sheria bila shuruti,
 
kupata vichekesho kama hivi bonyeza nyota *
 
Wewe unawashwa. Na utakazwa muda si mrefu. Maana ni wazi uko kwenye heat.
 
Mtulia ameitia nchi hasara ya mabilioni na kuondoka na roho ya Binti huyu mdogo na majeruhi Kibao.Wazazi wake watakuwa wameumia san,poleni.Something is not right somewhere.Na watu wanadhani nchi haiwezi kuvurugika kwa sababu ya polisi.Muda utafika ambapo watu wataamua kupambana na polisi (siombi itokee ).Tunaweza kujifunza from Kenya.Mtu anajiapisha kuwa Rais, Rais aliyeko Ikulu anasema asibughudhiwe siku inapita salama.
 
Kifo cha bint asiye na hatia kinahuzunisha sana kwa kweli.

Hatupendi itokee ivi kwa yeyote yule miongoni mwetu lakini PASKAL hebu tusaidie kujua hivi umati ule nilioona video zake you tube wote walikuwa ni mawakala wanaenda na Mbowe kufuata ivo viapo?

Jana ilikuwa ijumaa na mahakama zilikuwa wazi kwa nini tusingeenda kuzuia uchaguzi kwa kasoro hizo tulizoona.

Thats public road mnapoifunga kwa matakwa yenu tu je ndio msimamo wa WATANZANIA wote huo? Kwangu mimi huo nao ni UBINAFSI TENA MBAYA SANA.

Mwisho Mbowe na wenzake wajue madhara ya maamuzi yao ya kibabe dhidi ya law enforcers matokeo yake yaweza kuwa haya.
 
Hakika mara moja waliohusika N unyama huu washtakiwe,uhai wa binadamu unapaswa kulindwa kwa gharama yyte ile.
 
huyo denti alikua anatafuta nin huko kwenye mikutano ya siasa wakati wenzie wako kwenye maandalizi ya mitihani?
Pumbavu kabisa
Umesikia tukio lilitokea wapi?
Who the hell are you kuhoji maisha ya mtu?
Wapumbavu wote walio like post hii
Unazungumza sababu aliyeuwawa si ndugu yako
Inasikitisha sana kuona wapumbavu kama wewe mpo JF
 


Hebu tuondolee huu uharo wako hapa. Shetani mkubwa we. Hata hauoni kuwa aliyepoteza maisha ni binaadamu kama wewe au dada yako. Bora ukae kimya tu kuliko kutuletea hapa hoja muflisi za kisengerema.
 
Kiukweli nasema kwa watu wenye ghadhabu kama ni mwanao Mdogo wako ndo ameuawa hivi, waweza kwenda pale ukawalipua wote kwenye hicho Kituo chao wanohusika na wasiohusika. Inatia hasira sana. Nawapa pole waliopoteza mtoto wao mpendwa....
 
The innocent civilians?
The politicians?
The military officers?
Who is safe here?
If Aquiline,the innocent civilian got shot dead,then who is safe?
If Tundu lissu,the chief whip,was gunned by multiple bullets in a very and serious protected area,then who is safe...?
If the police officers got killed at kibiti then who is safe?
If Ben saa nane got abducted two years now and no body knows his whereabouts.. then who is safe?
Who is safe if Nape,the former minister
Was threatened a gun publicly and no body got arrested of....
Personally, am not safe....how about you?
 
Basic Self-Defense Moves Anyone Can Do (and Everyone Should Know)

Would you be able to defend yourself and your loved ones if someone were to physically attack you? It’s a question most of us don’t want to consider, but violence is, unfortunately, a fact of life. Thankfully, regardless of strength, size, or previous training, anyone can learn several effective self-defense techniques. Here’s how to prepare for and stay safe in common real-world violent situations.

Prevention Is the Best Self-Defense
First, remember that prevention is the best self-defense. Attackers, whatever their objectives, are looking for unsuspecting, vulnerable targets. So be sure to follow general safety tips like being aware of your surroundings, only walking and parking in well-lit areas, keeping your keys in hand as you approach your door or car, varying your route and times of travel, and other personal security precautions.

Apart from avoiding confrontation, if you can defuse a situation (talk someone down from physically assaulting you) or get away—by handing over your wallet/purse or whatever they want, do that. Hand over your money rather than fight. Nothing you own is worth more than your life or health.

If violence is unavoidable, however, to really defend yourself, you’ll want to know ahead of time how to fight back effectively—it’s possible even against someone bigger or stronger than you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…