BABA Dillish
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,608
- 3,562
Kashafumbua tayari
Acha uongoKastaafu
Ninavyofahamu hao ni majasusi.Fahamu hilo.Hiv hii kitu ya hawa watu kuwa majasus huwa kwel au ni uzushi zush tuu??.
Ofcz huwa ni wasomi sana na possibly wanaijua dunia .
Naona mshauri wa pope ulikuwa unamwaga nondo kali sana. Yani we jamaa bwana😀😀😂Ingawa kadinali anaweza kutokana na maaskofu mapadre na haya waumini , lakini sio kwa wakati huu, sio kila askofu anaweza kuwa kadinali, juwa makadinali nafasi zao ni chache sana kwa hiyo sio rahisi mtu yoyote anaweza kupata nafasi hiyo, japo inaweza kuwa kinyume chake.
Una LA kuwaambia watanzania kwa sasa ndugu pinga pinga wa kudhani sehemu yenye ushawishi ni daslama pekee?Sidhani kama kama anaweza kuwa kadinali, pia kadinali mara nyingi hutoka kwenye majimbo makuu yenye ushawishi hapa kwetu walao dar es laam ama mwanza Arusha Dodoma .
Lakini pia kiti cha ukadnali hapa Tanzania sidhani kama tunaweza kupata tena hivi karibuni baada ya kadinali pengo.
Hahaaa....wabongo kila kitu ni wachambuzi.Pamoja na uzoefu wake lakini nadhani hatoweza kuwa Kardinali kwa sababu ofisi ya Vatikan inaweza kuogopa kuonyesha hali ya upendeleo kwenye ukoo wa Rugambwa, kumbuka Kardinali wa kwanza Tanzania alikuwa ni kwenye ukoo huo, Laurean Rugambwa.
Umenikera tu ulipoingiza Yanga.Umeanza vizuri lkn umeboronga kwenye kumalizia.Sijapenda kwakweli.Anaitwa Protase Rugambwa, ni Askofu Mkuu Mwandamizi mteule. Mwishoni wa mwezi huu, ataanza kuhudumu kwenye Kituo chake kipya cha kazi Jimbo Kuu Katoliki-Tabora.
Inasemwa, ndiye Askofu Mtanzania pekee aliyepata kuhudumu kama mmoja wa wasaidizi wa karibu kabisa na baba Watakatifu watatu! Yaani, tunaweza kusema, alikuwa ndani ya Baraza la Mawaziri la Baba Watakatifu hao watatu. Alianza na Paul wa 2 hadi wa sasa huko Vatican-Roma.
Je, kurejeshwa kwake Tanzania, ni maandalizi ya yeye kuandaliwa aje awe Kardinali mtarajiwa?! Jibu ni ndiyo, kwa sababu, ndiye Askofu mwenye sifa za ziada kuliko wote kwenye Kanisa la Roma hapa Tanzania.
NB: Askofu Protase, ni shabiki wa Yanga.
Haya amepata sasa U Kardinali.Sidhani kama kama anaweza kuwa kadinali, pia kadinali mara nyingi hutoka kwenye majimbo makuu yenye ushawishi hapa kwetu walao dar es laam ama mwanza Arusha Dodoma .
Lakini pia kiti cha ukadnali hapa Tanzania sidhani kama tunaweza kupata tena hivi karibuni baada ya kadinali pengo.
[emoji23][emoji23][emoji23],Na wewe ni Mkatoliki mwenzangu?Yaani tumetoboka balaa na sherehe ya kusimika huyu mzee. Asimikwe michango ipungue
AminaNilifika mahali nikaikana Imani pamoja na Mungu mwenyewe, ila kwa Sasa nayafurahiya maisha ya Ukatoliki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama anaouzoefu mkubwa wa kuhudumu na Mapapa wote hao kiasi hicho, basi ilitakiwa abakie hukohuko Vatican. Labda wameogopa asije akawa Papa Rugambwa wa kwanza.
Halaf it seems Kardinal aliyekuepo kabla ya Pengo naye alikua somebody Rugambwa, wana uhusiano wowote na huyu?Una LA kuwaambia watanzania kwa sasa ndugu pinga pinga wa kudhani sehemu yenye ushawishi ni daslama pekee?
Jf ni bahari. Usijifanye mjuaji.
Hapana Pengo na Rugambwa wote walitokea Jimbo kuu la dar... ila walikuwa wazaliwa wa hayo maeneo..Na wewe mwanawane, kwani hujui kuwa Kadinali Pengo alitokea Sumbawanga ?
Je hujui Kadinali Rugambwa ambaye alikuwa Kadinali kabla ya Pengo alitokea Bukoba ?
Je, hujui hata Bwana Yesu alikuwa mtoto wa Seremala?
Mambo makubwa yanatokea sehemu dhaifu
Kuna thread ulisema we muislam...Ebu vuta kumbukumbu zako kuhusu Jimbo Kuu la Tabora...Uelewe seminari ya Kipalapala ndiyo imetoa mapadre wengi sana Tanzania, so ukisema umashuhuri unamaanisha nini na kivipi?...Wakatoliki ni institution zaidi kuliko imani...O think something is saidi here that we (commoners) cannot perceive...Am watching!
Aise! Kesho utasema mi msabato...Elewa tu kwamba mimi ni nilivyosema...Kuna thread ulisema we muislam...
Leo wewe mkatoliki kumbe
Aliyebarikiwa kabarikiwa, tumwombee.Hapana Pengo na Rugambwa wote walitokea Jimbo kuu la dar... ila walikuwa wazaliwa wa hayo maeneo..
Tayari amekwisha teuliwa kuwa Kardinali. Inamaanisha kuwa Tanazania sasa tuna Makardinali wawili: Yeye na Kardinali Pengo. Hakuteuliwa kumrithi Pengo isipokuwa anamrithi Askofu Mkuu Paulo Ruzoka wa Tabora. Atakuwa na vyeo viwili kwa wakati mmoja: Kardinali na Askofu Mkuu wa Tabora kama vile Papa huwa na cheo hicho cha Upapa pamoja na kuwa Askofu Mkuu wa Roma. Makardinali hawana jimbo wanalolitawa. Huripoti moja kwa moja Roma na si kila nchi lazima iwe na Kardinali ambapo lazima kila jimbo liwe na Askofu. Hata hivyo kuna majimbo kadhaa ambayo hayawezi kujitosheleza kifedha. Hayo huiwa Vicariate na yako chini ya Roma moja kwa moja. Tanzania hatuna vicariate.Anaitwa Protase Rugambwa, ni Askofu Mkuu Mwandamizi mteule. Mwishoni wa mwezi huu, ataanza kuhudumu kwenye Kituo chake kipya cha kazi Jimbo Kuu Katoliki-Tabora.
Inasemwa, ndiye Askofu Mtanzania pekee aliyepata kuhudumu kama mmoja wa wasaidizi wa karibu kabisa na baba Watakatifu watatu! Yaani, tunaweza kusema, alikuwa ndani ya Baraza la Mawaziri la Baba Watakatifu hao watatu. Alianza na Paul wa 2 hadi wa sasa huko Vatican-Roma.
Je, kurejeshwa kwake Tanzania, ni maandalizi ya yeye kuandaliwa aje awe Kardinali mtarajiwa?! Jibu ni ndiyo, kwa sababu, ndiye Askofu mwenye sifa za ziada kuliko wote kwenye Kanisa la Roma hapa Tanzania.
NB: Askofu Protase, ni shabiki wa Yanga.
Protase Rugambwa (born 31 May 1960) is a Tanzanian prelate of the Catholic Church who has been named archbishop coadjutor of the Archdiocese of Tabora. He was a secretary of the Congregation for the Evangelization of Peoples from November 2017 to April 2023. He previously served as that congregation's adjunct secretary and president of the Pontifical Mission Societies from 2012 to 2017.Anaitwa Protase Rugambwa, ni Askofu Mkuu Mwandamizi mteule. Mwishoni wa mwezi huu, ataanza kuhudumu kwenye Kituo chake kipya cha kazi Jimbo Kuu Katoliki-Tabora.