Je, Putin anajifunza kitu kutoka kwa Marekani na Israel? Hawa jamaa wanatoa Elimu kwa Vitendo

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Miaka mingi tumekuwa tukiaminishwa
1. Russia wapo vizuri sana ni Taifa la kutisha sana. Tumeona washirika wake wote wakitendewa uhanithi.
1. Assad
2. Maduro
3. Khamenei
Yeye anahangaika na yule mchekeshaji wa Ukraine mpaka leo na anatumia mpaka mamluki wa Kibantu. Vita inamsumbua anakuja na excuses nyingi sana. Marekani kamwachia huyo Ukraine am keep busy muda wote huu. Lakini si jambo jipya. Russia alishawahi chapika Afghanstain miaka ya nyuma vibaya sana. Hakujifunza kitu. Marekani alijifunza sana Vietnam.

2. China... Huyu kelele zimekuwa zikipigwa sana naye siku hizi amekuwa na mikwara mingi sana. Marekani wameshaacha kuonesha silaha zao wanatengeneza wanazionesha zikitenda kazi kama zike bank busters (sijui kama nimepatia jina)

Marekani kuna hatua ilipita. Siku hizi hajikiti sana kwenye SANAA ZA MAONESHO. inatenda zaidi. Hawa jamaa wanamwona mpaka Rais wa nchi nyingine akiwa ana poo. Imagine Rais anajisaidia wao wanamwona.

Wakiamua wanamtaka mtu ni suala la muda tu. Ataruka ruka kama maharage... Ila ndo kuiva kwake.

Nadhani darasa wanalotoa ni zuri kwa wanaotaka jifunza. Ni mafunzo kwa vitendo. Najiuliza je Russia, China kuna somo wanapata hapo? Au bado wataendelea kuvimba macho?

Israel inafahamika kwa Ujasusi Duniani. Tukatae tukubali. Mimi siwapendi hawa Wayahudi ila nakubali uwezo wao. Si wa kuchezea hata kidogo. Tuwaone tu hivyo hivyo.
 
Hapa nabaki nawaza kwamba, hata hawa wanaosema watapigana na marekan ni kweli wana uwezo huo???

Madulo haikuchukua hata siku kadhaa chali, huyu wa iran siku ya kwanza ya mashambuliz chalii, sjui kina Sadam, Ghadafi na magaidi wengine kibao hawakufua dafu.

Sasa najiuliza huwa wanajiamin nin kusema watapambana na marekan?? Mim ni miongon mwa watu ambao sipendi utawala wa kiimla wa marekan ila naona wale tunaowashabikia kuna namna wanatuangusha sana.

Anyway wapumzike kwa aman, ni mashujaa na majasiri hata kama walishindwa.
 
Kama hivi hapa ni live akicheki kilemba kikiliwa
 
Attachments

  • 1772335687802.jpg
    1772335687802.jpg
    79.6 KB · Views: 27
Wewe huna akili.
Akipigwa rafiki yako na adui yake ndiyo u conclude kuwa huyo adui hata wewe anakupiga?
Marekani na ubabe wake wote hajawahi kupeleka wanajeshi Ukraine kwa uwazi tangu vita ianze. Anajua kuwa Russia ni 🔥 mwingine
 
Sawa
 
Attachments

  • 1772339895305.jpg
    1772339895305.jpg
    99.9 KB · Views: 30
Hapa nabaki nawaza kwamba, hata hawa wanaosema watapigana na marekan ni kweli wana uwezo huo???

Madulo haikuchukua hata siku kadhaa chali, huyu wa iran siku ya kwanza ya mashambuliz chalii, sjui kina Sadam, Ghadafi na magaidi wengine kibao hawakufua dafu.

Sasa najiuliza huwa wanajiamin nin kusema watapambana na marekan?? Mim ni miongon mwa watu ambao sipendi utawala wa kiimla wa marekan ila naona wale tunaowashabikia kuna namna wanatuangusha sana.

Anyway wapumzike kwa aman, ni mashujaa na majasiri hata kama walishindwa.

Kiukweli wanatuangusha sana. Mimi nimehama hama sana kwa haya mataifa. Nilikuwa Korea, nikaja Russia, China, Iran... Nahangaika najikuta narudi tu nasema hiiiiiii....
 
Kumtegemea mchina ukupe Msaada wakati wa vita ni kujidanganya
 
Miaka mingi tumekuwa tukiaminishwa
1. Russia wapo vizuri sana ni Taifa la kutisha sana. Tumeona washirika wake wote wakitendewa uhanithi.
1. Assad
2. Maduro
3. Khamenei
Yeye anahangaika na yule mchekeshaji wa Ukraine mpaka leo na anatumia mpaka mamluki wa Kibantu. Vita inamsumbua anakuja na excuses nyingi sana. Marekani kamwachia huyo Ukraine am keep busy muda wote huu. Lakini si jambo jipya. Russia alishawahi chapika Afghanstain miaka ya nyuma vibaya sana. Hakujifunza kitu. Marekani alijifunza sana Vietnam.

2. China... Huyu kelele zimekuwa zikipigwa sana naye siku hizi amekuwa na mikwara mingi sana. Marekani wameshaacha kuonesha silaha zao wanatengeneza wanazionesha zikitenda kazi kama zike bank busters (sijui kama nimepatia jina)

Marekani kuna hatua ilipita. Siku hizi hajikiti sana kwenye SANAA ZA MAONESHO. inatenda zaidi. Hawa jamaa wanamwona mpaka Rais wa nchi nyingine akiwa ana poo. Imagine Rais anajisaidia wao wanamwona.

Wakiamua wanamtaka mtu ni suala la muda tu. Ataruka ruka kama maharage... Ila ndo kuiva kwake.

Nadhani darasa wanalotoa ni zuri kwa wanaotaka jifunza. Ni mafunzo kwa vitendo. Najiuliza je Russia, China kuna somo wanapata hapo? Au bado wataendelea kuvimba macho?

Israel inafahamika kwa Ujasusi Duniani. Tukatae tukubali. Mimi siwapendi hawa Wayahudi ila nakubali uwezo wao. Si wa kuchezea hata kidogo. Tuwaone tu hivyo hivyo.

Uchambuzi wako ni sawa na mtu aliyejibu swali la kidato cha nne wakati Elimu yake ni ya darasa la saba!
KAMA HUNA UJUZI WA MAMBO YA KIMATAIFA, USIANZISHE MADA ZA HUKO, BORA UJIKITE KWA MADA ZA HAPA NYUMBANI ZA CCM na CHADEMA nk nk , Samahani lakini......
 
Back
Top Bottom