Je, Putin anajifunza kitu kutoka kwa Marekani na Israel? Hawa jamaa wanatoa Elimu kwa Vitendo

Miaka mingi tumekuwa tukiaminishwa
1. Russia wapo vizuri sana ni Taifa la kutisha sana. Tumeona washirika wake wote wakitendewa uhanithi.
1. Assad
2. Maduro
3. Khamenei
Yeye anahangaika na yule mchekeshaji wa Ukraine mpaka leo na anatumia mpaka mamluki wa Kibantu. Vita inamsumbua anakuja na excuses nyingi sana. Marekani kamwachia huyo Ukraine am keep busy muda wote huu. Lakini si jambo jipya. Russia alishawahi chapika Afghanstain miaka ya nyuma vibaya sana. Hakujifunza kitu. Marekani alijifunza sana Vietnam.

2. China... Huyu kelele zimekuwa zikipigwa sana naye siku hizi amekuwa na mikwara mingi sana. Marekani wameshaacha kuonesha silaha zao wanatengeneza wanazionesha zikitenda kazi kama zike bank busters (sijui kama nimepatia jina)

Marekani kuna hatua ilipita. Siku hizi hajikiti sana kwenye SANAA ZA MAONESHO. inatenda zaidi. Hawa jamaa wanamwona mpaka Rais wa nchi nyingine akiwa ana poo. Imagine Rais anajisaidia wao wanamwona.

Wakiamua wanamtaka mtu ni suala la muda tu. Ataruka ruka kama maharage... Ila ndo kuiva kwake.

Nadhani darasa wanalotoa ni zuri kwa wanaotaka jifunza. Ni mafunzo kwa vitendo. Najiuliza je Russia, China kuna somo wanapata hapo? Au bado wataendelea kuvimba macho?

Israel inafahamika kwa Ujasusi Duniani. Tukatae tukubali. Mimi siwapendi hawa Wayahudi ila nakubali uwezo wao. Si wa kuchezea hata kidogo. Tuwaone tu hivyo hivyo.
Unajidanganya USA hana uwezo wa kupigana vita na urussi ...genius nimesema ..ambush ya kuua viongozi kwa kushitukiza nchi yoyote inaweza kufanya ...hiyo mbinu inafanya kazi vizuri katika mazingira fulani ...hasa inapokuwa rais akubaliki na wananchi wake na yupo open siyo mafichoni kama zelesky
 
Nakuona msemaji wa selikali ya china
 
Hapa nabaki nawaza kwamba, hata hawa wanaosema watapigana na marekan ni kweli wana uwezo huo???

Madulo haikuchukua hata siku kadhaa chali, huyu wa iran siku ya kwanza ya mashambuliz chalii, sjui kina Sadam, Ghadafi na magaidi wengine kibao hawakufua dafu.

Sasa najiuliza huwa wanajiamin nin kusema watapambana na marekan?? Mim ni miongon mwa watu ambao sipendi utawala wa kiimla wa marekan ila naona wale tunaowashabikia kuna namna wanatuangusha sana.

Anyway wapumzike kwa aman, ni mashujaa na majasiri hata kama walishindwa.
Huko misikitini ukisimuliwa kuhusu USA utahisi USA army ipo kama JWTZ tu.

US upande wa mapambano yupo miaka 30 mbele dhidi yetu.
 
Masheikh na maustaadhi wanatudanganya sana.
 
Urusi ni taifa kubwa lenye nguvu kijeshi na kiteknolojia tatizo linaongozwa na kiongozi dhaifu hapa ndio tutamkumbuka aliyekuwa kiongozi wa Wagner group
 
China jana ndo ulikuwa wakati wa kuimeza Taiwan
 
Miaka mingi tumekuwa tukiaminishwa
1. Russia wapo vizuri sana ni Taifa la kutisha sana. Tumeona washirika wake wote wakitendewa uhanithi.
1. Assad
2. Maduro
3. Khamenei
Yeye anahangaika na yule mchekeshaji wa Ukraine mpaka leo na anatumia mpaka mamluki wa Kibantu. Vita inamsumbua anakuja na excuses nyingi sana. Marekani kamwachia huyo Ukraine am keep busy muda wote huu. Lakini si jambo jipya. Russia alishawahi chapika Afghanstain miaka ya nyuma vibaya sana. Hakujifunza kitu. Marekani alijifunza sana Vietnam.

2. China... Huyu kelele zimekuwa zikipigwa sana naye siku hizi amekuwa na mikwara mingi sana. Marekani wameshaacha kuonesha silaha zao wanatengeneza wanazionesha zikitenda kazi kama zike bank busters (sijui kama nimepatia jina)

Marekani kuna hatua ilipita. Siku hizi hajikiti sana kwenye SANAA ZA MAONESHO. inatenda zaidi. Hawa jamaa wanamwona mpaka Rais wa nchi nyingine akiwa ana poo. Imagine Rais anajisaidia wao wanamwona.

Wakiamua wanamtaka mtu ni suala la muda tu. Ataruka ruka kama maharage... Ila ndo kuiva kwake.

Nadhani darasa wanalotoa ni zuri kwa wanaotaka jifunza. Ni mafunzo kwa vitendo. Najiuliza je Russia, China kuna somo wanapata hapo? Au bado wataendelea kuvimba macho?

Israel inafahamika kwa Ujasusi Duniani. Tukatae tukubali. Mimi siwapendi hawa Wayahudi ila nakubali uwezo wao. Si wa kuchezea hata kidogo. Tuwaone tu hivyo hivyo.
Huwapendi Wayahudi kuanzia lini ?
 
Achana na Putin mkuu, vile wale wa who are you, sijui wanajifunza au bado
 
Marekani na washirika wake Bado hawajawa na uwezo wa kuipiga Urusi au Mchina kwakua Moja ya mpango wa vita ni ku mzidi Adui maratatu ya uwezo wake wa kimapigano.

Ukipiga hesabu vibaya iyo vita utashindwa au utashinda kwa hasara kubwa.

Urusi akipiga hesabu ya kupiga u kraine kwa wiki Moja kwakua hakuipigia hesabu NATO ambao Wana I support Ukraine mtokeo yake wanapigana mwaka wa nne Sasa.

Taarifa nyeti na zauhakika za kijasusi zitakuelezea namna Adui wako alivyo.
Utaamua umshambulie au tusubiri wakati una jiimarisha.

Israel Wana kitengo kizuri sana cha ujasusi inapelekea operation zake nyingi kufanikiwa, kwakua wanafanikiwa kuwamaliza viongozi wakuu wa makumdi hasimu.
Viongozi wakuu ndio wanaobeba mipango ya vita vitani.
Waki uwawa viongozi wakuu wa operation yoyote Adui anadhohofika sana na hofu utawala na kuto kuaminiana.
 
Wewe huna akili.
Akipigwa rafiki yako na adui yake ndiyo u conclude kuwa huyo adui hata wewe anakupiga?
Marekani na ubabe wake wote hajawahi kupeleka wanajeshi Ukraine kwa uwazi tangu vita ianze. Anajua kuwa Russia ni 🔥 mwingine
chawa wa chura wetu anafafanua medani za vita vya nchi daraja la kwanza akitoka hapo anakuja kusifia serikali inayoshangilia kuzindua matundu 7 ya shule ya msingi Mwendapole.
 
Unajidanganya USA hana uwezo wa kupigana vita na urussi ...genius nimesema ..ambush ya kuua viongozi kwa kushitukiza nchi yoyote inaweza kufanya ...hiyo mbinu inafanya kazi vizuri katika mazingira fulani ...hasa inapokuwa rais akubaliki na wananchi wake na yupo open siyo mafichoni kama zelesky
Mbona Urusi kashindwa kwa Zelensky miaka minne sasa?
 
Wewe huna akili.
Akipigwa rafiki yako na adui yake ndiyo u conclude kuwa huyo adui hata wewe anakupiga?
Marekani na ubabe wake wote hajawahi kupeleka wanajeshi Ukraine kwa uwazi tangu vita ianze. Anajua kuwa Russia ni 🔥 mwingine
Putin vita aliyosema ataimaliza kwa week mbili inaenda mwaka wa nne na kishapoteza wanajeshi karibu milioni moja, hamna kitu pale
 
Wewe huna akili.
Akipigwa rafiki yako na adui yake ndiyo u conclude kuwa huyo adui hata wewe anakupiga?
Marekani na ubabe wake wote hajawahi kupeleka wanajeshi Ukraine kwa uwazi tangu vita ianze. Anajua kuwa Russia ni 🔥 mwingine
Marekani, Uingereza, Ufaransa, Urusi na China ni wajumbe wa kudumu wa baraza la usalama la umoja wa Mataifa, wao ndio wamepewa mandate na UN kutunza amani ya dunia.

Mataifa hayo matano matatu ni NATO, wana mkataba chini ya UN wa kutoshambuliana.

Ila yule kidugu siku akijaa kwenye mfumo anafumuliwa vizuri tu.

Ndio maana Ukraine Joe Biden alitowa msaada wa silaha tu na siyo jeshi la Marekani hawawezi kuishambulia Russia ni mkataba uko hivyo.
 
Miaka mingi tumekuwa tukiaminishwa
1. Russia wapo vizuri sana ni Taifa la kutisha sana. Tumeona washirika wake wote wakitendewa uhanithi.
1. Assad
2. Maduro
3. Khamenei
Yeye anahangaika na yule mchekeshaji wa Ukraine mpaka leo na anatumia mpaka mamluki wa Kibantu. Vita inamsumbua anakuja na excuses nyingi sana. Marekani kamwachia huyo Ukraine am keep busy muda wote huu. Lakini si jambo jipya. Russia alishawahi chapika Afghanstain miaka ya nyuma vibaya sana. Hakujifunza kitu. Marekani alijifunza sana Vietnam.

2. China... Huyu kelele zimekuwa zikipigwa sana naye siku hizi amekuwa na mikwara mingi sana. Marekani wameshaacha kuonesha silaha zao wanatengeneza wanazionesha zikitenda kazi kama zike bank busters (sijui kama nimepatia jina)

Marekani kuna hatua ilipita. Siku hizi hajikiti sana kwenye SANAA ZA MAONESHO. inatenda zaidi. Hawa jamaa wanamwona mpaka Rais wa nchi nyingine akiwa ana poo. Imagine Rais anajisaidia wao wanamwona.

Wakiamua wanamtaka mtu ni suala la muda tu. Ataruka ruka kama maharage... Ila ndo kuiva kwake.

Nadhani darasa wanalotoa ni zuri kwa wanaotaka jifunza. Ni mafunzo kwa vitendo. Najiuliza je Russia, China kuna somo wanapata hapo? Au bado wataendelea kuvimba macho?

Israel inafahamika kwa Ujasusi Duniani. Tukatae tukubali. Mimi siwapendi hawa Wayahudi ila nakubali uwezo wao. Si wa kuchezea hata kidogo. Tuwaone tu hivyo hivyo.

Tunamchukulia poa Trump. Lkn mpango kazi wake kuna mahala niliuona. Anataka hatimaye Putin abaki pekeyake bila washirika wake ambao wanampinga Marekani.
 
Back
Top Bottom