Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,414
- 2,181
Jamaa walikuwa ni noma sanaaa hasa Kwenye kupiga hesabu za Majira ya mwakaTusichoelewa ni kuwa watu wakale walikuwa werevu zaidi kuliko waliofuatia,
1.walichonga milima na kufanya makazi ( sisi tuna homeless kila nchi)
2.Mkulima alikuwa anapanda matunda na anapiga hesabu kujua siku ya kuvuna, na hakosei ( sisi majobless hadi wasomi)
N.k
ambao saivi hatunaUtaalamu tu
nayo ni theory yenye uzito zaidi, binadamu wa sasa ukitoa maendeleo yake ya kiteknolojia ya kugundua mawasiliano ya wireless, simu tv radio anabakiwa na nini ?Tusichoelewa ni kuwa watu wakale walikuwa werevu zaidi kuliko waliofuatia,
1.walichonga milima na kufanya makazi ( sisi tuna homeless kila nchi)
2.Mkulima alikuwa anapanda matunda na anapiga hesabu kujua siku ya kuvuna, na hakosei ( sisi majobless hadi wasomi)
N.k
Walikuwa utumwani wanapigishwa kazi kama pundawaisraelinwamefikaje huko au ndo kwenye bible walivyokua utumwani kabla ya kuokolewa na musa
ni sawa kwakua ni moja ya theory pia ila pyramid zimejengwa kwankutumia skills za engineering za hali ya juu sana ambazo hata sasa ni ngumu bado kufanya tena walichofanyaWalikuwa utumwani wanapigishwa kazi kama punda
Bila internetJamaa walikuwa ni noma sanaaa hasa Kwenye kupiga hesabu za Majira ya mwaka
Tusichoelewa ni kuwa watu wakale walikuwa werevu zaidi kuliko waliofuatia,
1.walichonga milima na kufanya makazi ( sisi tuna homeless kila nchi)
2.Mkulima alikuwa anapanda matunda na anapiga hesabu kujua siku ya kuvuna, na hakosei ( sisi majobless hadi wasomi)
N.k
kwenye kuchonga milima inaonyesha wazi walikua na uwezo kwenye art kutuzidi lakini pia bado hatujui waliwezaje kuchoka milima na sanamu kubwa kiasi cha kushangaza na je walitumia mbinu na vifaa gani kufanya ambavyo sisi bado hatujui ? na kwanini sisi hatujui mbinu walizotumia ingawa wao waliishibkabla yetu at tecnolojiabyao ilipotea ?Tusichoelewa ni kuwa watu wakale walikuwa werevu zaidi kuliko waliofuatia,
1.walichonga milima na kufanya makazi ( sisi tuna homeless kila nchi)
2.Mkulima alikuwa anapanda matunda na anapiga hesabu kujua siku ya kuvuna, na hakosei ( sisi majobless hadi wasomi)
N.k
moja ya uchongaji wao wa mawe inaonyesha wazi kua walikua na vifaa ambavyo sisi tume vi-underate,
kutokana na uelewa wa sasa kifaa gani cha kale kinaweza kukata jiwe namna hii ? inaonyesha walikua na vifaa advanced kuliko tunavyo imagine
swala la alliens au gods ni theoretical sana, kwanini hatutaki kuamini ilijengwa na watu kabisaAngalia series ya kitafiti ya Ancient Aliens ina majibu kwa baadhi ya maswali yako.
Soma pia kitabu cha Chariots of the Gods cha Daniken. Kitabu hiki ndicho kilifungua mjadala wa kina kuhusu maajabu haya ya kale. Kuna mengi ambayo ama hatuyajui au tumefichwa makusudi. Hata leo hii na mawinchi yetu ya kila aina bado ni shida kubwa kupandisha jiwe la tani 80 mpaka ghorofa ya 80 huko. Wao waliwezaje? Na mawe hayo yamechongwa na kukatwa kama walitumia laser au teknolojia nyingine ambayo hatuijui!
Sijaelewa hasa hoja yako kuu ni ipi. Labda ukifafanua vizuri nitaelewa ππΏswala la alliens au gods ni theoretical sana, kwanini hatutaki kuamini ilijengwa na watu kabisa
kuishikwao miaka mingi iliyopita haimaanishi tumewashinda kilakitu,
tofauti na Egypt kuna civilization nyingi zimeacha maswali mengi hadi kujenga miji underground
imagine mjinuna chukua watu elfu 20 lakini upo underground
wa Egypt walifanya mummification na miili waliyoifanyia mummification imekua preserved hadi leo
je kila kitu tulifanyiwa na alliens ?
namaanisha watu wakale wamefanya mambo makubwa pia sio tu pyramidSijaelewa hasa hoja yako kuu ni ipi. Labda ukifafanua vizuri nitaelewa ππΏ
Ukisoma kitabu cha HEBREW HISTORY.....inaeleza kuwa wajukuu wa Yakobo ndio walijenga wakiwa chini ya utumwa, baada miaka mingi kupita tangu Yusufu wa Yakobo kufa/kufariki, ndipo alipokuja Farao asiyejua umuhimu wa Yusufu, akawatumikisha kwa utumwa mzito wakubeba mawe ya kujengea hayo MapiramidHao wajenzi wa hayo mapyramid walikuwa binadamu wa ajabu kabisa.
Wale hawashindwi kitu kwa kutumia machawa. Hata huko huko Misri wanaweza kusema ni juhudi za mamaBora zipo misri zingekuwa bongo ungesikia ni juhudi za mama sa100
Sawa mkuu ππΏnamaanisha watu wakale wamefanya mambo makubwa pia sio tu pyramid
wamefanya mummification - hii ni namna ya kuhifadhi mwili wa binadamu pale anapokifabilinuweze kudumu kwa maelfu ya miaka
mumies - miili ya wa misri iliyohifadiwa hivyo ipo hadi leo ma xarbon 14 inaonyesha hao watu waliishi hadi miaka elf5 ( maana yake walipokufa miaka elf5 iliyopita miili ilihifadhiwa na sasa tunaweza tukaiona)
je alliens walikuja kutusaidia kufanya mummification? mbona wenyewe hawajifanyia au hawafi ?
mummification, sugery, ujuzi wa mambo ya anga, uchongaji wa hali ya juu ( ambao hata saivi ni ngumu )
mambo yaliyofanyika miaka hiyo ni mengi mno yanakosa majibu namna gani waliweza kufanya ?
je alliens waliishi muda wote huo na kufanya yote ? mabaki yao yako wapi ingali historia na mabaki yaliyopo ni ya binadamu ?
hata kama ni waisraeli ndo walijenga,.. miaka 4700 iliyopita walitumiaje nguvu zao tu kutengeneza matofali 2.3M yaliyotumika tujenga pyramid moja tu ?Ukisoma kitabu cha HEBREW HISTORY.....inaeleza kuwa wajukuu wa Yakobo ndio walijenga wakiwa chini ya utumwa, baada miaka mingi kupita tangu Yusufu wa Yakobo kufa/kufariki, ndipo alipokuja Farao asiyejua umuhimu wa Yusufu, akawatumikisha kwa utumwa mzito wakubeba mawe ya kujengea hayo Mapiramid