Kikarara78
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 1,495
- 903
Sio kila tetesi hujibiwa
Boss kabombe Hilo linajulikana, swali tetesi sensitive je?? Hazijibiwi??? Usije na majibu ya jumla.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kila tetesi hujibiwa
National security yetu sometime inabugi sana.huu uzi kuweni makin na mnachoandika mambo ya national security sio ya kuongelea kama story za vijiweni.
Uliwahi kubahatika kumuona mnyarwanda yoyote kwenye walinzi wa Rais japo kwa muonekano tu?
Vijana wote hawa tunaozalisha tukaombe walinzi Rwanda?
Usisahau kuwa Rais pamoja na maguvu yote kuna mambo anapangiwa kama ulinzi,kula na kulala
Achana na mambo ya kijiweni,usitake tuane mambo muhimu ya nchi yetuBoss kabombe Ungenisoma mpaka chini, narudia hizi si habari zangu, Kuhusu Rais kupangiwa, Rais anauwezo na nguvu ya kuchagua Mlinzi au Walinzi. Leta lingine Boss.
Toka nizaliwe ni mara moja tu Tiss,walijibu hadharani na ni kwenye uchaguzi wa 2010,pale ambapo Wilbrod Slaa alpoudanganya umma kuwa zaidi ya nusu ya maafisa usalama wanaripoti kwake,kilichofuatia slaa anakijuaBoss kabombe Hilo linajulikana, swali tetesi sensitive je?? Hazijibiwi??? Usije na majibu ya jumla.
Nashawishika kuamini kuwa jw wamebweteka sana, kwa askari kupigana kiyatima kwa masaa 13 bila msaada ni jambo lisilo nielea akilini.Leo nimeota kifo cha maaskari 14 wa JW.
Kwakweli kuna haja ya sisi pia kuwa na operesheni za chini kwa chini.
Pk kaua halafu m7 anajidai kushambulia .wanajuana.
Hii dunia niyakuishi kimachale sana, sio hapatu popote inaweza ikawahauko salamaKwahiyo unataka kutuambiaje?....
Hapa hatuko salama tena?
Kwamba hapa tunayoandika kila kitu chako mpaka mita ya umeme unayotumia kuchajia simu yako wanavyo?
mkuu unataka kusema maxcence mello keshakubali kututoa sadaka ya kafara wanae wa jamii forum?
hata wachawi wakiua ndio wa kwanza kutoa siri kwa simulizi, hawaoneshi ndumba walizofanyia maafaUnaandika kabisa hayo.. aiseeeee
Yangekuwa ya kweli ungeandika hadi tarehe, muda, alijibuje n.k.
Mleta Uzi ni bashite au mpambe wake so hakuna nongwahuu uzi kuweni makin na mnachoandika mambo ya national security sio ya kuongelea kama story za vijiweni.
Duniani tunapita tu. Hatuishi milele