Tetesi: Je, Rais anaanza kumjua Kagame?

Tetesi: Je, Rais anaanza kumjua Kagame?

huu uzi kuweni makin na mnachoandika mambo ya national security sio ya kuongelea kama story za vijiweni.
National security yetu sometime inabugi sana.
Inapoanza kufuata mawazo ya bashite badala ya kumpoteza bashite.

Mwisho wa siku Mungu anawaumbua. Lisu kasimama.
Haya sasa tuone wamekutana na mziki wa kidume kagame. Waucheze sasa
 
Uliwahi kubahatika kumuona mnyarwanda yoyote kwenye walinzi wa Rais japo kwa muonekano tu?
Vijana wote hawa tunaozalisha tukaombe walinzi Rwanda?
Usisahau kuwa Rais pamoja na maguvu yote kuna mambo anapangiwa kama ulinzi,kula na kulala

Boss kabombe Ungenisoma mpaka chini, narudia hizi si habari zangu, Kuhusu Rais kupangiwa, Rais anauwezo na nguvu ya kuchagua Mlinzi au Walinzi. Leta lingine Boss.
 
Leo nimeota kifo cha maaskari 14 wa JW.

Kwakweli kuna haja ya sisi pia kuwa na operesheni za chini kwa chini.
Pk kaua halafu m7 anajidai kushambulia .wanajuana.
Nashawishika kuamini kuwa jw wamebweteka sana, kwa askari kupigana kiyatima kwa masaa 13 bila msaada ni jambo lisilo nielea akilini.
 
Kwahiyo unataka kutuambiaje?....

Hapa hatuko salama tena?

Kwamba hapa tunayoandika kila kitu chako mpaka mita ya umeme unayotumia kuchajia simu yako wanavyo?

mkuu unataka kusema maxcence mello keshakubali kututoa sadaka ya kafara wanae wa jamii forum?
Hii dunia niyakuishi kimachale sana, sio hapatu popote inaweza ikawahauko salama
 
Ngoja nile kiporo cha sukumawiki huwenda nikaelewa nini mnazungumzia.
 
kagame hana rafiki asiye na faida ni wakutizamwa sana kabla ya ku side naye
 
Mleta mada ni mmoja wa watetezi wakuu wa hii serikali.
Sasa hapa sijui anapima upepo unavumaje?
 
Unaandika kabisa hayo.. aiseeeee

Yangekuwa ya kweli ungeandika hadi tarehe, muda, alijibuje n.k.
hata wachawi wakiua ndio wa kwanza kutoa siri kwa simulizi, hawaoneshi ndumba walizofanyia maafa
 
Duniani tunapita tu. Hatuishi milele

Blackjew
Mkuu,
Kujilinda na kuutunza uhai wetu ni muhimu sana hata kama "duniani tunapita tu. Hatuishi milele"

Hatuwezi tukaangali urafiki wa kinafiki kutoka kwenye kanchi kama wilaya ya kibondo kwa ukubwa halafu tukawachekea hao akina Mr. Slim na M7.

Ni lazima kuwepo na mitizamo tofauti na yenye tija kwa Taifa na siyo ushauri wa kununua bombardier tu.
Kwa sababu, kutakuwa hakuna maana ya kuwa na bombardier na RAIA na wanajeshi wetu wenye hela za kuitumia kwenye usafiri wanauliwa.

Tuacheni kuangalia jambo hili kwa macho mawili. Bali, maamuzi magumu kama ya Dr. JK yanahitajika sasa na siyo kesho ama badae.

Kumbukeni, Hayati .Mwl. Nyerere, aliwasaidia sana warundi, wanyarwanda, wasomali, DR Congo, na Uganda ila hakuwafanya marafiki zake au washauri wake...

Bali Mwl. Nyerere ndiye aliwashauri... Hizo nchi nilizozitaja wao ndiyo waliomba ushauri kutoka Tanzania.

We need an inevitable decision on this matter from foreign relations minister, home affairs and national security including all other security organs to reevaluate the situation for the betterment of our country.
 
Back
Top Bottom