Je, Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli taarifa hii muhimu na ya ‘ Aibu ‘ kutokea Mkoani Kwako Geita unayo?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,685
Reaction score
128,178
Katika kile kinachoonekana ni muendelezo wa Imani za ‘ Kishirikina ‘ ambazo sasa zimeanza ‘ Kuzoeleka ‘ Mikoa ya Kanda ya Ziwa ( Ukiuondoa wa Mara / Musoma tu pekee ambao unaongoza kwa kuwa na Watu Wastaarabu Kanda ya Ziwa nzima kama si Tanzania na Duniani kwa ujumla ) hasa ile inayokaliwa na Watanzania wenye Kabila la ‘ Wasukuma ‘ wengi ni kwamba hivi sasa Wakazi wa Mkoa wa Geita wameanza tabia za ‘ Kuwavizia ‘ na ‘ Kuwauwa ‘ kwa ‘ Kuwanyonga ‘ na Kamba Mama Wajawazito kisha zile Kamba ambazo hutumia ‘ Kuwanyongea ‘ huenda nazo katika Machimbo ya Madini ya Mkoa huo na Kuzitumia kama Chanzo cha Kuwaonyesha yalipo Madini mengi ili wayapate na waweze kuwa Matajiri.

Chanzo Habari: Taarifa ya Habari Radio One

ANGALIZO

Kama unajijua kabisa kuwa Wewe unatokea katika haya Makabila ya Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Warangi na Wakara tafadhali GENTAMYCINE nasema sitaki mchangie hapa kwani nawajua vyema kabisa kuwa hamna jipya. Na bahati nzuri ‘Members ‘ wote wa haya Makabila tajwa hapa nawajua kwa ‘ ID’s ‘ zenu sasa ole wenu niwaone mnachangia.
 
Mkoa wa mara / musoma ndo unaongoza kwa ustaarabu kanda ya ziwa na Tanzania kwa ujumla?
 
Hilo la wakurya kuwa wastaarabu Nina shaka nalo maana Ni mkoa kwenye idadi kubwa ya watu kwenye mkono mmoja baada ya mwingine kukatwa kwa panga,huo nao Ni ustaarabu.

Na kaa ukijua hata hii Amani uliyonayo kwa 99% inachangiwa na uwepo na uwajibikaji wa Watu kutoka Mkoa wa Mara ( Musoma ) au hujui?
 
Katika kile kinachoonekana ni muendelezo wa Imani za ‘ Kishirikina ‘ ambazo sasa zimeanza ‘ Kuzoeleka ‘ Mikoa ya Kanda ya Ziwa ( Ukiuondoa wa Mara / Musoma tu pekee ambao unaongoza kwa kuwa na Watu Wastaarabu Kanda ya Ziwa nzima kama si Tanzania na Duniani kwa ujumla ) hasa ile inayokaliwa na Watanzania wenye Kabila la ‘ Wasukuma ‘ wengi ni kwamba hivi sasa Wakazi wa Mkoa wa Geita wameanza tabia za ‘ Kuwavizia ‘ na ‘ Kuwauwa ‘ kwa ‘ Kuwanyonga ‘ na Kamba Mama Wajawazito kisha zile Kamba ambazo hutumia ‘ Kuwanyongea ‘ huenda nazo katika Machimbo ya Madini ya Mkoa huo na Kuzitumia kama Chanzo cha Kuwaonyesha yalipo Madini mengi ili wayapate na waweze kuwa Matajiri.

Chanzo Habari: Taarifa ya Habari Radio One

ANGALIZO

Kama unajijua kabisa kuwa Wewe unatokea katika haya Makabila ya Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Warangi na Wakara tafadhali GENTAMYCINE nasema sitaki mchangie hapa kwani nawajua vyema kabisa kuwa hamna jipya. Na bahati nzuri ‘Members ‘ wote wa haya Makabila tajwa hapa nawajua kwa ‘ ID’s ‘ zenu sasa ole wenu niwaone mnachangia.

Hebu tuanzie kwenye ku-define ustaarabu kwanza. Kwako wewe ustaarabu ni nini; kupiga watu mapanga au...?
 
Halafu si nimeshasema kuwa sitaki Watu mnaojijua kabisa kuwa ni Wahaya, Wanyaturu, Waha, Wanyiramba, Warangi na Wakara mchangie huu Uzi? Hivi ni kwanini nyie Watani zangu Wakubwa mnakuwa hamna Ustaarabu hivi? Mkiona ' Mwamba wa Mara ' GENTAMYCINE ' anatamba ' hapa nyie mkae mbali sawa? Ndiyo maana hata Wanawake zenu ' wanatupenda ' mno Wanaume wa Shoka wa Mkoani Mara ( Musoma )
 
Pascal Mayalla usisogee huku utachakazwa vibaya sana mpaka suruali yako itachanika barabarani
Mkuu Mkwepa kodi, asante kwa angalizo hili, ila pia kwa kukusaidia tuu, mimi huwa sichangii threads za vichaa !.
Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania...
P.
 
Katika kile kinachoonekana ni muendelezo wa Imani za ‘ Kishirikina ‘ ambazo sasa zimeanza ‘ Kuzoeleka ‘ Mikoa ya Kanda ya Ziwa ( Ukiuondoa wa Mara / Musoma tu pekee ambao unaongoza kwa kuwa na Watu Wastaarabu Kanda ya Ziwa nzima kama si Tanzania na Duniani kwa ujumla ) hasa ile inayokaliwa na Watanzania wenye Kabila la ‘ Wasukuma ‘ wengi ni kwamba hivi sasa Wakazi wa Mkoa wa Geita wameanza tabia za ‘ Kuwavizia ‘ na ‘ Kuwauwa ‘ kwa ‘ Kuwanyonga ‘ na Kamba Mama Wajawazito kisha zile Kamba ambazo hutumia ‘ Kuwanyongea ‘ huenda nazo katika Machimbo ya Madini ya Mkoa huo na Kuzitumia kama Chanzo cha Kuwaonyesha yalipo Madini mengi ili wayapate na waweze kuwa Matajiri.

Chanzo Habari: Taarifa ya Habari Radio One

ANGALIZO

Kama unajijua kabisa kuwa Wewe unatokea katika haya Makabila ya Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Warangi na Wakara tafadhali GENTAMYCINE nasema sitaki mchangie hapa kwani nawajua vyema kabisa kuwa hamna jipya. Na bahati nzuri ‘Members ‘ wote wa haya Makabila tajwa hapa nawajua kwa ‘ ID’s ‘ zenu sasa ole wenu niwaone mnachangia.
Kwenye angalizo ndo umerikera pimbi wewe
 
Mkuu Mkwepa kodi, asante kwa angalizo hili, ila pia kwa kukusaidia tuu, mimi huwa sichangii threads za vichaa !.
Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania...
P.
Kwelo jii nyuzi ni yakichaaa
 
Back
Top Bottom