Masanjaone
JF-Expert Member
- Nov 15, 2019
- 844
- 598
Hii nyuzi nikweli imeletwana kichaa
Labda huo mkoa usiwe kanda ya ziwa lakini kama Iko kanda ya ziwa hauwezi kuepukaNaomba uuondoe hapo Mkoa wa Mara ( Musoma ) kwani huwa hatuna huo ' Upopoma / Upumbavu ' Mkuu.
Umenena vema mkuuMkuu Mkwepa kodi, asante kwa angalizo hili, ila pia kwa kukusaidia tuu, mimi huwa sichangii threads za vichaa !.
Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania...
P.![]()
Kuwa kichaa sio mpaka kuokota makopo! Je, Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania?
Wanabodi, Saa hizi natafuta usingizi unagoma, hivyo nimeshuka jf, tutafakari pamoja kuhusu huu utafiti uliowahi kufanywa na kubaini kuwa kwenye kila Watanzania 4, mmoja ni kichaa!. Jee katika hizo sampling, inawezekana pia kukawa na baadhi ya viongozi wetu wa vyama, taasisi, mashirika, na...www.jamiiforums.com
Angalizo zuri Kwa mkuu Mkwepa KodiMkuu MKWEPA KODI Siku zingine nawe usiwe unapenda Kuwachokoza Watu ambao Historia zao za ' Urijali ' kama walionao Wanaume wengine unatia Mashaka.
Subiri majibu
Angalizo zuri Kwa mkuu Mkwepa Kodi
Hii nyuzi nikweli imeletwana kichaa
Kama kwao tu hakuna amani nchi nzima wataiweza,majambazi wezi wa mifugo kwa kutumia silaha, wanapigana kufuata koo,huko si salama kabisa.kaulize wanyabasi na walenchoka wanapigania nini.Na kaa ukijua hata hii Amani uliyonayo kwa 99% inachangiwa na uwepo na uwajibikaji wa Watu kutoka Mkoa wa Mara ( Musoma ) au hujui?
Uko sawa,kulingana na HALIKama kujitoa kwenye uchaguzi ni demokrasia na vile vile kuwa na mkono mmoja ni ustaarabu
Mi Niko huku sijauona hata wagaga walioko huku naona mabango yao yameandikwa mganga maarufu kutoka sumbawanga.Maeneo yaliyo kanda ya ziwa kuna uchawi uliotukuka
Mi hata uso wangu sijui niuweke wapiUzi tayari, aibu naona mimi.
Born a bitch, raised by a bitch..kunguni mfu ndio wazazi wako waliotapika huu uchafu dunianiSame to the one who gave birth to you.