Je, Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli taarifa hii muhimu na ya ‘ Aibu ‘ kutokea Mkoani Kwako Geita unayo?

Je, Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli taarifa hii muhimu na ya ‘ Aibu ‘ kutokea Mkoani Kwako Geita unayo?

Hawa watu wa migodini kuua mtu ili apate Mali ni kitu cha kawaida.

Genta umekuaje tena na mayalla? Naomba muwe kitu kimoja. Nyie wote si wanaCCM mmekuaje tena?

Hebu nitake Radhi upesi na haraka Mkuu kwa Kunifananisha na huyo ' Flatterer ' and ' Dimwit ' of all the time lakini ' Nuksi ' inamsumbua Nduguye anamsahau tu mara kwa mara.
 
Mkoa wa mara / musoma ndo unaongoza kwa ustaarabu kanda ya ziwa na Tanzania kwa ujumla?
Mkuu hilo ni kweli kabisa, kiufupi ni wastaarabu sana na kwao nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe tu. Wasichopenda ni dharau na kejeli, vinginevyo utaishi mkoa huo kwa amani zote.
NB: Usijifanye unajua kuvua zipu kwa binti na dada zao, hapo itakuwa ni kama ng'ombe anayejipeleka machinjioni mwenyewe.
 
Tatizo ni kula hayo mavi ya Ng'ombe (Kichuri)...
Kichuri (chyme) si mavi tafadhali. Naomba ukasome vizuri then utuombe radhi watumiaji wa kichuri.

1575483854438.png
 
Back
Top Bottom