Je, Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli taarifa hii muhimu na ya ‘ Aibu ‘ kutokea Mkoani Kwako Geita unayo?

Je, Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli taarifa hii muhimu na ya ‘ Aibu ‘ kutokea Mkoani Kwako Geita unayo?

Ukiishamjua member fulani ni kichaa, the best way ni ku kongoli ignore button, huwezi kuona utumbo wowote wa kichaa huyo!.
P

Kale ' Katabia ' Kako ambako karibia Waandishi wa Habari wenzako wote mpaka tuliosoma nawe Oysteraby Primary tunakajua umeshakapatia dawa na Kuondokana nako au bado unakaendeleza hadi Uzee wako huu unaokukaribia? Kichaa nasubiri Majibu juu ya haya ili nikuulize na mengineyo tafadhali.
 
Ukabila/ukanda, huu uzi umeandika kipumbavu. Kuna namna nyingi ungeweza kuandika na kufikisha ujumbe ila umeamua kutumia namna ya upumbavu.
 
Katika kile kinachoonekana ni muendelezo wa Imani za ‘ Kishirikina ‘ ambazo sasa zimeanza ‘ Kuzoeleka ‘ Mikoa ya Kanda ya Ziwa ( Ukiuondoa wa Mara / Musoma tu pekee ambao unaongoza kwa kuwa na Watu Wastaarabu Kanda ya Ziwa nzima kama si Tanzania na Duniani kwa ujumla ) hasa ile inayokaliwa na Watanzania wenye Kabila la ‘ Wasukuma ‘ wengi ni kwamba hivi sasa Wakazi wa Mkoa wa Geita wameanza tabia za ‘ Kuwavizia ‘ na ‘ Kuwauwa ‘ kwa ‘ Kuwanyonga ‘ na Kamba Mama Wajawazito kisha zile Kamba ambazo hutumia ‘ Kuwanyongea ‘ huenda nazo katika Machimbo ya Madini ya Mkoa huo na Kuzitumia kama Chanzo cha Kuwaonyesha yalipo Madini mengi ili wayapate na waweze kuwa Matajiri.

Chanzo Habari: Taarifa ya Habari Radio One

ANGALIZO

Kama unajijua kabisa kuwa Wewe unatokea katika haya Makabila ya Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Warangi na Wakara tafadhali GENTAMYCINE nasema sitaki mchangie hapa kwani nawajua vyema kabisa kuwa hamna jipya. Na bahati nzuri ‘Members ‘ wote wa haya Makabila tajwa hapa nawajua kwa ‘ ID’s ‘ zenu sasa ole wenu niwaone mnachangia.
Wewe jamaa ni kizibo

Povu tayari
 
Ukabila/ukanda, huu uzi umeandika kipumbavu. Kuna namna nyingi ungeweza kuandika na kufikisha ujumbe ila umeamua kutumia namna ya upumbavu.

Ila sijazidiwa na Upumbavu wa Kiuandamizi ulionao Mkuu.
 
Dola iingilie kati
Katika kile kinachoonekana ni muendelezo wa Imani za ‘ Kishirikina ‘ ambazo sasa zimeanza ‘ Kuzoeleka ‘ Mikoa ya Kanda ya Ziwa ( Ukiuondoa wa Mara / Musoma tu pekee ambao unaongoza kwa kuwa na Watu Wastaarabu Kanda ya Ziwa nzima kama si Tanzania na Duniani kwa ujumla ) hasa ile inayokaliwa na Watanzania wenye Kabila la ‘ Wasukuma ‘ wengi ni kwamba hivi sasa Wakazi wa Mkoa wa Geita wameanza tabia za ‘ Kuwavizia ‘ na ‘ Kuwauwa ‘ kwa ‘ Kuwanyonga ‘ na Kamba Mama Wajawazito kisha zile Kamba ambazo hutumia ‘ Kuwanyongea ‘ huenda nazo katika Machimbo ya Madini ya Mkoa huo na Kuzitumia kama Chanzo cha Kuwaonyesha yalipo Madini mengi ili wayapate na waweze kuwa Matajiri.

Chanzo Habari: Taarifa ya Habari Radio One

ANGALIZO

Kama unajijua kabisa kuwa Wewe unatokea katika haya Makabila ya Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Warangi na Wakara tafadhali GENTAMYCINE nasema sitaki mchangie hapa kwani nawajua vyema kabisa kuwa hamna jipya. Na bahati nzuri ‘Members ‘ wote wa haya Makabila tajwa hapa nawajua kwa ‘ ID’s ‘ zenu sasa ole wenu niwaone mnachangia.
 
Kwa hiyo hivyo vitendo havipo? Au simba mkaa kimya ndiye mla mboga!

Mwambieni huyo ' Kidudu Mtu ' wenu anijibu Swali langu nililomuuliza Halafu alivyo ' Kubwa Jinga ' kasema kuwa ' Amenibloku / Ignore ' sasa inakuwaje bado anaendelea tena Kusoma ' Threads ' zangu na kwa Utuo kabisa na hadi anapata muda wa Kunijibu? Tena nilikuwa namtamani ' Kinomanoma ' na hapa naanza nae taratibu huku nikijua wapi nampeleka na nitakapommaliza kabisa ili ikiwezekana Mimi na Yeye tuheshimiane Milele Daima hapa Jamvini.

Cc: Pascal Mayalla
 
Hii nayo fedheha! Ushirikina mbaya!

Na tujiulize ni kwanini haya matukio hasa yanatokea Kanda ya Ziwa tena linapopatikana Kabila la Wasukuma ambalo kwa sasa ndilo limeshika hatamu ya Kiuongozi / Kiutawala ndani ya Ardhi hii ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Msukuma Mwenzao Mwandamizi Kidola / Kimamlaka?
 
Kama kweli basi shame on us Wasukuma...Inatisha kwa kweli...

Ukisema ' Kama Kweli ' unakuwa unakosea na unanikosea Mleta Uzi ( Mada ) vile vile wakati hii taarifa nimeitoa Radio One tena ikiwa ni ' Leading Story ' yao katika Taarifa yao ya Habari ya Jana Saa 2 Kamili Usiku hadi Saa 2 na dakika 10 na ile ya Kutwa ya Saa 4 Kamili Usiku hadi Saa 4 na dakika 15.
 
Naomba tafsiri ya neno "ustaarabu" huku ukimithilisha na tabia za hawa watu wa huo mkoa wako pendwa(mara)
1.Washashi
2.waanchari
3.warenchoka
Nakukumbusha pia mungiki wanatoka mkoa huu.
 
Naomba tafsiri ya neno "ustaarabu" huku ukimithilisha na tabia za hawa watu wa huo mkoa wako pendwa(mara)
1.Washashi
2.waanchari
3.warenchoka
Nakukumbusha pia mungiki wanatoka mkoa huu.

Na Wewe ni Mmoja wa Watani zangu hao Wakubwa Tajwa hapo au? Tuanzie hapa Kwanza ili kama siyo basi nikuandalie Jibu lako moja ' Mujarab ' kabisa ambalo linaweza hata Kukufanya upate Usingizi sasa hivi na uka ' Log Out ' na kwenda zako Kulala huku muda wote ukiwa unaliwaza na Kulitafakari tu.
 
Ukiacha mambo mengine yanaendelea humu ktk uzi, hili suala kdg linafikirisha si la kuuachwa ni la kufuatiliwa na vyombo husika
 
Ukiacha mambo mengine yanaendelea humu ktk uzi, hili suala kdg linafikirisha si la kuuachwa ni la kufuatiliwa na vyombo husika

Hayo mengineyo katika Uzi ni sehemu tu ya ' Kuunogesha ' lakini Kiini cha Uzi wenyewe upo wazi tu hapo na si Jambo jema kwa nchi.
 
Mkoa wa mara / musoma ndo unaongoza kwa ustaarabu kanda ya ziwa na Tanzania kwa ujumla?
Mwandishi alizungumzia ni wastaarabu kiimani kuwa watu wa musoma sio washirikina wanaoua watu kwa ajili ya kupata mali ...wastaarabu labda ni wajita sio wagomvi...wakurya n wagomvi kwa kuzaliwa
 
Mwandishi alizungumzia ni wastaarabu kiimani kuwa watu wa musoma sio washirikina wanaoua watu kwa ajili ya kupata mali ...wastaarabu labda ni wajita sio wagomvi...wakurya n wagomvi kwa kuzaliwa
Ndugu hao wajita unaowataja ndo wanaongoza kuua waume zao na kubaki na nyumba. Kwenye ushirikina waliona na unafuu mkubwa mkoa wa Mara ni wakurya si wajita . Uliza wenye kujua wakusaidie
 
Hawa watu wa migodini kuua mtu ili apate Mali ni kitu cha kawaida.

Genta umekuaje tena na mayalla? Naomba muwe kitu kimoja. Nyie wote si wanaCCM mmekuaje tena?
 
Back
Top Bottom