Na hiyo ya tatu wanadai itakuwa mbaya zaidi kuliko ya kwanza na ya pili.

Mpaka sasa haifahamiki kutakuwa na waves ngapi za Corona?

Kila siku unasikia kuna new variants kwa kifupi Corona haieleweki.
 
Lakini hayati alituambia China ndo marafiki zetu wa kweli wa enzi na enzi na ndo waliokuwa wakipewa miradi mikubwa sasa iweje wamhujumu hali ya kuwa wakijua anaweza kuja Rais mwingine akaelekeza mahusiano na nchi za magharibi.
 
Yaani mpango wa kumuua amiri jeshi mkuu unatangazwa Fb? Kweli tunadharaulika watu weusi wa bara hili.
 
Hakuna utata wowote mkuu ,kuhusu hicho kifaa kudukuliwa sio kweli maana alikuwa anatembea na jammer muda wote! Kovid is real ,nasasa kuna variant mpya kutoka TZ.
Bro wewe ni Mtanzania? Nauliza tu
 
Umesahau pia kuwa huyu mtu alipenda sana wanawake na alikuwa na ugonjwa usio na kinga wala tiba. Asitafutwe mchawi.

Pili hayo madini na rasilimali nyingine zinamfaa nini mtu wa kawaida ambaye hali ya maisha imekuwa ngumu sana chini ya utawala wake ambapo familia nyingi zinaishia kwa mlo mmoja kwa siku?
 
Kumbuka kuwa jpm huyu huyu ndie aliwafukuzawachina ktk ile bandari ya bagamoyo waliopewa na jmk kukodishiwa miaka 30
hakuwafukuza wachina, ila alicancel mpango wa ujenzi wa bagamoyo. Aliwafukuza kwani walikua washaanza kazi? China ni ndugu yetu hata Mwl. Nyerere huko aliko anafahamu hivo😁
 
I was VERY CONCERNED tangu February 11 kwenye uzinduzi wa Soko Morogoro. Then, baada ya hapo ni kama wewe, kufuatia kifo cha Amb. Kijazi, wakati JPM akihutubia kuzindua Mapishano ya Kijazi Ubungo & Magufuli International Bus Terminal Mbezi (24.02.2021 J5)


 
wenye akili kubwa only waendelee kujadili hoja juu ya hoja


akina sisi akili kisoda tuendelee kusoma comment...

Over
 
Akiwa Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan (sasa Rais) alituambia tu "Rais Magufuli amekufa kutokana na tatizo la mfumo wa umeme katika moyo wake, tatizo alikokuwa nalo zaidi ya miaka 10 iliyopita". Hivi, hili jibu linatosha kuaminiwa?

Ni wangapi Wana tatizo kama hilo lakini bado wanadunda? Mbona Rais alikuwa mzima bukheri wa afya ziarani Dar? Nini kauli ya Daktari wake? Hakujua dalili au ishara ya Rais kupata shida? Nini maana ya Ulinzi madhubuti kwa Rais? Nini hasa kilimsibu Magufuli? Na kwanini wapambe wa mabeberu ndio wawe wa kwanza kubaini hali dhoofu ya Rais Magufuli?

Tunajua JPM hakuwa rafiki na mabeberu katika vita ya uchumi. Kwa nini Rais SSH asiunde Tume ya Kitabibu kuchunguza kifo cha kipenzi chetu? Yaani tukubali tu kirahisi maelezo ya umeme moyoni?! Hapana. Nakataa, muda utaongea.
 
Haya ikijulikana mabeberu ndo wamemuua ,utafanya nini ?? Aisee katika vitu vya kuepuka katika maisha ni kutofautiana bitterly na mzungu , utaishia kuumia na utakosa vyote , malengo yako hayatatimia na hata kile kidog amabacho ungepata kama mngekaa meza moja na chenyewe hupati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…