Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hiyo ya tatu wanadai itakuwa mbaya zaidi kuliko ya kwanza na ya pili.Kama kuna K wakwanza tulitakiwa tuanze nae ni Gates! Huyo ana pesa ambazo ameamua kuzitumia kuangamiza wenzie kupitia misaada ya kinafiki anayotuma Africa.
Na baada ya 1st wave kuwa haijachapa Africa kama alivyotarajia akaahaidi 2nd wave itatkuwa kiboko na ndio hii imesepa na kijiji yani na still inasemekana kuna 3rx wave hio.nahisi ya vijana na watoto.
Yaani mpango wa kumuua amiri jeshi mkuu unatangazwa Fb? Kweli tunadharaulika watu weusi wa bara hili.GUYS,,SIYE TUNATAARUFA ZA NDANI..KIFAA ALICHIKUWA NACHO KILIWEKWA MWAKA JANA BAADA YA KILE CHA KWANZA KUEXPIRE..HIKI CHAPILI KINGEEXPIRE MWAKA 2030,,LAKINI KILISIMAMA GHAFLA NAKUAGIZA KINGINE ILIKIWA NI PROCESS.NDO MAANA MH RAIS KABLA YA KUFARIKI ALIWAITA WATU TOFAUTI NA KUWAAGA.NAWALE WAKARIBU AKAWAAMBIA HATA VITU VYA SIRI KAMA MABEYO ALIYOSEMA. LAKINI PIA TUNASIKIA KUNAMIKATABA MIKUBWA YA KUCHIMBA MADINI NA GAS..WAINGEREZA NA WACHINA WALITOA TERMS ZAO MKUU AKAKATAA KAMA FINAKA DECISION MAKER..NA BAADA YA HAPO AKAPOKEA UBALOZI WA UINGEREZA BUKOBA NA UGENI WA CHINA HUKO BUKOBA.BAADA YA HAPO AKAANZA KUONA MABADILIKO.ISSUE YA CORONA YEYE AMEISHAIUGUA ILE YA MWANZO NA ALIOONA NDO MAANA ALIKUWA ANAWAHIMIZA KUJIFUKIZA NK KWANI ANAUZOEFU WA KWAKE NA FAMILIA YAKE KUUGUA NA KUPONA.KUONYESHA KUWA KUNA ASSASNATION..MNAKUMBUKA KUNAWACHUNGAJI WALUTABIRI KIFO CHAKE MWEZI MMOJA KABLA LAKINI PIA TH 17 FEB KUNAMTU ALIANDIKA KWA KIINGEREZA KWENYE FACEBOOK KUWA MAGUFURI ANGEFARI TH 17 MARCH..NA KWELI IKATOKEA,,HII INAMAANA HAWA WATU WALIJUA KILICHOKUWA KINAENDELEA.
Bro wewe ni Mtanzania? Nauliza tuHakuna utata wowote mkuu ,kuhusu hicho kifaa kudukuliwa sio kweli maana alikuwa anatembea na jammer muda wote! Kovid is real ,nasasa kuna variant mpya kutoka TZ.
Umesahau pia kuwa huyu mtu alipenda sana wanawake na alikuwa na ugonjwa usio na kinga wala tiba. Asitafutwe mchawi.1. Hujuma katika kifaa cha Pacemaker
Katika Lugha nyepesi kabisa, kazi ya kifaa cha Pacemaker ni kuratibu mapigo ya moyo. Ni katika mazingira magumu sana kifaa hiki kuleta shida. Aidha, Kutokana na evolution ya technology, mfumo wa kifaa hiki unaweza kuharibiwa kwa kutumia data base na access code zilizotumika ku program kifaa.
Unahitaji kupata access ya zile code kisha uwe na muhusika umbali mdogo ili kuharibu mfumo wa kifaa kwa kukihamuru kusababisha shock na kufanya mapigo ya moyo kutorandana tena. Kama kutakuwa hakuna wataalamu wa kuliona hilo kwa haraka na kuwahi kukibadili kifaa, hatari itakuwa ni kubwa kwa maana muda mwingi utapotezwa kwenye first aid za ku support maisha yake badala ya kuondoa kifaa kilichoharibiwa mfumo. JPM alivyokuwa anahudhuria mikutano yake na kujichanganya na watu, ni dhahiri kwamba ilikuwa ni rahisi kwa mtu mwenye nia ovu kutekeleza dhima hiyo kwa msaada wa Mabeberu na vibaraka wa ndani.
KipilimbaKaribu kujadili ukweli
Tanzania haijawahi kuwa na vita ya kiuchumiHuu uzi unafikirisha sana, moja ya maneno ya jiwe ni kwamba kuna vita ya kiuchumi
Karma is realHili liko wazi mkuu halina ubishi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan wengine wafe ni kawaida wengine hawastahili kufa
au we unajua madini yalikuwa yanafanyiwa nini hapa ndani,,, maana mleta mada katuambia hayapelekwi nje[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]
hakuwafukuza wachina, ila alicancel mpango wa ujenzi wa bagamoyo. Aliwafukuza kwani walikua washaanza kazi? China ni ndugu yetu hata Mwl. Nyerere huko aliko anafahamu hivo😁Kumbuka kuwa jpm huyu huyu ndie aliwafukuzawachina ktk ile bandari ya bagamoyo waliopewa na jmk kukodishiwa miaka 30
I was VERY CONCERNED tangu February 11 kwenye uzinduzi wa Soko Morogoro. Then, baada ya hapo ni kama wewe, kufuatia kifo cha Amb. Kijazi, wakati JPM akihutubia kuzindua Mapishano ya Kijazi Ubungo & Magufuli International Bus Terminal Mbezi (24.02.2021 J5)Kifo cha kijazi niliconclude moja Kwa moja kuwa JPM anaenda kufa na COVID, ( kuna reply yangu humu JF sku ya mazishi ya kuaga mwili wa kijazi ) nilisema wazi kama Kijazi anakufa na korona na ni part ya Ikulu basi Jiwe yupo kwenye hatari kubwa na itakuwa aibu Kwa Raisi kufa na Korona ni aibu mno tena Sana ...... unaweza mlaumu Dr lakini naamin madaktari walifanya sehemu Yao tatizo jamaa ni mpenda sifa huenda hata aliwakatalia ili awe mfano Kwa watanzania wajinga waliohadaikana misimamo yake kwamba COVID haipo .....
Kuna watu wazito before wamekufa na Korona , akina Patel ,Ndasa , mahiga , Lwakatare , Mkapa , na matajiri kibao wenye umri umeenda enda .....
Lakini jamaa akajitia ngumu na mfumo wake wa maombi huku akiwahadaa watu makanisani ...... Ukweli ni kuwa kama Una magonjwa common kama Ugonjwa wa Moyo,Pressure ,Kisukari , Ukimwi na magonjwa ya namna hiyo , watu kama hawa COVID ni aggressive killer , inaenda kuongezea nguvu ugonjwa ulio nao mara dufu , ..... Ni kweli amekufa Kwa ugonjwa wa Moyo lakini ni COVID ndo iliyopeleka shambulizi la kushitukiza kupitia Kwa winga ugonjwa wa Moyo
Can you name them!??? Kwa sababu wengi kama si wote, imefahamika bayana kuwa ni korona.Ndo amesema inawezekana ujio wa china haukuja kwa mema...inawezekana wakawa poisoned wote waliokuwa pale