Ingekuwa babako ungesema simple like that?!
Magufuli alikuwa rais, VP hadi anatangaza kuwa ni maradhi ya moyo means walishaelezwa na madaktari bingwa waliokuwa wakimtibu.

Sasa kama hautaki kumwamini VP sijui utamwamini nani
 
Inaonesha Mzee na Watu wake wa karibu walifahamu kabisa hali iliyopo....ni kama Mzee alipambana tu akijua muda si mrefu.

"Baseline patient characteristics are summarized in Table 1: The median patient survival after pacemaker implantation was 101.9 months (approx. 8.5 years), at 5, 10, 15 and 20 years after implantation 65.6%, 44.8%, 30.8% and 21.4%, respectively, of patients were still alive".

"Tabia za msingi za mgonjwa zimefupishwa katika Jedwali 1: Kuishi kwa mgonjwa wa wastani baada ya kuingizwa kwa pacemaker ilikuwa miezi 101.9 (takriban miaka 8.5), kwa miaka 5, 10, 15 na 20 baada ya kupandikizwa 65.6%, 44.8%, 30.8% na 21.4%, mtawaliwa. , ya wagonjwa bado walikuwa hai".
 
Kwa hiyo wewe ndio unajua zaidi kuliko walio karibu nao si umeambiwa tatizo lake ni la muda miaka 10 kwa hiyo unataka kutuaminisha kuwa mabeberu ????siku ikifika hakuna wakuzia kijana unaondoka tu.Tumshukuru mungu kwa kila Jambo pia kwa maisha Magufuli hapa duniani.
 
Pia tusisahau kuchunguza wauaji waliokusudia kuondoa uhai wa Lisu, waliowapoteza AzoryGwanda, Ben saanane, Kanguye, maiti kukutwa kwenye viroba ufukweni mwa bahari, wauaji wa Alphonce Mawazo nk nk nk
Haswaa yote hayo yachunguzwe hapo tutaenda sawa kabisa maana kila mtu Ana haki ya kuishi .
 
Mkuu kuna mambo mengine yapo nje ya uwezo wetu,.. Hivi ukitulia sana unafikiri ile ziara ya Tanga ilikuwa ya kawaida kiserikali? Kiufupi hata tangazo unaweza ukafikiri lilitokea Tanga kisa TBC waliandika Tanga.. Lakini kumbuka vitu haviwekwi wazi..
 
Uchunguzi wa nini tena? Si chanzo cha kifo kinajulikana?
 
Hebu nyinyi mataga muwe na akili , Jiwe ameenda kuwa mtanzania wa kwanza kuwa malaika mkuu humjaridhika tu ?
 
Tuachane na marehemu tuchunguze kwanza waliompiga risasi 16 mzalendo sn na temegeo la watz Mh Tundu Lissu
 
You are not straight,you are fidgeting around
 
Ukweli halisi huu
 
Fatilia Tu utajua ukweli wa mambo , nchi yako inatembea Kwa rehema za Mwenyezi Mungu na si vinginevyo
 
What if Sisiemu waited for JPM awavukishe second re-election and then wafanye yao, especially walipogundua he does not align fully with tuem and that anatwanga kotekote ndani ya chama & huko nje!???
 
Vyovyote vile ila siku yake ilifika, kazi yake alimaliza na Mungu akaruhusu mauti imkute
@mama D stop saying ^siku yake ilifika,^ sawa!??? There are countless deaths that are totally preventable. I hope you know this!??? Huwezi kuacha kufunga safety belt garini ama ukalewa na kuendesha ukidai ^siku ikifika imefika^ Huko ni kudhilimu imani (faith abuse).
 
Amusing content lakini haina ukweli wowote. Hiyo ya Kurasini, kwa mfano, ambayo ni 26.02 JPM alikuwa strong sana. Kama kuna hali yoyote tofauti huenda ni kutokana na uchovu wa mwili (maana ndipo tu alitoka Morogoro then Kijazi Interchange na Mbezi Terminal (24.02) na labda huzuni ya kuondokewa na Amb. Kijazi. But vyovyote vile alikuwa FIT SANA. Angalia video utaamini. Kama ni tatizo, basi itakiwa alianza kuwa serious Saturday 27.02 since Jumapili yake hakuwa Church.
 
...binafsi inanitatiza sana kuwa ndugu JPM alijua siku zake zimefika na aliitisha kikao cha wana ndugu na kuongoza sala na kuimba nao, kisha akaita wakuu wa dini kadhaa waje mtakasa kabla hajakata roho....
Nini kilimfanya mkuu wetu ajitambue haya yote...
 
Mdau shusha izo nasaha hapa maana wengine tulikua mbali na tv
 
Na hiyo ya tatu wanadai itakuwa mbaya zaidi kuliko ya kwanza na ya pili.

Mpaka sasa haifahamiki kutakuwa na waves ngapi za Corona?

Kila siku unasikia kuna new variants kwa kifupi Corona haieleweki.
^The world should be totally back to normal by 2022^ ~ Bill Gates
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…