Je, Rais Magufuli alikuwa na Pacemaker au Defibrillator? Ilidukuliwa?
Ingekuwa babako ungesema simple like that?!
Magufuli alikuwa rais, VP hadi anatangaza kuwa ni maradhi ya moyo means walishaelezwa na madaktari bingwa waliokuwa wakimtibu.

Sasa kama hautaki kumwamini VP sijui utamwamini nani
 
Inaonesha Mzee na Watu wake wa karibu walifahamu kabisa hali iliyopo....ni kama Mzee alipambana tu akijua muda si mrefu.

"Baseline patient characteristics are summarized in Table 1: The median patient survival after pacemaker implantation was 101.9 months (approx. 8.5 years), at 5, 10, 15 and 20 years after implantation 65.6%, 44.8%, 30.8% and 21.4%, respectively, of patients were still alive".

"Tabia za msingi za mgonjwa zimefupishwa katika Jedwali 1: Kuishi kwa mgonjwa wa wastani baada ya kuingizwa kwa pacemaker ilikuwa miezi 101.9 (takriban miaka 8.5), kwa miaka 5, 10, 15 na 20 baada ya kupandikizwa 65.6%, 44.8%, 30.8% na 21.4%, mtawaliwa. , ya wagonjwa bado walikuwa hai".
 
Akiwa Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan (sasa Rais) alituambia tu "Rais Magufuli amekufa kutokana na tatizo la mfumo wa umeme katika moyo wake, tatizo alikokuwa nalo zaidi ya miaka 10 iliyopita". Hivi, hili jibu linatosha kuaminiwa?

Ni wangapi Wana tatizo kama hilo lakini bado wanadunda? Mbona Rais alikuwa mzima bukheri wa afya ziarani Dar? Nini kauli ya Daktari wake? Hakujua dalili au ishara ya Rais kupata shida? Nini maana ya Ulinzi madhubuti kwa Rais? Nini hasa kilimsibu Magufuli? Na kwanini wapambe wa mabeberu ndio wawe wa kwanza kubaini hali dhoofu ya Rais Magufuli?

Tunajua JPM hakuwa rafiki na mabeberu katika vita ya uchumi. Kwa nini Rais SSH asiunde Tume ya Kitabibu kuchunguza kifo cha kipenzi chetu? Yaani tukubali tu kirahisi maelezo ya umeme moyoni?! Hapana. Nakataa, muda utaongea.
Kwa hiyo wewe ndio unajua zaidi kuliko walio karibu nao si umeambiwa tatizo lake ni la muda miaka 10 kwa hiyo unataka kutuaminisha kuwa mabeberu ????siku ikifika hakuna wakuzia kijana unaondoka tu.Tumshukuru mungu kwa kila Jambo pia kwa maisha Magufuli hapa duniani.
 
Pia tusisahau kuchunguza wauaji waliokusudia kuondoa uhai wa Lisu, waliowapoteza AzoryGwanda, Ben saanane, Kanguye, maiti kukutwa kwenye viroba ufukweni mwa bahari, wauaji wa Alphonce Mawazo nk nk nk
Haswaa yote hayo yachunguzwe hapo tutaenda sawa kabisa maana kila mtu Ana haki ya kuishi .
 
Kwa hii hoja, paragraph ya mleta mada kuhusu Madam President kutoa taarifa za Msiba akiwa Tanga, inasimama like a red dot on a white surface!

Serikali haikuweza kabisa kupeleka hata private Jet, na kumbeba the then VP kurudi Dar ili atangaze kuondoka kwa Hayati JPM katika mazingira sahihi na kwa Mujibu wa Katiba?

Serikali kama iliegemea zaidi kutunza heshima ya Hayati JPM kuhusu kuondoka na COVID-19, haikuona hatari ya kuruhusu VP kutangaza Msiba wa Rais aliyepo madarakani huku Viongozi muhimu na wa juu kimamlaka kwa mujibu wa katiba, wakiwa wamesambaa maeneo mbali mbali ya nchi?
Mkuu kuna mambo mengine yapo nje ya uwezo wetu,.. Hivi ukitulia sana unafikiri ile ziara ya Tanga ilikuwa ya kawaida kiserikali? Kiufupi hata tangazo unaweza ukafikiri lilitokea Tanga kisa TBC waliandika Tanga.. Lakini kumbuka vitu haviwekwi wazi..
 
Uchunguzi wa nini tena? Si chanzo cha kifo kinajulikana?
 
Hebu nyinyi mataga muwe na akili , Jiwe ameenda kuwa mtanzania wa kwanza kuwa malaika mkuu humjaridhika tu ?
 
Tuachane na marehemu tuchunguze kwanza waliompiga risasi 16 mzalendo sn na temegeo la watz Mh Tundu Lissu
 
Nimejiuliza na kufikiria sana sana kuhusu kifo cha Rais Magufuli kilichosababishwa na mfumo wa umeme wa moyo uliokuwa unaratibiwa na pacemaker/defibrillator.

Kujiuliza na kufikilia kwangu kumetokana onyo la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Marekani (Department of Homeland Security-DHS) lililotolewa mwaka 2019 linaloonya makampuni yanayotengeneza pacemaker/defibrillator kuhusu hatari ya kifaa hicho kudukuliwa na wataalam wa udukuzi na kupelekea hata kifo kwa watu waliopandikizwa kifaa hicho.

Ukitaka kusoma onyo hilo unaweza kugonga hapa;
Link>>> Pacemakers and Hacker Dangers

Wizara hiyo ilibainisha kuwa wadukuzi wanaweza kuingilia mifumo ya pacemaker/defibrillator na kuweza kubadilisha mawasiliano yake ambapo inaweza kupelekea mtu aliyewekewa kifaa kufariki.

Wizara hiyo ilienda mbali zaidi na kusema hata wadukuzi ''mwenye uwezo mdogo'' wanaweza kudukua pacemaker/defibrillator na kufanikiwa kuleta madhara makubwa kwa watu waliopandikizwa vifaa hivyo kwa sababu vifaa hivyo havina mfumo wa uhakiki au idhini (authentication or authorization) ambao ni kinga ya mwanzo dhidi ya udukuzi.

Onyo hili lilipelekea watoa huduma ya afya nchini Marekani kuwaita wananchi wa Marekani zaidi ya nusu milioni waliopandikizwa vifaa hivyo na kuwaeleza ukweli wake.

Kama kifaa hiki kinaweza kudukuliwa hata na wadukuzi wenye uwezo mdogo na kuleta madhara au kifo, inafikirisha sana kusikia kifo cha Rais Magufuli kimesababishwa na mfumo wa umeme wa moyo uliokuwa unaratibiwa na pacemaker/defibrillator. Bear in mind, Rais Magufuli amekuwa na hii pacemaker/defibrillator kwa zaidi ya miaka 10. Why now?

Inafikirisha zaidi baada ya kusoma makala iliyoandikwa na Tundu Lissu kupitia gazeti la Afrika ya Kusini liitwalo Maverick akidai alidokezwa kuhusu hali ya Rais Magufuli na chanzo cha ''uhakika'' kutoka Marekani tarehe 6 Machi.

Ukitaka kusoma makala hiyo gonga hapa;
Link>>> OP-ED: Tanzania’s five years of devastation under the presidency of John Pombe Magufuli

Ukiyachanganua maelezo ya Tundu Lissu utagundua kuwa chanzo cha ''uhakika'' walijua wamefanikiwa ''mission'' ya kudukua hasa baada ya Rais Magufuli kwenda katika hospitali ya Muhimbili tarehe 6 Machi kutibiwa ambapo inaonekana daktari/madaktari walitoa siri hiyo nje lakini baada ya kutoka Muhimbili siku ya pili hawakujua yuko wapi kutokana na usiri wa hali ya juu wa ulinzi wa Rais Magufuli.

Hata gazeti ya Kijasusi liitwalo Africaintelligence halikuweza kujua aliko na likadai habari zinazosema yuko Kenya au India sio za kweli kwa sababu limefanya uchunguzi na kugundua sio kweli.

Kama chanzo cha kifo cha Rais Magufuli kitakuwa ni kudukuliwa kwa pacemaker/defibrillator, hii itakuwa ni aibu na udhaifu mkubwa kwa vyombo vilivyopewa mamlaka ya ulinzi na usalama wa taasisi ya Urais nchini Tanzania. Taasisi ya Ulinzi na Usalama inawezekana ilikuwa imejikita katika ulinzi wa mwili(Physical security ) pekee bila kujiandaa kwenye ulinzi wa saibenetiki(cybersecurity).

Kuna baadhi ya watu watajiuliza, kwa nini pacemaker/defibrillator ya Rais Magufuli idukuliwa kwa sasa?

Mtu mwenye upeo mkubwa atajua muda huu ndio ulikuwa ni muda mwafaka kiujasusi baada ya uchaguzi mkuu 2020 kwa sababu nguvu zilizokuwa zimewekezwa katika Uchaguzi Mkuu 2020 ili kumuondoa Rais Magufuli madarakani kwa njia ya sanduku la kura au maandamano kupitia kwa Tundu Lissu kutofanikiwa.

Ukisikiliza sauti ya tatu utagundua kuwa Tundu Lissu aliwaaminisha ''majasusi'' ana uwezo wa kumtoa Rais Magufuli madarakani kwa kura au maandamano.

Ieleweke kuwa, katika baadhi ya misheni hasa za kijasusi zenye changamano na tata huwa kuna mpango(plan) zaidi ya mmoja. Baada ya mpango wa kwanza kushindwa, mpango wa pili ulichukua nafasi yake na kufanikiwa!

Nadhani hoja za kinadharia kutoka kwa baadhi ya wanasiasa hasa wabunge za kutaka kubadilisha katiba ya Tanzania ili kumuongezea Rais Magufuli muda wa Urais pia zimeharakisha sana ''mission'' hii kabla hawajaanza kuandika ''miswaada binafsi'' na kupeleka bungeni kwa sababu ungepitishwa bila kikwazo chochote!

Mission accomplished, the rest is history!

NOTA BENE.
Kwa wasiojua, pacemaker/defibrillatorni ni kifaa kidogo cha umeme chenye ukubwa kama kiberiti ambacho hufuatilia na kudhibiti wimbo wa moyo ambacho huingizwa kwenye kifua ili kufuatilia na kudhibiti sauti ya moyo isiyo ya kawaida ili kusukuma damu kwa kiwango kinachotakiwa.
View attachment 1733899
You are not straight,you are fidgeting around
 
Haya ikijulikana mabeberu ndo wamemuua ,utafanya nini ?? Aisee katika vitu vya kuepuka katika maisha ni kutofautiana bitterly na mzungu , utaishia kuumia na utakosa vyote , malengo yako hayatatimia na hata kile kidog amabacho ungepata kama mngekaa meza moja na chenyewe hupati
Ukweli halisi huu
 
Kwa hii hoja, paragraph ya mleta mada kuhusu Madam President kutoa taarifa za Msiba akiwa Tanga, inasimama like a red dot on a white surface!

Serikali haikuweza kabisa kupeleka hata private Jet, na kumbeba the then VP kurudi Dar ili atangaze kuondoka kwa Hayati JPM katika mazingira sahihi na kwa Mujibu wa Katiba?

Serikali kama iliegemea zaidi kutunza heshima ya Hayati JPM kuhusu kuondoka na COVID-19, haikuona hatari ya kuruhusu VP kutangaza Msiba wa Rais aliyepo madarakani huku Viongozi muhimu na wa juu kimamlaka kwa mujibu wa katiba, wakiwa wamesambaa maeneo mbali mbali ya nchi?
Fatilia Tu utajua ukweli wa mambo , nchi yako inatembea Kwa rehema za Mwenyezi Mungu na si vinginevyo
 
Kuna nchi ngapi hua zinamonitor resources zake ziwafaidishe watu wao? Nchi zingine zimefanya hivyo kwa zaidi ya muongo mmoja, na viongozi wake wanasurvive. Mfano ni nchi zenye mafuta za kiarabu.

Kama swala ni haki za binadamu na uhuru wa kujieleza mbona Duterte na Edorgan bado wapo? Sisi Makonda aliita mashoga waende kituoni wafikishwe mahakamani Duterte anawakusanya mateja anawaua, Edorgan homosexuals anawafunga na still wapo.

Serikali ya Magufuli ilishtakiwa na Msouth mpaka ndege zikashikiliwa, imeshtakiwa na wakina Zitto a person unayeweza mshtaki unahitaji kumuua kweli? Ordeal ya Acacia, baada ya kuongea alichoongea ila mwishoni alikaa nao meza moja.

Ccm wenzake? Katika chama kinachojua kushikamana na kuvumiliana ili watu wa nje wasijue kama kuna shida ni hichi, hata kama wanaona hawawezani naye wangemsubiri amalize. Hiki chama ndicho kiliprint fomu moja tu ya uraisi ili asipate upinzani ndani ya chama, this shows ni kiasi gani walimhitaji, if so wamuue ili iweje?

My point is this, sioni ni kivipi Kuna assassination hapa kutolea nje hana ubaya wa kuwafikia ambao bado wapo hai na hana ukaidi wa wakina Kim na Ahmadnejad and these two are alive.
What if Sisiemu waited for JPM awavukishe second re-election and then wafanye yao, especially walipogundua he does not align fully with tuem and that anatwanga kotekote ndani ya chama & huko nje!???
 
Vyovyote vile ila siku yake ilifika, kazi yake alimaliza na Mungu akaruhusu mauti imkute
@mama D stop saying ^siku yake ilifika,^ sawa!??? There are countless deaths that are totally preventable. I hope you know this!??? Huwezi kuacha kufunga safety belt garini ama ukalewa na kuendesha ukidai ^siku ikifika imefika^ Huko ni kudhilimu imani (faith abuse).
 
Aliyeua kwa Upanga na yeye atakufa kwa Upanga pia, hivi ni nani alihoji kifo cha Mzee Mkapa? Yule mzee hakuonesha dalili ya kuumwa na hata wanajeshi kipindi wanaubeba ule mwili wake wanaonekana kabisa kutumia nguvu nyingi (Yumkini wale wanajeshi waliomba likizo baada ya zoezi lile). Na tukumbuke ni Mkapa pekee ndiye alikuwa na uwezo wa kumwambia Ukweli Marehemu Magufuli, the rest wastaafu kama Mwinyi alikuwa mzee wa kusifia na Kikwete mara chache sana alitumia utaalamu wa lugha kusema utaawala wa Magufuli. Ila Mkapa kifo chake ni cha Utata sana, mstaafu tunasikia tu amefariki.

Hilo moja, Mzee Mangula kidogo tu afe kwa Sumu na inasemekana walikuwa kwenye kikao huko cha CCM, tukumbuke Mangula ni makamu mwenyekiti wa CCM na inawezekana hata kwenye kikao anakaaga karibu na Mwenyekiti. Kwa nini polisi waseme tunataka tuanze uchunguzi wa nani alimuwekea Sumu Mangula halafu ghafla, tunaona hakuna cha Uchunguzi wala nini mpaka mzee wa watu akarudi zake kijijini. Katika hali ya kawaida kaa kwenye nafasi ya Mzee Mangula, una boss ambaye ni mwenyekiti wako na anauwezo wa kuchunguza juu ya tukio la kuwekewa Sumu halafu ghafla unaona yupo kimya.

Lingine, Marehemu Magufuli alionekana mgonjwa tangu mwaka jana ila ndio hivyo madaraka matamu mno. Magufuli ukimuangakia usoni unaona kabisa hana sura angavu na unaona kabisa kuna mambo anajutia, akikaa kwenye kiti unaweza kusema amekaa mlemavu wa miguu.

Na la mwisho achana kauli ya CDF Mabeyo, marehemu alipotembelea Kurasini mwezi Februari kuna kitu alifungwa kama kitambaa cheusi hivi kwenye mkono wake wa kushoto. Na inawezekana alijua pia hana siku nyingi za Kuishi ndio maana hata Uteuzi wa Bashiru kuwa KMK ulifanyika kwa ghafla sana na siku ya Uapisho wa Katibu Mkuu kiongozi, Hayati Magufuli hakuongea kama ilivyo kawaida yake na tukaambiwa ana Ratiba zingine. Ni ratiba gani alikuwa nazo, wanajua watu wa Ikulu lakin mawazo yangu inaonekana alishauriwa na Madaktari wake asisimame kwa muda mrefu au kuzungumza.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Amusing content lakini haina ukweli wowote. Hiyo ya Kurasini, kwa mfano, ambayo ni 26.02 JPM alikuwa strong sana. Kama kuna hali yoyote tofauti huenda ni kutokana na uchovu wa mwili (maana ndipo tu alitoka Morogoro then Kijazi Interchange na Mbezi Terminal (24.02) na labda huzuni ya kuondokewa na Amb. Kijazi. But vyovyote vile alikuwa FIT SANA. Angalia video utaamini. Kama ni tatizo, basi itakiwa alianza kuwa serious Saturday 27.02 since Jumapili yake hakuwa Church.
 
...binafsi inanitatiza sana kuwa ndugu JPM alijua siku zake zimefika na aliitisha kikao cha wana ndugu na kuongoza sala na kuimba nao, kisha akaita wakuu wa dini kadhaa waje mtakasa kabla hajakata roho....
Nini kilimfanya mkuu wetu ajitambue haya yote...
 
Kuna haja yakufanya hivo, ata mimi nina mashakha sana na kifo chake, ukifatilia kwa makini wanafamilia wanasema aliomba mpaka maaskofu waje kumfanyia kitubio sijui na Muft akamuombea, pia kama haitoshi alimpigia dimu askofu Gwajima tarehe 6 ambapo inasemekana alienda MOI lakini mwisho kabisa nasaha zake kwa Taifa ambazo zilisomwa juzi na familia japo moja wanasema hawajaikumbuka lakini naamini inajulikana ila imefichwa kutokana na usalama labda kuna vitu kaviongea ambavyo si vya kawaida.
Mdau shusha izo nasaha hapa maana wengine tulikua mbali na tv
 
Na hiyo ya tatu wanadai itakuwa mbaya zaidi kuliko ya kwanza na ya pili.

Mpaka sasa haifahamiki kutakuwa na waves ngapi za Corona?

Kila siku unasikia kuna new variants kwa kifupi Corona haieleweki.
^The world should be totally back to normal by 2022^ ~ Bill Gates
 
Back
Top Bottom