^The world should be totally back to normal by 2022^ ~ Bill Gates
Ila bill gates nae ana mitizamo yake fulani ya kama imekaa kishetani shetani kuna clip moja anazungumzia maswala ya uzazi wa mpango.

Anadai huko mbele resources zitakuwa chache,alafu watu watakuwa wengi so lazima watu wafanye birth control.

Hilo neno "should back to normal....." unaweza ukasema ugonjwa ana ucontrol yy.

 
A TIMELINE & COUNTDOWN TO A SAD MARCH 17

FEBRUARY 2021

1 MON ---

2 TUE ---

3 WED ---

4 THU ---

5 FRI ---

6 SAT ---

7 SUN ---

8 MON ---

9 TUE ---

10 WED ---

11 THU --- Morogoro Market Officially Opened by JPM

12 FRI --- JPM Opens Hide Factory in Morogoro

13 SAT ---

14 SUN ---

15 MON ---

16 TUE ---

17 WED --- Death of Amb. Kijazi & VP Maalim Seif

18 THU ---

19 FRI --- JPM on Kijazi's Funeral at Karimjee DSM

20 SAT ---

21 SUN --- JPM Last Day in Church

22 MON ---

23 TUE ---

24 WED --- JPM at Kijazi Interchange & Magufuli International Bus Terminal Mbezi Louis

25 THU --- Kisutu Market Opened by JPM

26 FRI --- JPM at Kurasini: His Last Public Speech

27 SAT --- Dr. Bashiru Takes Oath of Office in Place of Late Amb. Kijazi. JPM's Last Public Appearance

28 SUN --- JPM Unusually Misses Church Service



MARCH 2021

1 MON ---

2 TUE ---

3 WED ---

4 THU ---

5 FRI ---

6 SAT --- Speculations Regarding JPM's Sickness Ensue

7 SUN --- JPM Misses Church for the 2ND TIME

8 MON ---

9 TUE ---

10 WED --- Speculations Rise that He Had Been Flown to Kenya for Treatment; Social Media Circulate Tarp-Covered Military Vehicles & Military Band

11 THU --- Speculations that He Had Been Flown to India

12 FRI --- PM in Njombe Says JPM is Well & Active in His Official Work as Usual

13 SAT ---

14 SUN --- JPM Misses Church for the 3RD TIME

15 MON --- VP Samia in Tanga

16 TUE ---

17 WED --- Official Devastating Announcement by the then VP Ms Samia
 

..WACHINA ndio hatari zaidi.

..Fuatilia wanachowafanyia jamii ya Waislamu wa Uighur.
 
Kumbuka ndiye ^alitabiri^ mapema tu 2016 kwamba kuna pandemic kubwa itakayowaua mamilioni ya watu.

NB: Bill Gates on Ted Talk 2016
 
Kwa hiyo unachosema hapa ni kwamba ni kifo cha uzembe!? Jasmoni Tegga mambo ya rohoni na mambo ya mwilini yako tofauti sana
 
Kwa hiyo unachosema hapa ni kwamba ni kifo cha uzembe!? Jasmoni Tegga mambo ya rohoni na mambo ya mwilini yako tofauti sana
Mama D please tafuta maana ya ^faith abuse^ halafu uje tuzungumze, our dear marriage counselor. 🙂
 
mkuu tuliza akili. umemhudumia mgonjwa mwenye corona halafu tena unasema corona haipo....
Kwaiyo kwa akili yako fupi hayati amekufa kwa korona!!

Unafikir ww? Kama unashule ya medical sorry hii syo mahali pake lakin kama una shule ya intelligencia basi tunaeza anza kukusikiliza!!...
 
Acheni ujinga nyie Magu ana kipi cha maana hadi mataifa makubwa yaache kujadili mambo ya maana wajadili ujinga wenu maana mnamezeshana upuuzi kesho mko kwao kutembeza bakuli

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app

Ujinga n ww unaefikiri wazungu kwa kumuangalia magu!!
Wazungu wanafikiri africa kwa kupitia magu watapitaje!!

Hujui ulaya n marekan bila africa na asia hawana cha kufanya??
Nchi zao hazina chochote zaidi ya man power
 
Kwa kifupi sana MOLA aliyajua hayo yote ndio maana akaruhusu iwehivyo kwa makusudi yake mwenyewe, laa sivyo angemponya na hayo majaribu. Anyway tushukuru kwa kila jambo kama sayansi ya biblia inavyo elekeza.
 
Habari zenu wakuu poleni Sana na majukumu ya kulijenga hili Taifa .

Kwa haya Mambo yanayoendelea katika kila Kona ya Tanzania nachelea kusema kuna watu inawezekana kabisa wamehusika na kumzima mkuu wa nchi.

40 haijaisha mmeanza kutoka porini kusaka tonge mlilopokwa zamani

Magu baba ungeamka mara moja ungeona hawa wanafiki waliokuzunguka usingesamehe hata mmoja.

Nchi inaenda Gizani sasa kwa tamaa za viongozi wachumia tumbo

Nani mwingine wa kulikomboa Taifa ??
 

Tuzingatie Miongozo iliyotolewa na WHO ,taratibu ni zile zile hazijabadilika..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…