Ninachofahamu kwa uhakika kabisaa ni kuwa hicho kifaa kwel kinaweza kudukuliwa lakini sina comment yoyote kwenye kifo cha muheshimiwa

Atalaumiwa sana dobi kaniki rangi yake.

Mdukuzi ni kirusi cha Corona.
 
Kuna Rais wa America, nadhani jimmy carter alikua nacho na walikua wanamlinda sana asidukuliwe, intanent ipo majuu tangu miaka ya mwishoni ya 70,
Binafsi miaka ya mwanzoni mwishoni 90 tayari intanent imeshajulikana huku America.. [emoji23][emoji848]
 
Kama Magufuli kauwawa na majasusi,haya na MKAPA naye kauwawa na nani. Wacha kuchonganisha. Kulanafsi zaqatul Maruti. Uwe ndivuo hivyo owe sio siku ukifuka hukwepi.
 
Angekua na pacemaker angeweza haya?
 
Hakuweka antivirus hicho kifaa na ulinzi wake ulikuwa too week ni mashow tu na matavor gun,na kwa nini mwili haukufanyiwa UCHUNGUZI kwanza
 
Taifa hili limebahatika kupata wzalendo wawili tu Hayati Julius Nyerere na John Pombe Magufuli..

Hao wengine wapo wapo tu
 
Pana muhibiri Kenya alisema ni jesuit ndio waliotumwa sababu alipingana na ajenda ya dunia kuhusu corona. Bado ni conspiracy theory.
 
Kwa nilivyofuatilia habari hii anaonekana ni mtu ndani Kabisa ambaye kaamua kuongea ukweli na kuwa muwazi.

Anajua ABC zote za Serikali yetu. Hakuna ubishi tena magufuli was assassinated afu watu wanasema mungu kaamua ugomvi.

Wengine mnaweza kusema ni man made story.kwa ufupi Yale yalivyoandikwa yanashawishi kuwa ni kweli kulingana na mazingira tuliyoyaona.

Hii habari huwezi kuikuta sehemu yoyote Ile ni jamili forum tu.

Waliotenda hii dhambi wakumbuke malipo ni hapahapa duniani.

Mbinguni tunaenda kuchomwa moto tu.


RIP JPM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…