Kwa nilivyofuatilia habari hii anaonekana ni mtu ndani Kabisa ambaye kaamua kuongea ukweli na kuwa muwazi.

Anajua ABC zote za Serikali yetu. Hakuna ubishi tena magufuli was assassinated afu watu wanasema mungu kaamua ugomv...
Kaweka story za vijiweni tupu!!

Hajui hata kilichotokea!
 
Mliposhindwa kumuua Lissu akadai mnamtaka ili mumhoji kwanini hakufa kwa risasi 36! Mliposhindwa mkadai dereva wake anahusika! Huenda ndiye alikuwa na silaha, ahijiwe! Je, mmewahi kuwahoji Mandonga na mzee Mpili?
 
Kama maelezo yako ni kweli basi tangu mwanzo hakupaswa kabisa kuwa rais maana ni cheo ambacho lazima mtu awe na utimamu wa afya ya mwili hata kama ana hitilafu ndogo ndogo basi iwe siri sana ila kuhusu jpm ilikua inajulikana kabisa
 
Nadhani wao walijua atapona ndo maana waliuchuna...!!
 
Corona ndiyo ilifanya finishing, what a wonderful job COVID-19 did to our beloved country.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Corona ndiyo ilifanya finishing, what a wonderful job COVID-19 did to our beloved country.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Ile kitu ilimnyoosha vizuri kwa dhihaka zake. Imagine unapeleka kupima mapapai na oil badala ya sampuli za damu au swabs kutoka kwenye pua ya binadamu. Imagine unahimiza wananchi wajifukize?

Ule ulikuwa UHAYAWANI kiwango cha dreamliner
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…